Kiarabu ndio lugha ya asili ya sayansi, tiba, biashara na elimu kwa ujumla

Kiarabu ndio lugha ya asili ya sayansi, tiba, biashara na elimu kwa ujumla

Kama mwarabu wa uarabuni angeandika haya labda ningeona anapromote kilicho chake. Ila sasa ni mwarabu mweusi kama mkaa ndio anarukaruka hapa hata babu zake waliosababisha uwepo wake amewasahau 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwarabu mweusi au mndengereko mweusi kama mimi haina shida.Tunachotaka ni kuweka historia sawa bila kuficha wala upendeleo.Na kwanini tusifanye hivyo kwani ni kipi tuanchoogopa au kuna hasara gani kufanya hivyo
 
Sayansi inaenda na evidence.

Quran inasema kuna Mungu, Allah ni Mungu.

Quran imetoa evidence gani kwamba huyo Allah yupo?
Baada ya kukutahadharisha kuwa kuhusu Quran hutapata hoja za kuitukana bila majibu ijapokuwa mimi sina haja na mjadala huo.Sasa unakuja katka ushahidi kuhusu Mungu (Allah)
Ushahidi wa mwanzo kuhusu kuwepo Mungu unao ndani ya mwili wako.Jiulize maswali machache tu utauona.
Baada ya hapo inua uso wako uangalie mbinguni na uendelee kujiuliza maswali.
 
Ushahidi gani ulio ndani ya mwili wangu unaonesha Allah yupo?

Kwa nini unaogopa kubisha kuwa Quran ni kitabu cha sayansi nikuwekee ujinga na uongo wa Quran hapa?
 
Carl Friedrich Gauss
Ernest Rutherford
Galen
Heinrich Hertz
James Watt
Max Planck
Lise Meitner
Andreas Vesalius
Antonie van Leeuwenhoek
Amedeo Avogadro
John Dalton
Robert Boyle
Dmitri Mendeleev
André-Marie Ampère
Alessandro Volta
Wernher von Braun
Blaise Pascal
Charles-Augustin de Coulomb
Pierre Simon Marquis de Laplace
Edward Jenner
Enrico Fermi
Gottfried Wilhelm Leibniz
Robert Koch
Humphry Davy
John Bardeen
John von Neumann
Paul Ehrlich
Joseph Fourier
Hawa ni best scientists yupi ni muarabu!?
 
View attachment 3101944

Ndio maana huwa tunasema ndugu zetu huwa mnadanganywa sana huko Madrasa, huyu jamaa kazaliwa miaka hio hapo, Socrates, Plato, Aristotle, Alex the Great na wengine wengine kibao walishakufa karne kibao nyuma. utampaje credit ya hivyo?

Umemuelewa lakini mtoa mada ?

Hao ulio wataja wamekuja na elimu ambazo hazina faida katika ulimwengu zaidi ya upotoshaji, nawazungumzia Wanafalsafa wa kale Magharibi.
 
Ushahidi gani ulio ndani ya mwili wangu unaonesha Allah yupo?

Kwa nini unaogopa kubisha kuwa Quran ni kitabu cha sayansi nikuwekee ujinga na uongo wa Quran hapa?

Uwepo wako tu, unathibitisha juu ya uwepo wa Mungu.

Huwezi Wala hujawahi kuweza na hutoweza kuonyesha uongo wa Qur'an, walishindwa wajuzi wa lugha ya Kiarabu, na watu wenye akili timamu utaweza wewe. Kuna muda unatakiwa kwanza ujue Qur'an ni nini na imekuwaje ipo hivi leo mpaka siku ya mwisho.

Kingine mara ngapi umeshindwa kufanya hilo, zaidi ya ku copy na kupaste unazo ita contradictions na ukiulizwa maswali kuhusu hizo unazo dai ni Contradictions unashindwa kuzijengea hoja ?
 
Nilipofika hapa nikakoswa maana ya uzi wako. Maana walichokifanya ni kutafsiri tu ili watu wa lugha yao nao waweze kuelewa kinachozungumziwa ndani ya hvyo vitabu na ni utaratibu wa kawaida kutafsiri vitabu ata kwenye nyakati za sasa

Hapa mtoa mada alisahau kufafanua. Hakuna ya mambo ambayo yaliletwa kwenye ulimwengu wa Kiislamu kutoka kwa Wagiriki na wengine wasio kuwa Waislamu zaidi ya Falsafa. Falsafa yenyewe inapingwa na kukosolewa vikali, sababu imeleta athari hasi katika fikra za wasomi wengi wazamani wa Kiislamu.

Baadhi ya wanazuoni hao wakiislamu waliojikita katika hizo elimu na baadae wakaja kujutia na kuzikosoa na kutubia kama vile Abdul Ma'al al Juweiniy, Imam Ghazali na wengine.
 
20241014_035749.jpg
 
wakati kiebrania, kigiriki na kirumi kinatumika kwenye elimu, kiarabu kilikuwa kinatumika kwenye maelekezo ya namna ya kuchamba kwa kutumia mchanga wa jangwani eneo lisilo na maji kabisa.

Unakijua Kiarabu kijana ?

Kiebrania na Kigiriki kilitumika kwenye elimu gani zaidi ya Falsafa na Logic ? Elimu ambazo kiuahiliaia ni upotoshaji na matokeo ya ufikiriaji wa kitoto sana ?!
 
