Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Mtoto wa kiume gharamika weee

Chukua room 5 star hotel

Unatulia ndani unakula AC machakula mazaga zaga yoteee

unamuuliza "umefika wapi beib"

akanijibu "sorrie beib nimepata dharura huwezi amini mume wangu tufanye siku ingne,soriie hun"

Aseeee nilishikwa na ganzi ikawa ndio mara yangu ya kwanza kujilaza 5star hotel peke yangu

Hadi leo sitosahau lile tukio gumu na la kuumiza.

Ulilipia sh ngapi kiongozi
 
Si afadhali pesa mimi huyo demu babaake alitumwa na mganga yai la kenge na mafuta ya simba... Sio utani ni kweli kanisa.. Nilivipata kwa gharama kubwa sana halafu kumbe feki
Katika harakati za ujana chuoni, kuna manzi nilikuwa namkubali balaa, nilikuwa najua ndio ntamuoa kabisa baada ya kutendwa na wa kwanza
Basi nilimuhudumia sana yule Demu kwa dhati kabisa.
Basi siku zote alikuwa anakuja Ghetto maeneo ya Sinza.
Sasa kuna siku niliwaza nimpe the best moment ya mgegedo.
Nikafanya Research ya best Hotel pale sinza nikaona pale Grand Villa enzi hizo inatamba balaa bado mpya mpya 2010+
Room tuu ilikuwa 80/90,000/= nikajilipua
Nkampeleka hapo Mtoto show yenyewe sikufurahia sana wala nini, maana Bikra ilikuwa haijatoka Vizuri.
Total costs ya room na vinywaji/Chakula usafiri ilikuwa kama 150,000/= TZS
Nilijishangaa sana wai nimechoma Hela nyingi hivo.
Ila ishapita na tushaachana kila Mtu na mishe zake sasa

Je mdau mwenzangu wewe ni kiasi gani kikubwa kabisa ulitumia kwa mgegedo mmoja?

CC: rikiboy Samboko 13 mega pixel Mshana Jr Kasie @prondo GuDume Mrs Bishanga miss chaga Atoto Mzigua90 Khantwe
 
Dadavua mkuu
Sikuwa na uwezo wa kuvipata ila kuna mtu akaniambia atavipata kwa shilingi elfu 30 tasilimu... Wakati huo hiyo pesa ilikuwa kubwa sana
Nikampelekea demu akampelekea babaake naye akapeleka kwa mganga akaaguliwa akapona nikapewa papuchi
Siku moja yule aliyeniuzia akaropoka kuwa yai lilikuwa la kanga na mafuta yalikuwa ya kondoo
 
Kuwa baharia sio kitu kizuri maana asilimia 90 ya nyuzi zinazoanzishwa humu utakuta zinakuhusu. Kama huu uzi unanihusu kabisa. Nitarejea....
 
Mimi mwanaume akinipa pesa baada ya kupigwa ukuni sipogo comfortable kabisa.

Naona kama ananilipa malipo ya service, yaani maana yake nilikua najiuza kwake.

Sipokeagi. Bora unipe another day nikiwa fresh minded.
Watu kama ninyi ndio tunaita mirupo material[emoji23][emoji23]
 
Nimewahi kutumia laki 3,

Nakumbuka siku hyo tulipanga na demu tukale bata,ila akachagua sehemu tutakayo enda,akanambia atatangulia ili nimkute huko,Mimi nikaandaa laki coz nilijua tutakuwa wawili,Eee bwanaee ile nafika tu nikakuta yuko na best zake wanne,nilitamani kukimbia sema ndo hivo walikuwa washaniona,Ikabidi niende hvo hvo ila kiunyonge,

Nilivo fika kwenye meza nikahisi kichwa kupata moto,savanna ziko sita pale mezani,Ikabidi me niagize nyama tu,sasa kadri time ilivyo kuwa inaenda wakawa wana agiza vinywaji mpaka ambavyo sijawahi ona,cha ajabu mademu wako normal ile mbaya,nililetewa bill mida ya saa6 ikawa inasoma 340000,Ikabidi nikadroo tu ila hamu na yule demu ilikuwa ishapotea cz sikufikiria atakuwa wa aina ile.

Sikuwa na hamu tena ya kuchukua room ilibidi twende parking tu nikawapakiza kwenye gari mana cku hiyo ilibidi niazime na ndinga ili kujimwambafai,ile nimewafikisha hom wakat narud hom nikawa nawaza hela yangu tu,yan nilipatwa na hasira mpaka nikawa Nahisi roho yangu inakata mana katika life Langu sikuwahi kupoteza Hata 50k kwa manzi,

Wahenga bwana hawakukosea kusema jasho la mtu halipotei bure,kesho yake wale mademu wakaanza shobo za text kila muda,nikasema hawa wote lazima walipe jasho Langu,Hao mademu nimewachapa ndani ya mwaka mzima huku hawajuani,Wame kuja kujuana ndo nakaribia kwenda chuo kuendeleza maujuzi,walitukana mpaka basi nikawa siwajibu tena,ila saivi kuna wawili tena kati yao naona wanarudisha shobo tena.
Hahahah
mkuu uliweka uwekezaji wa 340k ukavuna papuchi mwaka mzima uliofuata.
 
Sikuwa na uwezo wa kuvipata ila kuna mtu akaniambia atavipata kwa shilingi elfu 30 tasilimu... Wakati huo hiyo pesa ilikuwa kubwa sana
Nikampelekea demu akampelekea babaake naye akapeleka kwa mganga akaaguliwa akapona nikapewa papuchi
Siku moja yule aliyeniuzia akaropoka kuwa yai lilikuwa la kanga na mafuta yalikuwa ya kondoo
Sawa bro nayo kali japo haiipiti ile ya kugegeda mochwari na ile yule manz alijifanya mwamba wa kula na kunywa vya watu eti kuna siku ulimuwekea joka feki akazimia kuja kushtuka anapigwa penalty ya tatu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah una data zangu kama zote loh
Sawa bro nayo kali japo haiipiti ile ya kugegeda mochwari na ile yule manz alijifanya mwamba wa kula na kunywa vya watu eti kuna siku ulimuwekea joka feki akazimia kuja kushtuka anapigwa penalty ya tatu
 
Back
Top Bottom