Kiarabu ndio lugha ya asili ya sayansi, tiba, biashara na elimu kwa ujumla

Nilipofika hapa nikakoswa maana ya uzi wako. Maana walichokifanya ni kutafsiri tu ili watu wa lugha yao nao waweze kuelewa kinachozungumziwa ndani ya hvyo vitabu na ni utaratibu wa kawaida kutafsiri vitabu ata kwenye nyakati za sasa
Msichokijua wengi wenu na tulichokieleza mara nyingi ni kuwa habari za Socrates na wengine uliowataja zisingejulikana kabisa au zingechukua karne nyingi kujulikana kama si waislamu ambao ndio waliozifuata na kuzitafsiri kuingiza lugha ya kiarabu kwanza na baadae lugha hizi unazozijua sasa.
fuatilia vyema mzunguko wa maarifa na elimu duniani utafahamu vizuri.
 
Una mantiki lakini kuna sehemu unachanganya mambo kwa kuyajumlisha yote yote. Kuna sehemu watu wa jamii nyingine walikuwa wameshafanya baadhi ya mambo, then wengine wakafanya kwa kuanzia walipoishia, au tuseme kuna mahesabu tayari yalishaanza sehemu za ugiriki na kwa waarabu pia, the rest ni kujituma kwa wanamahesabu kuendelea walipoanzia au kuishia wengine, the rest ni mashindano ya sisi watu average bila kujali rangi,dini wala kabila.

Kuna mambo uko sawa na mengine hauko sawa.

Pia hesabu bado hazijakamilika, kama na weusi wakiweza kufanya watapata credit google hii ' List of unsolved problems in mathematics', ukifanikisha unapata heshima,pesa na michongo. Tunavyoandika kuna watu wanapambana, tena kwa kushirikiana waarabu na wazungu,sisi tunabaki kuwa mashabiki kijinga jinga.

Kuna hesabu tangu mwaka 1900 bado hazijapatiwa proof
Suala muhimu ni kujua kuwa elimu ni rehma za Allah.Wagiriki hawakuwa waarabu lakini waliyoyafanya yaliyotakana na muongozo kwa njia za siri kutoka kwa Allah.
Walichofanya waislamu na hatusemi waarabu ni kuwa walitafsiri yaliyofanywa na wagiriki na kwa kweli ilikuwa ni sehemu ndogo sana ya elimu kwani mengi ya wagiriki yalipingwa kisayansi na mengi yalibaki.Aliyofanya Khwarizm ushahidi umeonesha kuwa alihamasika na yaliyofanywa na akina Euclid lakini ni tofauti na hali ya juu kuliko ya Euclid na wenzake.
 
Pamoja mkuu.
Wadau wajaribu huku Navier-Stokes equation. Ukiweza hii unapata $1 million na heshima kubwa katika ulimwengu wa mathematics
 
Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui kwani umejificha ya kuwa lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika kuufikishia ulimwengu elimu karibu zote.

Lugha ya kiarabu ambayo ndiyo lugha iliyoteremshiwa Qur'an imetoa fursa za wazi kwa walimwengu dunia nzima na kuwapa ujanja wa kuishi na kuifaidi dunia.

Kwa ufupi kabisa ufunguzi wa ulimwengu kielimu ulianzia Baghdad wakati wa utawala wa bani Umayya na baadae utawala wa Abbasiya chini ya utawala wa Haroun Alrashid.

Tawala hizo ndizo zilijenga maktaba kubwa sana iliyoitwa baitul Hikma ambayo ilidumu kwa karne nyingi kabla kubomolewa katika vita kutoka watawala wa kikristo waliopitia bara hindi.

Chanzo cha maktaba hiyo ilikuwa ni wakuu wa koo za kiarabu waliopenda kuhifadhi Qur'an na hadithi za mtume Muhammad saw pamoja na mashairi mazuri ya koo zao.

Mara maktaba hiyo ikaanza kuweka vitabu vyengine vilivyopatikana katika tawala ambako majeshi ya waislamu yalikuwa yakienda wakati wa vita na kutoka misafara ya kawaida ya kibiashara.

