Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

Mpondoshilla

Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
36
Reaction score
132
Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu

Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
 
Mimi pesa kubwa niliowahi kuokota ni 500 na pesa kubwa niliyowahi kupoteza ni 10,000. Kwenye hiyo elfu 10 nikitoa hiyo mia 5 nabaki na hasara ya 9500. Kwa maana hiyo mimi sijawahi kuokota ela yoyote zaidi ni kupoteza elfu tisa na mia tano.
 
Back
Top Bottom