Soma "the book of died" then unaweza kujenga hoja ikaeleweka...when it comes to real history achana kabisa na msimamo wa Imani..

Real History ipi ? Wazungu wameanza lini kuandika Historia ? Wametumia vyanzo gani ?

Ulitakiwa ujue kwanza maana ya tamko Kiarabu na ujue sababu ya tamko hilo.

Kwenye elimu Waarabu walianza zamani sana, na kudhibiti turathi zao. Kuanzia historia na elimu nyingine, kitu ambacho wazungu wamekuja kustuka baadae sana, wakaanza kuandika Historia zenye uongo mwingi.
 
Kuna watu akili zao zimeshikiliwa ...ukimuuliza maswali ataishia kukuambia unakufuru..ukumuuliza Mungu ni lini Alishusha kitabu ...na mbona waandishi wa hicho kitabu wanajulikana ila sio Mungu anatoa mimacho tu

Shida huwa hamtaki kujua hivi vitu, mwisho wa siku mnaandika mnaonekana kama wagonjwacwa akili.

Unajua kwanini husemwa ameshusha kitabu ? Maana ya Kitabu ni kilicho andikwa, na sio lazima iwe kwenye cover kama unavyoona wewe hii, hili sio lazima.

Kwahiyo tunasema ameshusha kitabu, sababu ni vilishaandikwa na wakati wale wa kushushwa ukafika na vikashushwa.
 
Fatilieni vizuri historia ya dunia bro, Iraq, Iran kama sikosei pamoja na Syria kwa asili hawa sio Waarabu; wanaunganishwa na Uarabu leo kwasababu ya Uislam but before Islam those countries were not part of Arab league. Iraq ni taifa la siku nyingi sana hapa duniani, I think ndio taifa la kwanza ulimwenguni. Waarabu wamekuja baadae sana baadae sana, Waarabu wametanguliwa na black people for years in the world. Mwarabu ni product ya Iraq na Misri ya weusi ya those years. So huyu mwana sayansi mwenye asili ya Iraq ieleweke hakua mwarabu. Vita vya Ottoman ndio vilisababisha mashariki ya kati kua na uarabu everywhere na that war was to spread Islamic world-wide, waliiteka hadi Ulaya mashariki na of course walikua wanakwend hadi Ulaya Magharibi, walikwamia Italy pale yalipo makao makuu ya Roman Catholic leo yaani Vatcan, sababu zinajulikana
Tatizo hawa ndugu zetu wa madrasa wakizitazama Iraq na Iran ya sasa zilizo na idadi kubwa ya waislam wanadhani tangu kale walikuwa waislam, na hawajui kuwa wale si waarabu😄😄😄
 
Ushahidi gani ulio ndani ya mwili wangu unaonesha Allah yupo?

Kwa nini unaogopa kubisha kuwa Quran ni kitabu cha sayansi nikuwekee ujinga na uongo wa Quran hapa?
Huo ushahidi wako kama kwamba huuamini au unauogopa mwenyewe.Kwa sababu hata nisiposema unaweza kuuweka wengine wakauona.Mimi nitapima nikiona ni matusi tu wala sitatia neno.Nitakuacha na ujinga wako
 
Hapa mtoa mada alisahau kufafanua. Hakuna ya mambo ambayo yaliletwa kwenye ulimwengu wa Kiislamu kutoka kwa Wagiriki na wengine wasio kuwa Waislamu zaidi ya Falsafa. Falsafa yenyewe inapingwa na kukosolewa vikali, sababu imeleta athari hasi katika fikra za wasomi wengi wazamani wa Kiislamu.

Baadhi ya wanazuoni hao wakiislamu waliojikita katika hizo elimu na baadae wakaja kujutia na kuzikosoa na kutubia kama vile Abdul Ma'al al Juweiniy, Imam Ghazali na wengine.
Hilo lipo pia.Wengi walivutia na falsafa hizo na walipogundua baaada ya taratibu za kisayansi walizozianzisha waislamu wenyewe wakagundua kulikuwa na kasoro kubwa.
Zipo falsafa ambazo zilipingwa na Quran yenyewe bila kujali walichosema wanafalsafa waliotangulia.Hili linakwenda kinyume na wale wanaosema eti Quran ilikopiwa kutoka mahali fulani.
 
Huo ushahidi wako kama kwamba huuamini au unauogopa mwenyewe.Kwa sababu hata nisiposema unaweza kuuweka wengine wakauona.Mimi nitapima nikiona ni matusi tu wala sitatia neno.Nitakuacha na ujinga wako

