Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Nani amekupa rubusa kuulizia Korona kwenye mtandao? Ukikamatwa utasema unaonewa.Umeambiwa siyo lazima kusema hivyo bali ni hiyari.
Vipi huko kwenu Malawi Corona imepungua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani amekupa rubusa kuulizia Korona kwenye mtandao? Ukikamatwa utasema unaonewa.Umeambiwa siyo lazima kusema hivyo bali ni hiyari.
Vipi huko kwenu Malawi Corona imepungua?
Mbona imo kwenye rasimu yao ya uchaguzi japo wakati mwingine hata zao wanaiba!Awamu hii wameiba kura pia?
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.
Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa Marekani.
Bado natafakari kwanini Rais wa Marekani anaapa kuitumikia Ofisi ya Rais kwa uadilifu tofauti na marais wa nchi nyingine ambao huapa kuwatumikia Wananchi kwa uadilifu.
Je, Ofisi ya Rais ndio Wananchi?
Lakini kitu kilichonifurahisha ni maneno machache yaliyomo kwenye kiapo cha Rais wa Marekani tofauti na kiapo cha Rais wa Tanzania.
Lakini nimeshangazwa kwamba Rais wa Marekani siyo lazima aseme "Ewe mwenyezi Mungu nisaidie" anapohitimisha kiapo chake.
Nawatakia Alhamis yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
maana yake akusaidie kuiba kura kwa amaniTanzania unaapa kwa kusema "Mungu nisaidie" halafu unaiba kura!
hivi ulishawahi kuwaza ile sala/dua wanayoanzaga nayo bungeni huwa imeelekezwa kwa mungu yupi?Mnaapa halafu mnakuwa madikiteita, kuua watu, kupoteza watu, sandarusi za maiti coco beach. Kuwabambkia wau kesi
TO CROWN IT ALL, KUVUNJA KATIBA WAZI WAZI MLIYOAPA KUILINDA, kama anavyofanya Ndugai na akina Halima!
Nikusaidie, "so help me God" ni maneno ambayo mwanzo hayakuwepo kwenye kiapo lakini baadae George Washington aliyaongeza kwenye kiapo chake na tangu hapo marais wote waliofuatia wamekua wakiyasema wakiongozwa na muapishaji.Umeambiwa siyo lazima kusema hivyo bali ni hiyari.
Vipi huko kwenu Malawi Corona imepungua?
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.
Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa Marekani.
Bado natafakari kwanini Rais wa Marekani anaapa kuitumikia Ofisi ya Rais kwa uadilifu tofauti na marais wa nchi nyingine ambao huapa kuwatumikia Wananchi kwa uadilifu.
Je, Ofisi ya Rais ndio Wananchi?
Lakini kitu kilichonifurahisha ni maneno machache yaliyomo kwenye kiapo cha Rais wa Marekani tofauti na kiapo cha Rais wa Tanzania.
Lakini nimeshangazwa kwamba Rais wa Marekani siyo lazima aseme "Ewe mwenyezi Mungu nisaidie" anapohitimisha kiapo chake.
Nawatakia Alhamis yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Na kuuawa wapiga kuraTanzania unaapa kwa kusema "Mungu nisaidie" halafu unaiba kura!
Hiyo ni abreviation ya Gold ,Oil and Diamond ndo wana trust na wala sio God lile ni taifa teule la shetani ndg yangu huezi sikia wanamtja Mungu mahali popoteNa hili neno kwenye Pesa note za marekani linalosema IN GOD WE TRUST linamaanisha nini? Wameliondoa neno Mungu kwenye kiapo lakini wakaliweka kwenye pesa why?
View attachment 1682347
Ndio maana anasema Mungu nisaidie yaani yeye kama yeye katika mambo yake na sio Watanzania au Tanzania.Tanzania unaapa kwa kusema "Mungu nisaidie" halafu unaiba kura!
Inawezekana, na nimeliweka kwenye hoja yangu.Kwani kama mtu ameapa mwaka 2015 kuwa Mungu nisaidie" haji kuiba kura mwaka 2020?
Tanzania unaapa kwa kusema "Mungu nisaidie" halafu unaiba kura!
Oil is not the future. Sasa hivi watu wameanza kutembelea magari ya umeme.Hiyo ni abreviation ya Gold ,Oil and Diamond ndo wana trust na wala sio God lile ni taifa teule la shetani ndg yangu huezi sikia wanamtja Mungu mahali popote
Aliyekwambia hyo GOD HAPO ni mungu ni nani?Na hili neno kwenye Pesa note za marekani linalosema IN GOD WE TRUST linamaanisha nini? Wameliondoa neno Mungu kwenye kiapo lakini wakaliweka kwenye pesa why?
View attachment 1682347
Wanaamini Katika GOLD, OIL,DIAMONDNa hili neno kwenye Pesa note za marekani linalosema IN GOD WE TRUST linamaanisha nini? Wameliondoa neno Mungu kwenye kiapo lakini wakaliweka kwenye pesa why?
View attachment 1682347
Bado havijaprove kama ni vya kutegemewa sana na vikadisplace Gold na oil broOil is not the future. Sasa hivi watu wameanza kutembelea magari ya umeme.
Hayo madini mnayoyaongelea siku hizi yamezidiwa thamani na technology.
Mfano: Kampuni ya juzi tu Uber ina thamani kubwa kuliko kampuni lolote kubwa la madini unalojua.