Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Joined
Oct 16, 2017
Posts
88
Reaction score
145
Katika harakati za ujana chuoni, kuna manzi nilikuwa namkubali balaa, nilikuwa najua ndio nitamuoa kabisa baada ya kutendwa na wa kwanza

Basi nilimuhudumia sana yule Demu kwa dhati kabisa.

Basi siku zote alikuwa anakuja Ghetto maeneo ya Sinza. Sasa kuna siku niliwaza nimpe the best moment ya mgegedo.
Nikafanya Research ya best Hotel pale Sinza nikaona pale Grand Villa enzi hizo inatamba balaa bado mpya mpya 2010+

Room tuu ilikuwa 80/90,000/= nikajilipua
Nikampeleka hapo Mtoto show yenyewe sikufurahia sana wala nini, maana Bikra ilikuwa haijatoka Vizuri.

Total costs ya room na vinywaji/Chakula usafiri ilikuwa kama 150,000/= TZS
Nilijishangaa sana why nimechoma Hela nyingi hivo.

Ila ishapita na tushaachana kila Mtu na mishe zake sasa

Je mdau mwenzangu wewe ni kiasi gani kikubwa kabisa ulitumia kwa mgegedo mmoja?

CC: rikiboy Samboko 13 mega pixel Mshana Jr Kasie @prondo GuDume Mrs Bishanga miss chaga Atoto Mzigua90 Khantwe
 
Sasa kuna siku niliwaza nimpe the best moment ya mgegedo.

Nikafanya research ya best hotel pale Sinza nikaona pale Grand Villa enzi hizo inatamba balaa bado mpya mpya 2010+.!Room tu ilikuwa Sh. 80,000-90,000/=.

Nikajilipua nikampeleka hapo mtoto, show yenyewe sikufurahia sana wala nini, maana bikra ilikuwa haijatoka vizuri.

Ulikuwa na akili za kitoto sana, aliyekuambia kwenda hotel kali ndo na mechi inakuwa kali ni nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pia show kali haina cha huyu demu bado bikra au huyu demu kashakuwa bwawa, mwanaume ukiwa fundi unapenya popote na mechi inakuwa kali balaa, wewe kiwango kidogo sana dogo, kazana angalau utoke ndondo cup uende ligi daraja la 2.

Unforgetable
 
Katika harakati za ujana chuoni, kuna manzi nilikuwa namkubali balaa, nilikuwa najua ndio ntamuoa kabisa baada ya kutendwa na wa kwanza
Basi nilimuhudumia sana yule Demu kwa dhati kabisa.
Basi siku zote alikuwa anakuja Ghetto maeneo ya Sinza.
Sasa kuna siku niliwaza nimpe the best moment ya mgegedo.
Nikafanya Research ya best Hotel pale sinza nikaona pale Grand Villa enzi hizo inatamba balaa bado mpya mpya 2010+
Room tuu ilikuwa 80/90,000/= nikajilipua
Nkampeleka hapo Mtoto show yenyewe sikufurahia sana wala nini, maana Bikra ilikuwa haijatoka Vizuri.
Total costs ya room na vinywaji/Chakula usafiri ilikuwa kama 150,000/= TZS
Nilijishangaa sana wai nimechoma Hela nyingi hivo.
Ila ishapita na tushaachana kila Mtu na mishe zake sasa

Je mdau mwenzangu wewe ni kiasi gani kikubwa kabisa ulitumia kwa mgegedo mmoja?

CC: rikiboy Samboko 13 mega pixel Mshana Jr Kasie @prondo GuDume Mrs Bishanga miss chaga Atoto Mzigua90 Khantwe
30k na hua nalaani adi leo, nikipatwa na majanga yeyote afu niwe sina hela huwa naikumbuka sana fedha yangu
 
Mm nanunua mchele nusu kilo 900/ na nyama nusu 3500/ plus viungo na gesi iko geto tyr....huyooo anapelekwa getho....atapika,ntakula alichopika na mpishi ntamla kwa buku tano tu....baada ya hapo nampa buku mbili ya nauli huyooooo narud getho kusettle inshu zingine ziende kwenye mtandao.
 
Hela kubwa niliyotumia ilikua elfu 60. Gest 20, chakula + vinywaji 20 na yeye nikampa 20. Hapo ilikua before cjapanga gheto, saiv nina gheto gharama zimepungua sanaaaa coz napika mwenyewe au akija manzi anapika. Labda ya kumpa yeye atakapotaka kuondoka, maana cjisikii poa baada ya sex, manzi atoke kavu bila hata ya kwenda kununulia soda na mshikaki.

Nb. Some time inatokea sina kitu ila huduma napewa, ingawa mara nyingi siombi ile kitu kama mfukoni sina kitu kabisa
 
Ukiwa na gheto gharama zina pungua. Tunapoteza hela kwenda guest
Mm nanunua mchele nusu kilo 900/ na nyama nusu 3500/ plus viungo na gesi iko geto tyr....huyooo anapelekwa getho....atapika,ntakula alichopika na mpishi ntamla kwa buku tano tu....baada ya hapo nampa buku mbili ya nauli huyooooo narud getho kusettle inshu zingine ziende kwenye mtandao.
 
Watu huwa hawakumbuki gharama kwenye mautamu, ndo maana tunafilisika. Huwa hakuna hesabu ya mgegedo, ukiwa mtamu na bonasi inaongezeka.
 
Back
Top Bottom