Maandishi hayo hayakuwa katika mfumo wa vitabu vya kisasa yalipatikana kutoka tawala za kirumi,kigiriki na kihindi.Maandishi hayo yailetwa hapo na kutafsiriwa kuingizwa lugha ya kiarabu.

Maktaba hiyo kila miaka ilivyoongezeka ikapanuliwa na kuongezwa vitengo vya matawi mbali mbali ya kielimu ukiongezea na kitengo cha uchapishaji.

Hatimae teknolojia ya uchapishaji na uandishi kwa njia nyepesi uliochukuliwa kutoka mbali kama vile China ukaingizwa kwenye maktaba hiyo na kuongeza kasi za uandishi na tafsiri.

Vitengo vilivyonawiri zaidi katika kituo hicho ni vile vya elimu ya tiba,elimu ya anga na hesabati chini ya mwanahesabati Alkhwarizm ambaye ndiye mwandishi wa kitabu cha aljebra alichokiandika katika kutafsrii mahesabu yaliyomo ndani ya Qur'an juu ya mirathi.

Umaarufu wa maktaba hiyo ambao uligeuka kuwa kama chuo cha elimu uliwavuta watu wengi sana kutoka maeneo ya jirani ikiwemo Iran na majimbo ya Urusi kuja kujisomea au kwa kazi maalumu. Kulikuwa na wafanyakazi wa kila fani na kutoka maeneo mbali mbali.Walikuwepo waliokuwa na asili za kiyahudi na makabila mengineyo ya jirani.

Kituo hicho kilipobomolewa na kuchomwa moto,mto wa dijla ambao unajulikana sasa kama euphrates uligeuka rangi kuwa mweusi kutokana na wino wa vitabu hivyo.

Wakatokea baadhi ya wasomi na waliokuwa wafanyakazi wa kituo hicho wakachagua baadhi ya nakala walizoweza kuziokoa na kwenda nazo maeneo yao.Miongoni mwa hao ni Nasrudin Al tulsi wa Azerbajan ambaye alikwishajenga kituo chake cha anga huko kwao.Yeye alifanikiwa kuokoa vitabu zaidi ya 40,000 ambavyo alikuwa akivibeba kidogo kidogo kwa kutumia farasi na ngamia.

Pamoja na kupigwa vita,waislamu nao kwa fitna walikuwa na ugomvi baina yao wenyewe.Wako walionusurika vifo na kuamua kukimbilia maeneo ya mbali ambako tayari athari za tawala za kiislamu zilikwishatangulia.
Maeneo hayo ni kama vile kaskazini ya Afrika,Libya,Tunisia,Aljeria na Morocco mbali na maeneo ya ndani ya kama vile MalimChad na Niger.

Kwa upande wa Ulaya ya sasa waislamu walikwishatangulia Spain zamani. Mmoja ya waliofanikiwa kuhama na kuendeleza mfano wa tawala za Baghdad ni Abulrahmaan ambaye alikwenda kufanya makazi yake Cordoba chini ya himaya ya Ummawiyah. Miji mingi sana ndani ya Spain iliyojulikana wakati huo kama Andalus ilijengwa kwa nidhamu za tawala za kiislamu ambapo lazima kuwe na maktaba.Miji michache kati ya hiyo ni Granada,Sevile na Toledo.

Kwa mfano papa Sylvester (Gerbet) ni miongoni mwa wakristo wa mwanzo kusoma kwenye chuo kikuu cha kiislamu cha Granada na aliwahi kuhudhuria mafunzo chuo kikuu kikongwe zaidi duniani cha Alqarawiney ambacho kiko Fez nchini Morroco ambacho bado kinaendeshwa kwa mfumo ule ule maarufu kama madrasa.

Papa Syvester ambaye alivutiwa sana na utamaduni wa waislamu na elimu zao alipenda sana somo la hisabati na ndiye wa mwanzo kuingiza elimu hiyo nchini Italy wakati wa utawala wake ambapo mwenyewe alikuwa ni mwalimu pia pamoja na kazi za upapa (1095).

