Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Kikubwa wewe ndio mwenye makosa WANAUME tuwe makini na hivi vibinti unyoya kilikula kiapo kama malaika hata mwaka haujapita kamegeuka kashetani hapa kinaombea msaada

Chamsingi wewe move on ukigeuka kichaaa ni wewe mwenyewe usipogeuka sema alhamdulilah ila motoni hukwepi
Too fast to judge na hujui kilichotokea....utatangulia ww motoni
 
Mteke umpe kichapo mpaka aikane hiyo nadhili. Kama unaamini sana.

Pia umezingua hujui ulimwimbea mabaya Gani. Mwenzako anakula life wewe unateseka Kwa mawazo.

Otherwise njoo kwangu tule tundra alafu Ione kama tutakufa, hapo hapo. Do
 
Yani kaBoi frend ndio mnakula viapo ivo hichi kizazi kina Wajinga wengi ama kweli.
Hata ndoa ile ya kanisani hakuna kiapo cha ivo.
Icho sio kiapo hakina lolote ww Endelea tu na Sponser wako
 
Haa watu wanakula kiapo na misahafu wanamtaja Mungu mbele ya madhabahu, halafu wasahau na hakuna kinachotokea. Wewe kitakachokusumbua si kiapo, bali ni kuamini katika kiapo hicho kiasi kwamba ukiwa kwenye mahusiano badala ya kufurahia mahusiano, utakuwa uanawaza kiapo hicho. Kila jaribu likitokea wewe wawaza hicho kiapo.
Tupa kule kiapo and move on. na uache ujinga huo siku nyingine usirudie kula viapo. Bila shaka wewe ni mwanafunzi. Mapenzi ya wanafunzi huwa wanahisi watadumu waonane yani kimovie movie
Ni mtu mzim na sio mwanafunzi
 
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.

Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkakapo mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)

Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.

Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.

Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..

Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.

Asanteni..
Pole Sio kila kitu cha kuiga
 
Mteke umpe kichapo mpaka aikane hiyo nadhili. Kama unaamini sana.

Pia umezingua hujui ulimwimbea mabaya Gani. Mwenzako anakula life wewe unateseka Kwa mawazo.

Otherwise njoo kwangu tule tundra alafu Ione kama tutakufa, hapo hapo. Do
Can't risk bado natka kuishi
 
Back
Top Bottom