Contradictions in the Qur’an​

by Matt Slick | Dec 12, 2008 | Islam, World Religions
The Qur’an states that it is a perfect book preserved on tablets in heaven (Surah 85:21-22). If the Qur’an is a perfect book from Allah, then there shouldn’t be any contradictions in it. Of course, the Muslims will deny that any contradictions exist in the Qur’an, but they do. Some of the contradictions below could be debated, but some of them are clearly contradictions.
A contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.
All quotes from the Qur’an, unless otherwise specified, are from Yusuf Ali and can be found at the Qur’an online.
  1. What was man created from: blood, clay, dust, or nothing?
    1. “Created man, out of a (mere) clot of congealed blood,” (96:2).
    2. “We created man from sounding clay, from mud moulded into shape, (15:26).
    3. “The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: “Be”. And he was,” (3:59).
    4. “But does not man call to mind that We created him before out of nothing?” (19:67, Yusuf Ali). Also, 52:35).
    5. “He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer! (16:4).
  2. Is there or is there not compulsion in religion according to the Qur’an?
    1. “Let there be no compulsion in religion: Truth stands out clear from Error: whoever rejects evil and believes in Allah hath grasped the most trustworthy hand-hold, that never breaks. And Allah heareth and knoweth all things,” (2:256).
    2. “And an announcement from Allah and His Messenger, to the people (assembled) on the day of the Great Pilgrimage, – that Allah and His Messenger dissolve (treaty) obligations with the Pagans. If then, ye repent, it were best for you; but if ye turn away, know ye that ye cannot frustrate Allah. And proclaim a grievous penalty to those who reject Faith,” (9:3).
    3. “But when the forbidden months are past, then fight and slay the Pagans wherever ye find them, and seize them, beleaguer them, and lie in wait for them in every stratagem (of war); but if they repent, and establish regular prayers and practice regular charity, then open the way for them: for Allah is Oft-forgiving, Most Merciful,” (9:5).
    4. Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued,” (9:29).
  3. The first Muslim was Muhammad? Abraham? Jacob? Moses?
    1. “And I [Muhammad] am commanded to be the first of those who bow to Allah in Islam,” (39:12).
    2. “When Moses came to the place appointed by Us, and his Lord addressed him, He said: “O my Lord! show (Thyself) to me, that I may look upon thee.” Allah said: “By no means canst thou see Me (direct); But look upon the mount; if it abide in its place, then shalt thou see Me.” When his Lord manifested His glory on the Mount, He made it as dust. And Moses fell down in a swoon. When he recovered his senses he said: “Glory be to Thee! to Thee I turn in repentance, and I am the first to believe.” (7:143).
    3. “And this was the legacy that Abraham left to his sons, and so did Jacob; “Oh my sons! Allah hath chosen the Faith for you; then die not except in the Faith of Islam,” (2:132).
  4. Does Allah forgive or not forgive those who worship false gods?
    1. Allah forgiveth not that partners should be set up with Him; but He forgiveth anything else, to whom He pleaseth; to set up partners with Allah is to devise a sin Most heinous indeed,” (4:48). Also 4:116
    2. The people of the Book ask thee to cause a book to descend to them from heaven: Indeed they asked Moses for an even greater (miracle), for they said: “Show us Allah in public,” but they were dazed for their presumption, with thunder and lightning. Yet they worshipped the calf even after clear signs had come to them; even so we forgave them; and gave Moses manifest proofs of authority,” (4:153).
  5. Are Allah’s decrees changed or not?
    1. “Rejected were the messengers before thee: with patience and constancy they bore their rejection and their wrongs until Our aid did reach them: there is none that can alter the words (and decrees) of Allah. Already hast thou received some account of those messengers,” (6:34).
    2. “The word of thy Lord doth find its fulfillment in truth and in justice: None can change His words: for He is the one who heareth and knoweth all, (6:115).
    3. None of Our revelations do We abrogate or cause to be forgotten, but We substitute something better or similar: Knowest thou not that Allah Hath power over all things?” (2:106).
    4. When We substitute one revelation for another,- and Allah knows best what He reveals (in stages),- they say, “Thou art but a forger”: but most of them understand not,” (16:101).
  6. Was Pharaoh killed or not killed by drowning?
    1. “We took the Children of Israel across the sea: Pharaoh and his hosts followed them in insolence and spite. At length, when overwhelmed with the flood, he said: “I believe that there is no god except Him Whom the Children of Israel believe in: I am of those who submit (to Allah in Islam). (It was said to him): “Ah now!- But a little while before, wast thou in rebellion!- and thou didst mischief (and violence)! This day shall We save thee in the body, that thou mayest be a sign to those who come after thee! but verily, many among mankind are heedless of Our Signs!” (10:90-92).
    2. Moses said, “Thou knowest well that these things have been sent down by none but the Lord of the heavens and the earth as eye-opening evidence: and I consider thee indeed, O Pharaoh, to be one doomed to destruction!” So he resolved to remove them from the face of the earth: but We did drown him and all who were with him,” (17:102-103).
  7. Is wine consumption good or bad?
    1. O ye who believe! Intoxicants and gambling, (dedication of) stones, and (divination by) arrows, are an abomination,–of Satan’s handwork: eschew such (abomination), that ye may prosper,” (5:90).
    2. (Here is) a Parable of the Garden which the righteous are promised: in it are rivers of water incorruptible; rivers of milk of which the taste never changes; rivers of wine, a joy to those who drink; and rivers of honey pure and clear. In it there are for them all kinds of fruits; and Grace from their Lord. (Can those in such Bliss) be compared to such as shall dwell forever in the Fire, and be given, to drink, boiling water, so that it cuts up their bowels (to pieces)?” (47:15).
    3. Truly the Righteous will be in Bliss: On Thrones (of Dignity) will they command a sight (of all things): Thou wilt recognize in their faces the beaming brightness of Bliss. Their thirst will be slaked with Pure Wine sealed,” (83:22-25).
 
