Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

Yaani lijitu linaapa kwa kumtaja Mungu kuwa atailinda Katiba halafu baadae linaikojolea kabisa hiyo Katiba.
 
Kwani lazima tufanane na Marekani. Hayo ni mawazo ya kitumwa.
 
Walao viapo na kwenda kinyume na viapo hivyo iko siku vitawachenjia
Nalog off
 
Itakuwa kiingereza huwa husikii vyema, aliposema "So help me God" alimaanisha nini kwenye kile kiapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…