johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Kamanda mbwakachoka by MurotoAcha hasira we kibwengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda mbwakachoka by MurotoAcha hasira we kibwengo
Kwani kama mtu ameapa mwaka 2015 kuwa Mungu nisaidie" haji kuiba kura mwaka 2020?Sio wizi wa kura unatangulia kiapo? Labda kama anayeapa aliapa kabla.
Acha kuharibu lugha za watu andika lugha unayoijua.Its no God my friend its GOLD american cannot trust in GOD
Yaani lijitu linaapa kwa kumtaja Mungu kuwa atailinda Katiba halafu baadae linaikojolea kabisa hiyo Katiba.Saa nyingine huwa naona kumhusisha Mungu kwenye viapo vyetu simply ni unafiki na dhihaka kwa Mungu kwani viapo vyenyewe vimebakia tu kama desturi, vinakyiukwa mchana kweupe bila hata hofu ya jina la Mungu. So ikiwezekana na sisi tuwe na viapo kama vya Amerca kuepuka ghadhabu ya Mungu.
Unatuletea nukuu za mvuta bangi hapa!Mwaka 2015 tuliiba kura na Lowassa by Lijualikali
Ameamka na hang over ya wanzuki huyo.Bado sijafanikiwa kupata connection kati ya mahubiri ya Mastai na viapo vya Marais. Sijaelewa ni kwanini umeanza Kwa kumtaja Mastai.
Lilevi la mataputapu hilo zwazwaHuyu nyang'au yeye akisikia tu kistori anakimbia kuanzisha humu hata kama ni takataka ya uongo.
Pale Ufipa nani havuti bangi?Unatuletea nukuu za mvuta bangi hapa!
Mbowe ni mlevi anayelewa Chako ni Chako na kudondoka by Kangi Lugola ( MB)Lilevi la mataputapu hilo zwazwa
Unatuletea nukuu za lugola mcheza baikoko wewe vipi?Mbowe ni mlevi anayelewa Chako ni Chako na kudondoka by Kangi Lugola ( MB)
Gold, Oil and DiamondNa hili neno kwenye Pesa note za marekani linalosema IN GOD WE TRUST linamaanisha nini? Wameliondoa neno Mungu kwenye kiapo lakini wakaliweka kwenye pesa why?
View attachment 1682347
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.
Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa Marekani.
Bado natafakari kwanini Rais wa Marekani anaapa kuitumikia Ofisi ya Rais kwa uadilifu tofauti na marais wa nchi nyingine ambao huapa kuwatumikia Wananchi kwa uadilifu.
Je, Ofisi ya Rais ndio Wananchi?
Lakini kitu kilichonifurahisha ni maneno machache yaliyomo kwenye kiapo cha Rais wa Marekani tofauti na kiapo cha Rais wa Tanzania.
Lakini nimeshangazwa kwamba Rais wa Marekani siyo lazima aseme "Ewe mwenyezi Mungu nisaidie" anapohitimisha kiapo chake.
Nawatakia Alhamis yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Si kweli. Hapa kwetu unaiba kura kwanza halafu unaapa kwa kusema "Ee Mwenyezi Mungu nisaidie"Tanzania unaapa kwa kusema "Mungu nisaidie" halafu unaiba kura!
Awamu hii wameiba kura pia?Si kweli. Hapa kwetu unaiba kura kwanza halafu unaapa kwa kusema "Ee Mwenyezi Mungu nisaidie"