Huo ushahidi wako kama kwamba huuamini au unauogopa mwenyewe.Kwa sababu hata nisiposema unaweza kuuweka wengine wakauona.Mimi nitapima nikiona ni matusi tu wala sitatia neno.Nitakuacha na ujinga wako

Contradictions and Inconsistencies in the Qur’an​

June 20, 2018
Syed Kamran Mirza
Secular Islam

Presented is an excerpt from Syed Kamran Mirza’s “Quranic Erroneous Science and Contradictions”
With some samples of Quranic contradictions and erroneous science has been prepared to rebut wishful Islamists who are claiming science in Quran. Qur’an has numerous scientific flaws, historical, ethical, and logical contradictions, though Mullahs and many western educated Islamists always claim that Quran is infallible and immutable words of God. To disprove their dishonest and deceitful claim—I have compiled some Quranic contradictions and serious scientific flaws in this essay by using authentic Quranic verses and Sahi hadiths, hence categorically proved that Qur’an was man made book.

A. Some Cosmological Flaws: (Scientific contradictions)​

(1) God created the Heaven first or, the Earth first (?)
Which one was created first? As you will see in the verses below, Allah at one time says that Earth was created first and another time He says that the Heaven was created first.
Quran-2:29: It is He who hath created for you all things that are on Earth; THEN He turned to the Heaven and made them into seven firmaments (Skies)….
Quran- 79:27-30: Are you the harder to create, or is the heaven that He built ? He raised the height thereof and ordered it; and He has made dark the night thereof, and He brought forth the morning thereof. And after that, He spread (flattened) the earth.
Now, does it match modern science? Do you believe that, Earth was created first, and after that, God created Heaven? Does modern science tell us that?

Numerical Contradictions​

There are many numerical contradictions in the Quran. God cannot make an error in doing simple calculations.
How many days did it take to create the Heavens and the Earth?
Quran-7:54: Your guardian-Lord is Allah who created the heavens and earth in Six Days
Quran-10:3: Verily your Lord is Allah, who created the heavens and earth in Six Days
Quran- 11:7: He it is Who created the heavens and earth in Six Days
Quran-25:29: He Who created the heavens and earth and all that is between, in Six Days
The above verses clearly state that Allah ( God) created the heavens and the Earth in 6 days. But the verses below stated
Quran-41:9 : Is it that ye deny Him who created the earth in Two Days ?
Quran- 41:10: He set on the (earth) Mountains standing firm high above it, and bestowed blessing on the earth, and measured therein all things to give them nourishment in due proportion, in FOUR DAYS…
Quran-41:12: So He completed them (heavens) as seven firmaments in Two days and …
Now do the math: 2 (for earth) + 4 (for nourishment) + 2 (for heavens) = 8 days; and not 6 days.
You can see similar mistakes in the verses: Quran-4:11, 4:12, and 4: 176 in inheritance law. In these verses one can see the total property after adding all distributed parts adds up more than the available property, i.e., the totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come? A gross mathematical error, is it not? Allah’s Days Equal to 1000 Years or 50,000 Years?
Quran-22:47: A day in the sight of the Lord is like a thousand years of your reckoning.
Quran-32:5: To Him, on a Day, the space whereof will be a thousand years of your reckoning
Quran-70:4: The angels and the spirit ascend unto him in a day the measure whereof is fifty thousand years.
So, which one is it? Is the day of Allah equal to 1,000 earth years or 50,000 earth years? Creation of the Heavens and the Earth Which one was created first? As you will see in the verses below, Allah at one time says that Earth was created first and another time he says that the Heavens were created first.
Quran-2:29: It is He who hath created for you all things that are on Earth; THEN He turned to the Heavens and made them into seven firmaments (Skies)….
Quran- 79:27-30: Are you the harder to create, or is the heaven that He built? He raised the height thereof and ordered it, and He has made dark the night thereof, and He brought forth the morning thereof. And after that, He spread (flattened) the earth
Now, does it match modern science? Do you believe that, Earth was created first, and after that, God created Heaven? Does modern science tell us that? Or that there are SEVEN firmaments (layers)? Modern science tells us that, actually there is no such thing as a firmament or any roof over us, it is only a space with no known boundary at all. These verses simply reinforce the ancient idea of a ROOF over us which is called the SKY! How funny!

Sunset and Sunrise​

The Quran teaches us that the Sun sets in a muddy spring:
Quran-18:86: Till, when he (the traveler Zul-qarnain) reached the setting-place of the Sun, he found it going down into a muddy spring…
Quran- 18:90: Till, when he reached the rising-place of the Sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no shelter from it.
There are serious scientific errors here. Firstly, it is a scientifically accepted fact that the Sun never goes down into a muddy spring. Secondly, this seems to presuppose a FLAT Earth, otherwise how can there be an extreme point in the West or in the East? A sunrise there would be basically just the same as at any other place on this earth, at land or sea. It would still look as if it is setting “far away.” It does say, that he reached THE PLACE where the Sun sets and in his second journey THE PLACE where it rises.