Maktaba ya Toledo ndiyo maarufu zaidi kwani hapo ndipo makabila mengi ya Ulaya kuanzia Ureno, Ufaransa,Italy na kote kwengineko walisoma na kutafsiri kazi hizo kutoka lugha ya kiarabu na kuingiza kwenye lugha zao za asili. Katika maktaba hiyo pia walikuwepo wafasiri walioweza kuingiza elimu hizo kwenye lugha ya kiyahudi ya kiebrania.

Ikumbukwe wakati ulimwengu wa kiisalamu ukiwa unairithisha dunia elimu kwa lugha zao kutoka kiarabu lugha maarufu za sasa kama vile kiiengereza na kifaransa hazikuwepo au ndio muda zilikuwa zinazaliwa na kuanza kujulikana.

Vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kutumika kwenye vyuo vikuu vingi vya ulaya walivyojenga wenyewe ni vingi sana.Ngoja tutaje baadhi tu ya vitabu hivyo.

1. AL HAW. Ni kitabu cha tiba kiliandikwa na Abubakr Al Razi (864 -935)AD.Kinajumuisha vitabu vidogo (volumes) 23.Kilitafsiriwa kuingizwa lugha ya kilatin na myahudi aitwaye Faraj ben Salim kutoka visiwa vya Sicily mnamo mwakka 1276.

2. AL QANON FIY TTIB cha tiba kwa kiiengereza kinajulikana kama The canon of medicines. Kiliandikwa na Ibn Sina (980 -1037)AD.Kitabu hicho kimetumika kama rejea kubwa kwenye vyuo vikuu vya Ulaya mpaka mwaka 1650.Kilikuwa kikitoa ufafanuzi wa tiba na madawa kwa kutumia michoro kufahamisha vizuri.

3. KITAB AL TASIF cha Abul Qassim (936-1013)AD.Ni mkusanyiko wa vitabu vidogo 30.Abulcasis ndiye mvumbuzi wa vifaa zaidi ya 200 vinavyotumika mpaka leo kwenye vyumba vya upasuaji na vitabu vyake vimetumika kufundishia Ulaya kwa zaidi ya miaka 500.Aliishi na kufia mjini Cordoba ndani ya Spain.Nyumba yake mpaka leo ipo na imepewa thamani ya juu katika utalii wa majengo.

4.AL KITAB AL MUKHTASAR FIY HISAB ALJABR WAL MUQABALA.Kiliandikwa na Muhammad bin Mussa Alkharizm (780-850).Alikuwa ni mmoja ya wafanyakazi mashuhuri wa kitengo cha kutafsiri maandishi kwenye jengo la Baitul Hikma na baadae akawa ndiye mkurugenzi wa kituo hicho.

Pamoja na kazi nyingi alizozifanya alisoma na kutafsiri maandishi ya Euclid, mwanafalsa wa zamani wa kigiriki.Hata hivyo maandishi na hesabu zake za Aljebra ambazo ndizo zilizozalisha ujanja wote wa hesabu duniani haujaonekana kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na michoro ya maumbile ya Euclid.

Nakala halisi ya kitabu cha Alkhwarizm katika hati zake za kiarabu kinapatikana kwenye maktaba ya chuo kikuu cha Oxford nchini Uiengereza.
Mtu unawezaje kutumia wako kuandika ujinga mrefu namna hii.
 
Pamoja mkuu.
Wadau wajaribu huku Navier-Stokes equation. Ukiweza hii unapata $1 million na heshima kubwa katika ulimwengu wa mathematics
1738515666913.png

equation haina jipya zaidi ya kutumia misingi kialjebra iliyoasisiwa na Alkwarizm
 
Msichokijua wengi wenu na tulichokieleza mara nyingi ni kuwa habari za Socrates na wengine uliowataja zisingejulikana kabisa au zingechukua karne nyingi kujulikana kama si waislamu ambao ndio waliozifuata na kuzitafsiri kuingiza lugha ya kiarabu kwanza na baadae lugha hizi unazozijua sasa.
fuatilia vyema mzunguko wa maarifa na elimu duniani utafahamu vizuri.
Uongo taslimu. Uislamu na elimu wapi na wapi, miaka na miaka Kigiriki kinajulikana kua ni lugha ya sayansi. Hata Isack Newton pamoja na kwamba alikua Myahudi aliyezaliwa na kukulia hadi kufia Uingereza but zile kanuni zake za motion alilazimika kuziandika kwa Kiyunani/Kigiriki. Uislamu na elimu wapi na wapi kaka? Msukumo wa Waislamu kwenda shule umeanza miaka ya juzi juzi tu, labda watu kama wa Iran hawa wamekua na mwamko wa elimu kabla hata ya Uislamu kuja
 
