Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

Tuna matatizo makubwa mkuu,vijana kila mwaka wanahitimu ardhi university wangetusaidoa hilo kakini tumeishia kuona miji yetu inakuwa kila siku ikiwa unplanned,
 
Dakawa high school wewe ni kijana wa Kijame, Ndiva, kasembe, mrema na kalembo hahaha ile shule ilikuwa pouwa sana nakumbuka mambo ya kijungu baada ya maharage ya mzee mhina
 
Dakawa high school wewe ni kijana wa Kijame, Ndiva, kasembe, mrema na kalembo hahaha ile shule ilikuwa pouwa sana nakumbuka mambo ya kijungu baada ya maharage ya mzee mhina
Ahaaa kijame the best head master sijui yuko wapi yule mzee,ndiva mzee wa literature,kasembe geography,mzee mhina alikuwa rafiki yangu sana alinipendelea mno misosi
 
Ahaaa kijame the best head master sijui yuko wapi yule mzee,ndiva mzee wa literature,kasembe geography,mzee mhina alikuwa rafiki yangu sana alinipendelea mno misosi
wewe ni school mate mkuu ukuje pm tuzungumze bhana hahaha. kijame alikuwa na akili nyingi sana yule mzee kwa sasa hakuna ma headmaster kama wale
 
wewe ni school mate mkuu ukuje pm tuzungumze bhana hahaha. kijame alikuwa na akili nyingi sana yule mzee kwa sasa hakuna ma headmaster kama wale
Kabisaaa wewe ni mate,ulikuwepo enzi za Babu Sikare
 
Kabisaaa wewe ni mate,ulikuwepo enzi za Babu Sikare
huyo simkumbuki namkumbuka innocent ndo alikuwa anapenda sana USA by then nilikuwa naona kama ndoto hivi. kina regu n co
 
huyo simkumbuki namkumbuka innocent ndo alikuwa anapenda sana USA by then nilikuwa naona kama ndoto hivi. kina regu n co
Wate hao nawajua inno hakuwahi kukanyaga USA yuko NSSF.mudy white,mnyangara,tuombye hao wapo USA,babu sikare alimaliza 1999 nadhani ulikuwa hujaingia
 
Wate hao nawajua inno hakuwahi kukanyaga USA yuko NSSF.mudy white,mnyangara,tuombye hao wapo USA,babu sikare alimaliza 1999 nadhani ulikuwa hujaingia
nilikuwa bado aisee mudy white namjua ungekuja pm ungenisaidia sana kuhusu hizo issue za USA mate
 
Simama kwenye point yangu. Hoja yangu ni kwamba hata majiji makubwa ya dunia yana poor neighborhoods. Hata strong economies zina homeless and street beggars.

Anachoongea Godbless Lema ni USHAMBA tu kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza kakanyaga Developed world. Sisi wengine tumeona mengi zaidi ya Canada
 
Huna lolote wew bwege na huyo punguani mwenzioView attachment 2538406
Mr ChoiceVariable, kama hujui kitu ni vyema kuuliza ili ujazwe maarifa..!

1. Unaelewa maana ya neno "delivery man/boy/girl/woman?" kweli wewe?

2. Nini tofauti ya delivery man/boy/woman & bodaboda..?

Ngoja nikusaidie facts zifuatazo ili akili yako ifunguke;

FACT #1: Pikipiki nyingi zinatengenezwa China, Vietnam, Japan, Singapore na kwingineko..

===Kote huko huwezi kukuta zinatumika kama usafiri rasmi maarufu kama bodaboda kusafirisha abiria. Unadhani ni Kwa sababu Gani huku wao wenyewe wakiwa ni watengenezaji wa hizo pikipiki?

FACT #2:
Nchi zote zote za Ulaya na USA, Canada na kwingine hakuna bodaboda zilizojasiliwa rasmi kama vyombo vya kusafirisha abiria kama ilivyo Tanzania..!! Au bado unabisha tu?

===Ukisikia mtu anaitwa delivery man/boy/woman/girl, maana yake huyo ni mtu aliyeajiriwa na kampuni fulani na kupewa Pikipiki Kwa ajili ya ku - deliver huduma kwa wateja wa kampuni au shirika hilo mainly huwa ni hotels na kampuni za kusafirisha parcels...

===Kwa hiyo yeye huyo mtu anakuwa ni mwajiriwa na Pikipiki ni chombo chake cha kumrahisishia kuwahi kazini na kupeleka mizigo ya watu..!!

FACT #3
: Kwa nchi za dunia ya tatu Tanzania ikiwemo, pikipiki maarufu kama "bodaboda" ni vyombo rasmi vya kusafirisha abiria vinavyotambuliwa na serikali. ..

Na vijana wengi wamejikuta (si Kwa kupenda bali Kwa kulazimishwa na mazingira ya ukosefu wa ajira) wakiwa bodaboda mijini na vijijini..

===Usidanganye watu hapa hakuna anayependa kufanya kazi yenye risk kubwa kiafya na kiuhai kama hii. Mazingira yaliyotengenezwa na serikali (watawala) yanalazimisha watu hususani vijana waifanye tu ili mradi wapate mkate wa siku..

===Ni jukumu la serikali kutengeneza mazingira ya watu kuwa na decent employment opportunities. Viongozi wa serikali wanaotetea hii kitu ni Kwa sababu wanajaribu kuficha failure ya
sera na mipango na mikakati ya CCM na serikali yao kuwatoa watu kwenye dimbwi umaskini..

===Uwepo wa bodaboda ni ishara mojawapo ya umaskini uliokithiri (absolute poverty)

NDIYO MAANA YA KELELE HIZI TOKA KWA VIONGOZI WA CCM na SERIKALI YAO KUNG'AKA baada ya kauli ya Godbless Lema maana ni kauli hii ni kali na ya kuchochea hasira za vijana mara wanapopata UFAHAMU na UELEWA wa chanzo cha umaskini na taabu zao kuwa ni CCM na serikali yao..
 
Homeless wa canada wanalipwa kila mwezi je homeless wa Tz wanalipwa?
 
Homeless wa canada wanalipwa kila mwezi je homeless wa Tz wanalipwa?
Kumbe mnalilia kulishwa bure?? Nenda na wewe mfuate Lema, ila ukiombwa tako usije kulalamika hapa. Bure ghali
 
Kwan ya jpm mpka leo hujayasikia mzee?

Madin kwenda Rwanda Ilikua sawa

Fedha kufichwa uko magharibi je

Fedha kukutwa nyumban je

Madin kukutwa nyumban

Africa bado wabinafsi sana mkuu
Hivi no kweli haya mkuu au story tu
 
Asipokuelewa ana laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…