A Resting Place for the Sun?​

Quran-36:38: And the Sun runneth on unto a resting place for him. That is the measuring of the Mighty, the Wise.
Quran-36:39: And for the moon, We have appointed mansions till she return like an old shriveled palm leaf.
Quran-36:40: It is not for Sun to overtake the moon, nor doth the night outstrip the day. They float each in an orbit.
Allah is indeed a great scientist. Where are the Sun and the moon situated? Can anybody tell me how they could collide/meet/overtake each other? Are the Sun and moon neighbors to each other? I have the answer for this error: Ancient Allah saw (through observations with the naked eye) the Sun and moon traveling from east to west seemingly in the same part of the sky and on the same path. Yet they did not collide and continued to cause day and night, etc. Allah could hardly imagine that all these phenomena are simply due to Earth’s rotation and NOT by the Sun’s rotation.
The Sun is stationary for Earth, because the Earth is stuck in the Sun’s Gravity, just as we are stuck in the Earth’ gravity. Allah never says anywhere in the whole Quran that the earth rotates. Perhaps Allah could not feel Earth’s rotation.

A Resting Place for the Sun Was Confirmed By Hadiths​

Sahih Bukhari Hadiths:
Abzur Ghifari (ra) narrated: one day Prophet Mohammad (pbuh) asked me, “Abzar do you know after setting where does the Sun go?” I replied, I do not know, only Allah’s apostle could say better. Then the Prophet (SA) replied, “After setting, the Sun remains prostrated under Allah’s Aro’sh and waits for Allah’s command for rising again in the East. Day will come when sun will not get permission to rise again and Qeyamot will fall upon earth”.
Can anybody tell me what it is? It was the superstitious belief of ancient people reflected in the Quran and Hadiths by Allah. A 10-year-old boy would not tell such a fairy-tale today.

Why Allah created Stars​

Quran gives us further scientific knowledge by telling us that the stars were created by Allah as missiles to throw at the devils:
Quran-67:5: And We have (from of old) adorned the lowest heaven (sky) with lamps, and We have made such (Lamps as) missiles to drive away Satans…
Quran-37:6-8: We have indeed decorated the lower heaven (sky) with beauty (in) the stars, (for beauty) and for guard against all obstinate rebellious Satans. So they should not strain their ears in the direction of the Exalted Assembly but be cast away from every side.
Thus, the stars are nothing but missiles to throw at devils so that they may not eavesdrop on the heavenly council. Once again we find how Allah was high on his superstitious weirdness.

Sky/Heaven is Nothing but A ROOF or Canopy over the Earth​

Quran-21: 32: And We have made the sky a roof withheld (from them). Yet they turn away from its portents.
Quran-31:10: He hath created the heavens (Skies) without supports (pillars) that ye can see, and hath cast into the earth firm Mountains/Hills, so that it quake not with you; and He hath dispersed…
Quran-21: 32: And We have made the sky ( heavens ) as roof (canopy) well guarded…
Quran-2: 22: Who has made the earth your couch, And the heavens (Sky) your canopy
Modern science tells us- the Earth is entirely surrounded by space and there is no boundary even if we go billions of trillions of miles in any direction. The question is: If there is no sky above us then how in the world does the question of pillars come in? Do we really have a roof above us? Is there a canopy (Shamiaa’na) above the earth? In most Bengali translations of the Quran all Maulanas write: Allah akashke samiaana bannei-ese.
The Quran claims Allah gives rain from above! Ordinary People consider Allah as residing in the sky above the earth. But in cosmological science there is no up or down, that is, earth revolves and there is no fixed above or below for the earth. Every direction in outer space can be up or down. Are mountains there to prevent the earth from shaking? Give me a break!

Allah considered the sky as a roof over the earth which will break/be shattered during Doomsday​

Quran-78::19: And the heavens (sky) Shall be broken (opened) as if there were doors opens…
Quran-82:01: When the Sky is cleft asunder
Quran-69:16: And the sky will be Rent asunder, for it will that day be flimsy (soft)
Quran-81: 2: When the stars fall, losing their luster.
Yousuf Ali comments in his Tafsir: The beautiful blue sky overhead (which we take for granted in sunshine) will be shattered to pieces. Modern science tells us that there is no such thing as a roof, sky or any canopy over the earth, rather all around the Earth is limitless space. Only Allah knows what will break/get shattered or will get soft/flimsy or how doors will open – there are no walls, so where will doors come from? In some Ayats Allah threatened kafirs by saying: “I (Allah) will throw broken pieces of sky over your head.”

Sun and Moon Rotates​

Quran-31: 29: Seest thou not that Allah merges Night into Day and He merges Day into Night; That He has subjected the Sun and moon (to His law), each running its course for a term (time) appointed.
Quran-21: 33: It is He who created the Night and Day, And the Sun and Moon; each of them swim (float) along in its own course.
Ayats mentioned above could be found over and over again and again in almost every page of the Quran. This is because Allah, standing in the open Arab desert, saw very well that every morning the SUN was rising from the east and gradually (at the appointed time) setting to the west, and as a result, day and night follow. Allah actually shared this misconception (the Sun moving) of pre-historic people. Every time Allah speaks of the Sun & Moon, he referred to Day & Night, as if it is due to the Sun’s movement that day and night follows.
But surprisingly, all the hypocritical Mullahs give false credit to Allah by saying: Look, the Quran described the Sun’s movement 1400 years ago, which modern science only found out now. In the real world, the Sun takes 225 million years to make just one complete circle through the galaxy. And obviously this movement of the Sun has nothing to do with DAY & NIGHT of the earth. Actually, the Sun is stationary for the earth in a real sense, because the Earth is stuck in the giant gravitational force of the Sun. The Earth also moves along with the Sun wherever it goes, just the way that we are stuck to the Earth’s gravitational force and do not feel Earth’s movement at all. Why then, was Allah referring to the Sun’s movement again and again? I have already mentioned above, why Allah was mistaken about the Sun’s movements. Now dishonest Mullahs are claiming that this is science here. I wonder why Allah has to mention about the Sun’s 225 million year journey to tell about day and night? What does the Sun’s movement have to do with the day and night?

