Mr
ChoiceVariable, kama hujui kitu ni vyema kuuliza ili ujazwe maarifa..!
1. Unaelewa maana ya neno "
delivery man/boy/girl/woman?" kweli wewe?
2. Nini tofauti ya
delivery man/boy/woman & bodaboda..?
Ngoja nikusaidie facts zifuatazo ili akili yako ifunguke;
FACT #1: Pikipiki nyingi zinatengenezwa China, Vietnam, Japan, Singapore na kwingineko..
===Kote huko huwezi kukuta zinatumika kama usafiri rasmi maarufu kama bodaboda kusafirisha abiria. Unadhani ni Kwa sababu Gani huku wao wenyewe wakiwa ni watengenezaji wa hizo pikipiki?
FACT #2: Nchi zote zote za Ulaya na USA, Canada na kwingine hakuna bodaboda zilizojasiliwa rasmi kama vyombo vya kusafirisha abiria kama ilivyo Tanzania..!! Au bado unabisha tu?
===Ukisikia mtu anaitwa delivery man/boy/woman/girl
, maana yake huyo ni mtu aliyeajiriwa na kampuni fulani na kupewa Pikipiki Kwa ajili ya ku - deliver huduma kwa wateja wa kampuni au shirika hilo mainly huwa ni hotels na kampuni za kusafirisha parcels...
===Kwa hiyo yeye huyo mtu anakuwa ni mwajiriwa na Pikipiki ni chombo chake cha kumrahisishia kuwahi kazini na kupeleka mizigo ya watu..!!
FACT #3: Kwa nchi za dunia ya tatu Tanzania ikiwemo, pikipiki maarufu kama "
bodaboda" ni vyombo rasmi vya kusafirisha abiria vinavyotambuliwa na serikali. ..
Na vijana wengi wamejikuta (si Kwa kupenda bali Kwa kulazimishwa na mazingira ya ukosefu wa ajira) wakiwa bodaboda mijini na vijijini..
===Usidanganye watu hapa hakuna anayependa kufanya kazi yenye risk kubwa kiafya
na kiuhai
kama hii. Mazingira yaliyotengenezwa na serikali (watawala) yanalazimisha watu hususani vijana waifanye tu ili mradi wapate mkate wa siku..
===Ni jukumu la serikali kutengeneza mazingira ya watu kuwa na decent employment opportunities. Viongozi wa serikali wanaotetea hii kitu ni Kwa sababu wanajaribu kuficha failure ya sera na mipango na mikakati ya
CCM na serikali yao kuwatoa watu kwenye dimbwi umaskini..
===Uwepo wa bodaboda ni ishara mojawapo ya umaskini uliokithiri (absolute poverty)
NDIYO MAANA YA KELELE HIZI TOKA KWA VIONGOZI WA CCM na SERIKALI YAO KUNG'AKA baada ya kauli ya Godbless Lema maana ni kauli hii ni kali na ya kuchochea hasira za vijana mara wanapopata UFAHAMU na UELEWA wa chanzo cha umaskini na taabu zao kuwa ni CCM na serikali yao
..