Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Fatilieni vizuri historia ya dunia bro, Iraq, Iran kama sikosei pamoja na Syria kwa asili hawa sio Waarabu; wanaunganishwa na Uarabu leo kwasababu ya Uislam but before Islam those countries were not part of Arab league. Iraq ni taifa la siku nyingi sana hapa duniani, I think ndio taifa la kwanza ulimwenguni. Waarabu wamekuja baadae sana baadae sana, Waarabu wametanguliwa na black people for years in the world. Mwarabu ni product ya Iraq na Misri ya weusi ya those years. So huyu mwana sayansi mwenye asili ya Iraq ieleweke hakua mwarabu. Vita vya Ottoman ndio vilisababisha mashariki ya kati kua na uarabu everywhere na that war was to spread Islamic world-wide, waliiteka hadi Ulaya mashariki na of course walikua wanakwend hadi Ulaya Magharibi, walikwamia Italy pale yalipo makao makuu ya Roman Catholic leo yaani Vatcan, sababu zinajulikanaHuyu mbona anakubalika na scientist wengi tu wa kizungu. Mkuu wewe unashida nae gani