Earth is Spread Out Like a Carpet​

Quran-15:19: And the earth We have spread out (like a carpet); set thereon mountains firm and immovable;
Quran-78: 6-7: Have We not made the earth as a wide expanse, And the mountains as pegs (anchor)? Allah was sure that the Earth is flat like a carpet and that mountains are there to anchor the earth so that the Earth does not shake with us. Allah is really an excellent scientist.
Here in this Verse, Allah Challenges People: Who Can Tell Whether the Conceived is Male or Female?
Quran-31:34: Verily the knowledge of the Hour is With God (alone). It is He Who sends down rain, and He who knows what is in the wombs of mothers….
Who does not believe the fact that, actually mankind can predict very accurately (99.5%) when rain will fall and can predict (99.8%) the sex of the child inside a mother’s womb? Scientists also predict that, in the next five years weather predictions will be successfully correct almost 100%. Perhaps Allah could not imagine this.

B. Some Embryological contradictions/errors

Man is Created From Clotted blood?
Quran-23:14: Then fashioned We the drop (semen) a CLOT OF CONGEALED BLOOD then fashioned We the clot a little lump (fetus), fashioned We the little lump into bones, then clothed the bones with flesh, and then produced it another creation. So blessed be Allah, the Best of Creators.
(Bengali translations of the Quran read: “Zamaa’t Raokto theeke Manoosh banieesi” And this Ayat has been repeated again and again throughout the Quran)
Quran-75:38: Then he becomes a CLOT; then (Allah) shaped and fashioned…
Quran-96:2: Created man, out of a mere clot of congealed blood
There are serious scientific problems here:
A blood clot can not grow into anything. This idea came from the Greeks. Aristotle erroneously believed that humans are originated from the action of male semen upon female menstrual blood, which is absolutely an incorrect assumption. The Quran’s assertion on the clot (alaqa) is completely wrong about human development, since there is absolutely no stage during which the embryo consists of a clot. The only situation in which an embryo might appear like a clot is during a miscarriage, in which case the clotted blood which is seen to emerge (much of which comes from the mother) is solidified and by definition no longer alive. Therefore, if ever an embryo appeared to look like a clot it would never develop any further into a human; it would be a dead mass of bloody miscarriage.
Since Prophet Muhammad (pbuh) had some thirteen wives it is entirely possible that he would be very familiar with miscarriages. Modern science tells us that the formation of human embryo is a seamless continuation from conception to birth, hence there are no hard-and-fast boundaries of stages as the Quran described. The Quran described 4 stages which matches exactly with Galenic description of the development of the human embryo (which was proved wrong by modern science).
Creation of bones and clothing of bones with flesh: According to modern embryologists including Prof. Moore of Canada, the tissue from which bone originates, known as mesoderm, is the same tissue as that from which muscle (flesh) develops. Thus bone and muscles begin to develop simultaneously, rather than sequentially (as the Quran tells us). Moreover, most of the muscle tissue that we human have is laid down before birth, but bones continue to develop and calcify (strengthen with calcium) right into one’s teenage years. So it would be more accurate if the Quran had said that muscles started to develop at the same time as bones, but completed their development earlier.
The idea that bones are clothed with flesh is not only scientifically completely wrong/false, but was directly copied from the ancient Greek doctor Galen’s hypothesis. Also, the idea of saying: “made into bones and clothed the bones with muscle” came from the technique of making animal statues (Moorthy) out of rod and cement or mud. People usually make the skeleton (out of rod or stick) first and, then cover it up with cement or mud. This is scarcely a scientific description of embryonic development. It is rather a description of a layman.

E. Self-contradictory Quranic verses

Which one is correct:
Quran-2:256: There is no Compulsion in religion….
OR
Quran-9:29: Fight those who do not profess the true faith (Islam) till they pay the polltax (jiziya) with the hand of humility.
Quran-9:5: Then, when the sacred months have passed, slay the idolaters wherever ye find them and take them captive, and besiege them and prepare for them each ambush….
Quran-47:4: When you meet the unbelievers in the Jihad strike off their heads….
Quran-2:191: And slay (kill) them wherever ye catch them, and turn them out from where they have turned you out such is the reward of those who suppress faith.
Quran-8: 65: O Apostle! Rouse the believers to the fight…(against) unbelievers.
Very often apologetics claim that, Islam is a religion of peace and there is no compulsion. Yet, punishment of an apostate in Islam is, of course, the death penalty.

