Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"


George H. W Bush January 20, 1987


Barack Obama January 20, 2009


Joe Biden jana January 20, 2021

Wote wanahitimisha na neno "So help me God"

Sasa sijui hapa kwetu wakisema Mungu nisaidie nini kinawakera watu???
 
Mnaapa halafu mnakuwa madikiteita, kuua watu, kupoteza watu, sandarusi za maiti coco beach. Kuwabambkia wau kesi
TO CROWN IT ALL, KUVUNJA KATIBA WAZI WAZI MLIYOAPA KUILINDA, kama anavyofanya Ndugai na akina Halima!
hivi ulishawahi kuwaza ile sala/dua wanayoanzaga nayo bungeni huwa imeelekezwa kwa mungu yupi?
 
Umeambiwa siyo lazima kusema hivyo bali ni hiyari.

Vipi huko kwenu Malawi Corona imepungua?
Nikusaidie, "so help me God" ni maneno ambayo mwanzo hayakuwepo kwenye kiapo lakini baadae George Washington aliyaongeza kwenye kiapo chake na tangu hapo marais wote waliofuatia wamekua wakiyasema wakiongozwa na muapishaji.
 
Huku tunaiba kwanza ndiyo tunaapa ili kusawazisha Yale masanduku feki tulio ingiza, hivyo lazima tuseme hivyo ili kuomba msamaha
 

siyo lazima kusema "Mungu nisaidie". Kwani maana ya SO HELP ME GOD, ni nini?​

 
Na hili neno kwenye Pesa note za marekani linalosema IN GOD WE TRUST linamaanisha nini? Wameliondoa neno Mungu kwenye kiapo lakini wakaliweka kwenye pesa why?

View attachment 1682347
Hiyo ni abreviation ya Gold ,Oil and Diamond ndo wana trust na wala sio God lile ni taifa teule la shetani ndg yangu huezi sikia wanamtja Mungu mahali popote
 
Maneno mengi lugha hujui weka hapa hicho kiapo cha rais wa USA
 
Colonial mentality still grinds us. Very bad indeed!. Something done by swines is better than that one done by our beloved brothers, real!!?. So its good for you when a swine defecates in public than a fellow brother conceiling himself in the toilet!!? Mtaliwa sana tigo nyie watu wa dizaini hii! Nyambaaaf!
 
Hiyo ni abreviation ya Gold ,Oil and Diamond ndo wana trust na wala sio God lile ni taifa teule la shetani ndg yangu huezi sikia wanamtja Mungu mahali popote
Oil is not the future. Sasa hivi watu wameanza kutembelea magari ya umeme.

Hayo madini mnayoyaongelea siku hizi yamezidiwa thamani na technology.

Mfano: Kampuni ya juzi tu Uber ina thamani kubwa kuliko kampuni lolote kubwa la madini unalojua.
 
Oil is not the future. Sasa hivi watu wameanza kutembelea magari ya umeme.

Hayo madini mnayoyaongelea siku hizi yamezidiwa thamani na technology.

Mfano: Kampuni ya juzi tu Uber ina thamani kubwa kuliko kampuni lolote kubwa la madini unalojua.
Bado havijaprove kama ni vya kutegemewa sana na vikadisplace Gold na oil bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…