Vipi kuhusu kigiriki na kilatini

Moja ya kitu kikubwa zaidi hata ya algorithm iliyoletwa na Waarabu Waislamu ni sarufi 0 (sifuri) kwani namba Za kirumi hazikuwa na sifuri.
 
Uongo taslimu. Uislamu na elimu wapi na wapi, miaka na miaka Kigiriki kinajulikana kua ni lugha ya sayansi. Hata Isack Newton pamoja na kwamba alikua Myahudi aliyezaliwa na kukulia hadi kufia Uingereza but zile kanuni zake za motion alilazimika kuziandika kwa Kiyunani/Kigiriki. Uislamu na elimu wapi na wapi kaka? Msukumo wa Waislamu kwenda shule umeanza miaka ya juzi juzi tu, labda watu kama wa Iran hawa wamekua na mwamko wa elimu kabla hata ya Uislamu kuja
Very myopic Uislamu kwako unaoujua ni wa Tanzania tuu.
 
Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui kwani umejificha ya kuwa lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika kuufikishia ulimwengu elimu karibu zote.

Lugha ya kiarabu ambayo ndiyo lugha iliyoteremshiwa Qur'an imetoa fursa za wazi kwa walimwengu dunia nzima na kuwapa ujanja wa kuishi na kuifaidi dunia.

Kwa ufupi kabisa ufunguzi wa ulimwengu kielimu ulianzia Baghdad wakati wa utawala wa bani Umayya na baadae utawala wa Abbasiya chini ya utawala wa Haroun Alrashid.

Tawala hizo ndizo zilijenga maktaba kubwa sana iliyoitwa baitul Hikma ambayo ilidumu kwa karne nyingi kabla kubomolewa katika vita kutoka watawala wa kikristo waliopitia bara hindi.

Chanzo cha maktaba hiyo ilikuwa ni wakuu wa koo za kiarabu waliopenda kuhifadhi Qur'an na hadithi za mtume Muhammad saw pamoja na mashairi mazuri ya koo zao.

Mara maktaba hiyo ikaanza kuweka vitabu vyengine vilivyopatikana katika tawala ambako majeshi ya waislamu yalikuwa yakienda wakati wa vita na kutoka misafara ya kawaida ya kibiashara.

Maandishi hayo hayakuwa katika mfumo wa vitabu vya kisasa yalipatikana kutoka tawala za kirumi,kigiriki na kihindi.Maandishi hayo yailetwa hapo na kutafsiriwa kuingizwa lugha ya kiarabu.

Maktaba hiyo kila miaka ilivyoongezeka ikapanuliwa na kuongezwa vitengo vya matawi mbali mbali ya kielimu ukiongezea na kitengo cha uchapishaji.

Hatimae teknolojia ya uchapishaji na uandishi kwa njia nyepesi uliochukuliwa kutoka mbali kama vile China ukaingizwa kwenye maktaba hiyo na kuongeza kasi za uandishi na tafsiri.

Vitengo vilivyonawiri zaidi katika kituo hicho ni vile vya elimu ya tiba,elimu ya anga na hesabati chini ya mwanahesabati Alkhwarizm ambaye ndiye mwandishi wa kitabu cha aljebra alichokiandika katika kutafsrii mahesabu yaliyomo ndani ya Qur'an juu ya mirathi.

Umaarufu wa maktaba hiyo ambao uligeuka kuwa kama chuo cha elimu uliwavuta watu wengi sana kutoka maeneo ya jirani ikiwemo Iran na majimbo ya Urusi kuja kujisomea au kwa kazi maalumu. Kulikuwa na wafanyakazi wa kila fani na kutoka maeneo mbali mbali.Walikuwepo waliokuwa na asili za kiyahudi na makabila mengineyo ya jirani.