In Many Ayats Allah Claimed That, He Has Given the Quran in Easy and Clear Language​

Quran-44:58: Verily, We have made This Quran easy in the tongue, in order that they may give heed.
No matter which translation of the Quran we read, the Quranic materials remain the same to us and every sentence is self-explanatory. It does not take a rocket scientist to comprehend the message Allah wanted to transmit for Arabs. Yet, bigoted Mullahs will always blame translators for Quranic contradictions/errors/inconsistencies etc. and will try to find lame excuses to cover up Allah’s ignorance.
Comments: The Holy Quran is full of inaccuracies, contradictions, inconsistencies, redundancies, a lack of chronologies or chapters, grammatical errors etc. One can find hundreds of contradictions/errors/inconsistencies in the Holy Quran and the above mentioned ayats are just selected samples from the Quran. But still it is a miracle to those who are blindfolded bigots. “The mind of a bigot is like the pupil of the eye; the more light you pour upon it, the more it will contract.”- Oliver Wendell Holmes
Special note: Quranic ayats were taken from Maulana A. Yousuf Ali’s English translations of Holy Quran. Maulan Yousuf Ali’s translations are internationally accepted as authentic & unbiased. Some of the recent Quranic translation has biased interpretations and word changing (pick & choose) to match with the utopia of science in Quran. Readers may be informed that, the Quranic translation by Maulana A. Yousuf Ali is considered most reliable & Authentic by most Islamic Scholars throughout the world. Hadiths were taken from Bukhari Sharif (Sahih).

Syed Kamran Mirza was born in a Muslim family of Bangladesh. After having Ph.D. in Biological science he worked as a teacher in the University in Bangladesh for a period of 12 years, now lives in USA. He is the author of the book, “Roots of Islamic Terrorism” published in 2004. And also authored more than 200 articles scrutinizing in various aspects of Islam, some of which have been published in the reputed journals. He can be reached at Mirza.syed@gmail.com
The full collection of inconsistencies and contradictions written by Syed Kamran Mirza can be found here
 
Tatizo hawa ndugu zetu wa madrasa wakizitazama Iraq na Iran ya sasa zilizo na idadi kubwa ya waislam wanadhani tangu kale walikuwa waislam, na hawajui kuwa wale si waarabu😄😄😄
Tumesema uislamu ni dini ya tangu baba yetu Adam.Hivyo kila sehemu uislamu ulikuwepo na baadae wakatokea wapotofu.Hivyo Iraq,Ugiriki na kwengineko tunaamini kulikuwa na waislamu waliokuwa wakipokea miongozo ya Allah kwa uhakika halafu baadae wakaingia waliopotoshwa na shetani.
Saudi Arabia na nchi nyengine za kiislamu kuna waislamu na watu waliopotea.Hivyo hapo baadae baada ya karne kadhaa kama dunia itaendelea kuwepo na ukaja ukaandika au kuchimbua kitu kilichoandikwa sasa na waislamu itakuwa shida kwa watu wa muda huo kuamini kuwa kilitokana na waislamu na sio wale wapotofu.
 
