M Mpondoshilla Member Joined Jul 4, 2022 Posts 36 Reaction score 132 Jul 12, 2022 #1 Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jul 12, 2022 #2 Umasikin huu utatua Nusu nitoe kidole Cha mguu Cha mwisho jikijua 10000 kumbe Ganda la biskuti
Melancholic JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 3,076 Reaction score 5,483 Jul 12, 2022 #3 Mimi pesa kubwa niliowahi kuokota ni 500 na pesa kubwa niliyowahi kupoteza ni 10,000. Kwenye hiyo elfu 10 nikitoa hiyo mia 5 nabaki na hasara ya 9500. Kwa maana hiyo mimi sijawahi kuokota ela yoyote zaidi ni kupoteza elfu tisa na mia tano.
Mimi pesa kubwa niliowahi kuokota ni 500 na pesa kubwa niliyowahi kupoteza ni 10,000. Kwenye hiyo elfu 10 nikitoa hiyo mia 5 nabaki na hasara ya 9500. Kwa maana hiyo mimi sijawahi kuokota ela yoyote zaidi ni kupoteza elfu tisa na mia tano.
Drc congo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 636 Reaction score 2,896 Jul 13, 2022 #4 Nilisha wai kupoteza pesa za kulipa shule 35$
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 15, 2022 #5 127,000/= 2015 nilihisi kudata
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Jul 15, 2022 #6 Mu congomani said: Nilisha wai kupoteza pesa za kulipa shule 35$ Click to expand... Ungeandika 80,000/= tsh ungepjngykiwa nini
Mu congomani said: Nilisha wai kupoteza pesa za kulipa shule 35$ Click to expand... Ungeandika 80,000/= tsh ungepjngykiwa nini