Kituo hicho kilipobomolewa na kuchomwa moto,mto wa dijla ambao unajulikana sasa kama euphrates uligeuka rangi kuwa mweusi kutokana na wino wa vitabu hivyo.

Wakatokea baadhi ya wasomi na waliokuwa wafanyakazi wa kituo hicho wakachagua baadhi ya nakala walizoweza kuziokoa na kwenda nazo maeneo yao.Miongoni mwa hao ni Nasrudin Al tulsi wa Azerbajan ambaye alikwishajenga kituo chake cha anga huko kwao.Yeye alifanikiwa kuokoa vitabu zaidi ya 40,000 ambavyo alikuwa akivibeba kidogo kidogo kwa kutumia farasi na ngamia.

Pamoja na kupigwa vita,waislamu nao kwa fitna walikuwa na ugomvi baina yao wenyewe.Wako walionusurika vifo na kuamua kukimbilia maeneo ya mbali ambako tayari athari za tawala za kiislamu zilikwishatangulia.
Maeneo hayo ni kama vile kaskazini ya Afrika,Libya,Tunisia,Aljeria na Morocco mbali na maeneo ya ndani ya kama vile MalimChad na Niger.

Kwa upande wa Ulaya ya sasa waislamu walikwishatangulia Spain zamani. Mmoja ya waliofanikiwa kuhama na kuendeleza mfano wa tawala za Baghdad ni Abulrahmaan ambaye alikwenda kufanya makazi yake Cordoba chini ya himaya ya Ummawiyah. Miji mingi sana ndani ya Spain iliyojulikana wakati huo kama Andalus ilijengwa kwa nidhamu za tawala za kiislamu ambapo lazima kuwe na maktaba.Miji michache kati ya hiyo ni Granada,Sevile na Toledo.

Kwa mfano papa Sylvester (Gerbet) ni miongoni mwa wakristo wa mwanzo kusoma kwenye chuo kikuu cha kiislamu cha Granada na aliwahi kuhudhuria mafunzo chuo kikuu kikongwe zaidi duniani cha Alqarawiney ambacho kiko Fez nchini Morroco ambacho bado kinaendeshwa kwa mfumo ule ule maarufu kama madrasa.

Papa Syvester ambaye alivutiwa sana na utamaduni wa waislamu na elimu zao alipenda sana somo la hisabati na ndiye wa mwanzo kuingiza elimu hiyo nchini Italy wakati wa utawala wake ambapo mwenyewe alikuwa ni mwalimu pia pamoja na kazi za upapa (1095).

Maktaba ya Toledo ndiyo maarufu zaidi kwani hapo ndipo makabila mengi ya Ulaya kuanzia Ureno, Ufaransa,Italy na kote kwengineko walisoma na kutafsiri kazi hizo kutoka lugha ya kiarabu na kuingiza kwenye lugha zao za asili. Katika maktaba hiyo pia walikuwepo wafasiri walioweza kuingiza elimu hizo kwenye lugha ya kiyahudi ya kiebrania.

Ikumbukwe wakati ulimwengu wa kiisalamu ukiwa unairithisha dunia elimu kwa lugha zao kutoka kiarabu lugha maarufu za sasa kama vile kiiengereza na kifaransa hazikuwepo au ndio muda zilikuwa zinazaliwa na kuanza kujulikana.

Vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kutumika kwenye vyuo vikuu vingi vya ulaya walivyojenga wenyewe ni vingi sana.Ngoja tutaje baadhi tu ya vitabu hivyo.

1. AL HAW. Ni kitabu cha tiba kiliandikwa na Abubakr Al Razi (864 -935)AD.Kinajumuisha vitabu vidogo (volumes) 23.Kilitafsiriwa kuingizwa lugha ya kilatin na myahudi aitwaye Faraj ben Salim kutoka visiwa vya Sicily mnamo mwakka 1276.

2. AL QANON FIY TTIB cha tiba kwa kiiengereza kinajulikana kama The canon of medicines. Kiliandikwa na Ibn Sina (980 -1037)AD.Kitabu hicho kimetumika kama rejea kubwa kwenye vyuo vikuu vya Ulaya mpaka mwaka 1650.Kilikuwa kikitoa ufafanuzi wa tiba na madawa kwa kutumia michoro kufahamisha vizuri.