Contradictions in the Qur’an​

by Matt Slick | Dec 12, 2008 | Islam, World Religions
The Qur’an states that it is a perfect book preserved on tablets in heaven (Surah 85:21-22). If the Qur’an is a perfect book from Allah, then there shouldn’t be any contradictions in it. Of course, the Muslims will deny that any contradictions exist in the Qur’an, but they do. Some of the contradictions below could be debated, but some of them are clearly contradictions.
A contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.
All quotes from the Qur’an, unless otherwise specified, are from Yusuf Ali and can be found at the Qur’an online.
  1. What was man created from: blood, clay, dust, or nothing?
    1. “Created man, out of a (mere) clot of congealed blood,” (96:2).
    2. “We created man from sounding clay, from mud moulded into shape, (15:26).
    3. “The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: “Be”. And he was,” (3:59).
    4. “But does not man call to mind that We created him before out of nothing?” (19:67, Yusuf Ali). Also, 52:35).
    5. “He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer! (16:4).
  2. Is there or is there not compulsion in religion according to the Qur’an?
    1. “Let there be no compulsion in religion: Truth stands out clear from Error: whoever rejects evil and believes in Allah hath grasped the most trustworthy hand-hold, that never breaks. And Allah heareth and knoweth all things,” (2:256).
    2. “And an announcement from Allah and His Messenger, to the people (assembled) on the day of the Great Pilgrimage, – that Allah and His Messenger dissolve (treaty) obligations with the Pagans. If then, ye repent, it were best for you; but if ye turn away, know ye that ye cannot frustrate Allah. And proclaim a grievous penalty to those who reject Faith,” (9:3).
    3. “But when the forbidden months are past, then fight and slay the Pagans wherever ye find them, and seize them, beleaguer them, and lie in wait for them in every stratagem (of war); but if they repent, and establish regular prayers and practice regular charity, then open the way for them: for Allah is Oft-forgiving, Most Merciful,” (9:5).
    4. Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued,” (9:29).
  3. The first Muslim was Muhammad? Abraham? Jacob? Moses?
    1. “And I [Muhammad] am commanded to be the first of those who bow to Allah in Islam,” (39:12).
    2. “When Moses came to the place appointed by Us, and his Lord addressed him, He said: “O my Lord! show (Thyself) to me, that I may look upon thee.” Allah said: “By no means canst thou see Me (direct); But look upon the mount; if it abide in its place, then shalt thou see Me.” When his Lord manifested His glory on the Mount, He made it as dust. And Moses fell down in a swoon. When he recovered his senses he said: “Glory be to Thee! to Thee I turn in repentance, and I am the first to believe.” (7:143).
    3. “And this was the legacy that Abraham left to his sons, and so did Jacob; “Oh my sons! Allah hath chosen the Faith for you; then die not except in the Faith of Islam,” (2:132).
  4. Does Allah forgive or not forgive those who worship false gods?
    1. Allah forgiveth not that partners should be set up with Him; but He forgiveth anything else, to whom He pleaseth; to set up partners with Allah is to devise a sin Most heinous indeed,” (4:48). Also 4:116
    2. The people of the Book ask thee to cause a book to descend to them from heaven: Indeed they asked Moses for an even greater (miracle), for they said: “Show us Allah in public,” but they were dazed for their presumption, with thunder and lightning. Yet they worshipped the calf even after clear signs had come to them; even so we forgave them; and gave Moses manifest proofs of authority,” (4:153).
  5. Are Allah’s decrees changed or not?
    1. “Rejected were the messengers before thee: with patience and constancy they bore their rejection and their wrongs until Our aid did reach them: there is none that can alter the words (and decrees) of Allah. Already hast thou received some account of those messengers,” (6:34).
    2. “The word of thy Lord doth find its fulfillment in truth and in justice: None can change His words: for He is the one who heareth and knoweth all, (6:115).
    3. None of Our revelations do We abrogate or cause to be forgotten, but We substitute something better or similar: Knowest thou not that Allah Hath power over all things?” (2:106).
    4. When We substitute one revelation for another,- and Allah knows best what He reveals (in stages),- they say, “Thou art but a forger”: but most of them understand not,” (16:101).
  6. Was Pharaoh killed or not killed by drowning?
    1. “We took the Children of Israel across the sea: Pharaoh and his hosts followed them in insolence and spite. At length, when overwhelmed with the flood, he said: “I believe that there is no god except Him Whom the Children of Israel believe in: I am of those who submit (to Allah in Islam). (It was said to him): “Ah now!- But a little while before, wast thou in rebellion!- and thou didst mischief (and violence)! This day shall We save thee in the body, that thou mayest be a sign to those who come after thee! but verily, many among mankind are heedless of Our Signs!” (10:90-92).
    2. Moses said, “Thou knowest well that these things have been sent down by none but the Lord of the heavens and the earth as eye-opening evidence: and I consider thee indeed, O Pharaoh, to be one doomed to destruction!” So he resolved to remove them from the face of the earth: but We did drown him and all who were with him,” (17:102-103).
  7. Is wine consumption good or bad?
    1. O ye who believe! Intoxicants and gambling, (dedication of) stones, and (divination by) arrows, are an abomination,–of Satan’s handwork: eschew such (abomination), that ye may prosper,” (5:90).
    2. (Here is) a Parable of the Garden which the righteous are promised: in it are rivers of water incorruptible; rivers of milk of which the taste never changes; rivers of wine, a joy to those who drink; and rivers of honey pure and clear. In it there are for them all kinds of fruits; and Grace from their Lord. (Can those in such Bliss) be compared to such as shall dwell forever in the Fire, and be given, to drink, boiling water, so that it cuts up their bowels (to pieces)?” (47:15).
    3. Truly the Righteous will be in Bliss: On Thrones (of Dignity) will they command a sight (of all things): Thou wilt recognize in their faces the beaming brightness of Bliss. Their thirst will be slaked with Pure Wine sealed,” (83:22-25).
Nimekwambia kuwa sipendi nisome matusi.Kwa hiyo hoja yako ya mwanzo uliyoikazia naona bora nikufahamishe kwani naona kama kuna hoja ya kitoto sana.
Kabla ya kuumbwa binadamu bila shaka hakukuwa na chochote na hata kwa mbingu.Ajuaye ni Mungu mwenyewe
Kabla ya wewe Kiranga kuzaliwa hakuna aliyekujua na tunasema hukuwa chochote..
Binadamu tangu wa mwanzo ni yule yule aliyeumbwa kwa udongo na vumbi kama la mfinyanzi.Muendelezo wa binadamu hawa ni kwa njia ya kuzaana kupitia spamu.
Maji yameundwa na Hydrogen na Oxygen.Ukiyaona yamo kwenye glasi huwezi kujua hivyo.Lakini kama utachukua molecule 2 za hdrogen na moja ya oxygen ukazichanganya kwa namna utakayoweza utapata maji.Utakaposema nimetengeneza maji kwa Hydrogen bila kumalizia na oxygen hutakosea na hakuna atakayekulazimisha kujibu kuwa ulichanganya na nini
Wewe kiranga baada ya kukuona kama ulivyo tunajua ni binadamu mwenzetu na katika muundo ule ule wa baba yetu Adam.Hata daktari haulizi siku spam waliosababisha kuwepo kwako waliingia lini na wazazi wako walikuwa wapi.Hiyo pia haiondoshi ukweli kuwa wewe umeumbwa na yule yule aliyemuumba Adam ukiwa na virutubisho vyote vya udongo
 
Back
Top Bottom