Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

Huyo mzee wako ni MWONGO alikudanganya tu kwa kuwa hata Johannesburg kuna slums kwenye Vitongoji vya Alexandra, Tembisa, Diepsloot. Hapo ni Alenandra njia yabkutoka Kempton Park kwenda Sandton, sasa wapi bora kati ya hapo na hii Buguruni yetu?
 
Slums hata New York zipo
Vitazame vitu katika ukubwa wake.
Hapa namaanisha maendeleo ya kimiundombinu kati ya South Africa na Tanzania ni mbingu na ardhi.hicho ndio kilimliza mzee Madiba
 
Wewe ni mpuuzi unataka kila anekuja tz akuonyeshe asset anazomiliki,usijilinganishe na Lemutuz baba yake alishamwandalia maisha hapa Tz kitambo
Kwahiyo umeona hapo umeandika utetezi wa maana? Shenzi.
 
CCM inanufaika sn na umasikini wetu
 
Acha ujinga, South imepata uhuru 94, je kwanini wao wapo mbali? tatizo ni mifumo mibovu, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea mawazo ya mtu mmoja watu 60M+
 

Zaidi ya kupanick na hoja za bendera fuata upepo sioni kama una jipya lolote. Ndio maana hoja zako zimejaa mihemko na matusi ya kienyeji. Huna hoja yoyote inayoonyesha ni ya kwako, zaidi ya hoja za jumlajumla. Hii ndio inayopelekea ww kubwa na matusi mengi kuliko hoja, na sababu hasa ni uelewa mdogo.
 
Wewe una jipya?
 
Hata uwe na mafanikio vipi, bado Tanzania sio nzuri kama ughaibuni. Ongea tu kizalendo, lakini ukweli ni kuwa huku tunaishi tu kwakuwa ni kwetu lakini sio kabisa.
Inategemea hapa bongo unaishi vipi na wapi.
Mimi bongo sibanduki.
 
Kama nakuelewa sana tu
 
Jana mida ya saa tatu usiku nilikuwa naenda Chinika kufika Buyuni nakuta boda kibao zimejazana barabarani kusimama kumbe kuna boda mmoja kagongwa na gari, kijana mdogo sana na amekufa pale pale! hata kofia ngumu hakuvaa vijana wenzio wapo namwangalia tu hata msaada wa kufunika mwili wake amna, niliwaza sana maneno ya Lema
 
Boda ni a door to hell
 
Hivi mkuu umesema historia? Marekani haikujulikan hadi anafika West Indies Christopher Columbus na baadaye Amerigo Vespuchi.Baada ya hapo Marekani ilifanywa makoloni hadi 1776.Hapo ilifuata vita ya uhuru hadi 1783.Ikazaliwa USA.Kuanzia hapo ndiyo USA ikaanza kupata maendeleo.
 
Sasa USA unalinganisha na TZ??! Kweli!!?

Wewe ni punguani kabisaaa.
 
Nimekuelewa vizuri kiongozi, upo sahihi kabisa.
 
Wewe na Lema wote mnalaana maana huwezi kuiringanisha Tanzania na USA wewe ni mpuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…