3. KITAB AL TASIF cha Abul Qassim (936-1013)AD.Ni mkusanyiko wa vitabu vidogo 30.Abulcasis ndiye mvumbuzi wa vifaa zaidi ya 200 vinavyotumika mpaka leo kwenye vyumba vya upasuaji na vitabu vyake vimetumika kufundishia Ulaya kwa zaidi ya miaka 500.Aliishi na kufia mjini Cordoba ndani ya Spain.Nyumba yake mpaka leo ipo na imepewa thamani ya juu katika utalii wa majengo.

4.AL KITAB AL MUKHTASAR FIY HISAB ALJABR WAL MUQABALA.Kiliandikwa na Muhammad bin Mussa Alkharizm (780-850).Alikuwa ni mmoja ya wafanyakazi mashuhuri wa kitengo cha kutafsiri maandishi kwenye jengo la Baitul Hikma na baadae akawa ndiye mkurugenzi wa kituo hicho.

Pamoja na kazi nyingi alizozifanya alisoma na kutafsiri maandishi ya Euclid, mwanafalsa wa zamani wa kigiriki.Hata hivyo maandishi na hesabu zake za Aljebra ambazo ndizo zilizozalisha ujanja wote wa hesabu duniani haujaonekana kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na michoro ya maumbile ya Euclid.

Nakala halisi ya kitabu cha Alkhwarizm katika hati zake za kiarabu kinapatikana kwenye maktaba ya chuo kikuu cha Oxford nchini Uiengereza.
Au sio.... na waarabu wote wana uhakika na pepo ya mabikira 7... hata kama watende dhambi vipi... pepo ni yao... ila nyie wengine mtapitishwa kwenye mizani... na motoni mtaingia..

Ipa silaumu sana UMATI MUDI maana kuna wengine nishawahi waona, wapo vuzuri sana kichwa... ila wengi wao hasa wa upande fulani... hamna kitu kabisa
 
Umati mudi hauna akili wawoo wanaona ety warabu ni almasi wajinga sana
 
View attachment 3101944

Ndio maana huwa tunasema ndugu zetu huwa mnadanganywa sana huko Madrasa, huyu jamaa kazaliwa miaka hio hapo, Socrates, Plato, Aristotle, Alex the Great na wengine wengine kibao walishakufa karne kibao nyuma. utampaje credit ya hivyo?
Yaaaan hawa watu mudi bhana amekuja juzi juzi tuuu sasa hawo waliopita walikuwa wanaongeaa vip
 
Au sio.... na waarabu wote wana uhakika na pepo ya mabikira 7... hata kama watende dhambi vipi... pepo ni yao... ila nyie wengine mtapitishwa kwenye mizani... na motoni mtaingia..

Ipa silaumu sana UMATI MUDI maana kuna wengine nishawahi waona, wapo vuzuri sana kichwa... ila wengi wao hasa wa upande fulani... hamna kitu kabisa
Wewe timu yesu wa kidhungu umepimaje vichwa vya watu umetumia methodology gani
 
Kama kiarabu kilikuwa na lugha za sayansi mbona mumekalia kujilipua,kuoa watoto wadogo na kufuga majini.
 
Hiyo ni lugha ya dini ya kiislam, siyansi tunaona kigiriki na kilatini na wanasayansi tunawasoma ni wagiriki, wapi kuna wanasayansi wa kiarabu?
 
Kama alifuga majini mbona mnaogopa watumiaji wa nguruwe.au majini wa yesu walikuwa wapenzi wa nguruwe.
Hakuna anaye ogopa nguruwe, kama majini ni sehem ya uislam hata nguruwe pia angekuwa mdau wa uislam...

Ila dini imetupa vitu vzur na vbaya hata kwa afya imekataza.. Nguruwe sio mzuri kwa afya yako..

yesu wa kizungu alikuwa anafuga majini na kuongea nayo kama kawaida na hata yeye mwenyewe alikuwa sio mdau wa nguruwe ila nyie yesu weusi Ndio mnaishobokea
 
Back
Top Bottom