Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa kubwa la kiufundi ulilofanya kuwahi eneo la tukio kabla ya manzi. Ila poleeeMtoto wa kiume gharamika weee
Chukua room 5 star hotel
Unatulia ndani unakula AC machakula mazaga zaga yoteee
unamuuliza "umefika wapi beib"
akanijibu "sorrie beib nimepata dharura huwezi amini mume wangu tufanye siku ingne,soriie hun"
Aseeee nilishikwa na ganzi ikawa ndio mara yangu ya kwanza kujilaza 5star hotel peke yangu
Hadi leo sitosahau lile tukio gumu na la kuumiza.
nilipewa uhakika wa asilimia 300 kua atakujaKosa kubwa la kiufundi ulilofanya kuwahi eneo la tukio kabla ya manzi. Ila poleee
Pumbavu . Mbwa kala mbwa![emoji23][emoji23][emoji23]Nimewahi kutumia laki 3,
Nakumbuka siku hyo tulipanga na demu tukale bata,ila akachagua sehemu tutakayo enda,akanambia atatangulia ili nimkute huko,Mimi nikaandaa laki coz nilijua tutakuwa wawili,Eee bwanaee ile nafika tu nikakuta yuko na best zake wanne,nilitamani kukimbia sema ndo hivo walikuwa washaniona,Ikabidi niende hvo hvo ila kiunyonge,
Nilivo fika kwenye meza nikahisi kichwa kupata moto,savanna ziko sita pale mezani,Ikabidi me niagize nyama tu,sasa kadri time ilivyo kuwa inaenda wakawa wana agiza vinywaji mpaka ambavyo sijawahi ona,cha ajabu mademu wako normal ile mbaya,nililetewa bill mida ya saa6 ikawa inasoma 340000,Ikabidi nikadroo tu ila hamu na yule demu ilikuwa ishapotea cz sikufikiria atakuwa wa aina ile.
Sikuwa na hamu tena ya kuchukua room ilibidi twende parking tu nikawapakiza kwenye gari mana cku hiyo ilibidi niazime na ndinga ili kujimwambafai,ile nimewafikisha hom wakat narud hom nikawa nawaza hela yangu tu,yan nilipatwa na hasira mpaka nikawa Nahisi roho yangu inakata mana katika life Langu sikuwahi kupoteza Hata 50k kwa manzi,
Wahenga bwana hawakukosea kusema jasho la mtu halipotei bure,kesho yake wale mademu wakaanza shobo za text kila muda,nikasema hawa wote lazima walipe jasho Langu,Hao mademu nimewachapa ndani ya mwaka mzima huku hawajuani,Wame kuja kujuana ndo nakaribia kwenda chuo kuendeleza maujuzi,walitukana mpaka basi nikawa siwajibu tena,ila saivi kuna wawili tena kati yao naona wanarudisha shobo tena.
Huwa ni siri za kambi kuumia kimya kimya
Duh basi ana roho mbaya sana. Siku nyengine panga mkutane kwanza ndo muelekee room usipende kutangulia hata iweje maana kuna ishu za kiusalama pianilipewa uhakika wa asilimia 300 kua atakuja
na zaidi yeye ndo alikua akinipa mori kwa kuniambia "baby usisahau ninunulia wine flani"
basi zile mori ndo zikanfanya nipate moto kwenda kujilia vyangu sehemu nzuri kabisa
Afanaaaleki!Yeah, ila kwa gharama zangu. Tiketi ya kwenda na kurudi gharama za hoteli na kula. Visa na zawadi nilizojinunulia zote gharama yangu.
Mkuu naona umeamua uwe Loan board umempa boom kabisa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nipo Mwanza Magu, nilienda pale UDOM kwenye semina nikakutana na mtoto wa kimeru tuka badilishana namba, nikamuomba aje hotelini niliko fikia hakuweza kuja, mwisho wa siku niliondoka bila kumla. Juzi kati hapa wakiwa wamefunga chuo ndo kanitafuta nikamwambia aje Mwanza, kakubali kaja zake na Isamilo katinga Mwanza mjini saa kumi na mbili na nusu, nikamwambia achukue [emoji596] aje Mangu garama ya tax ni 90000+50000 niliyo tuma kwa ajili ya Bus inakua 140000+na yakurudi 140000+ posho ya kujikim huko mbele ya safari, 200000. Siwezi kuandika kila kitu, hapa na ame kaa hapa wiki moja tuka anza kula viwaja mbali mbali mara Serengeti mbugani tukaja Mwanza mjini , kifupi ni zaidi ya mahari.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi nipo Mwanza Magu, nilienda pale UDOM kwenye semina nikakutana na mtoto wa kimeru tuka badilishana namba, nikamuomba aje hotelini niliko fikia hakuweza kuja, mwisho wa siku niliondoka bila kumla. Juzi kati hapa wakiwa wamefunga chuo ndo kanitafuta nikamwambia aje Mwanza, kakubali kaja zake na Isamilo katinga Mwanza mjini saa kumi na mbili na nusu, nikamwambia achukue [emoji596] aje Mangu garama ya tax ni 90000+50000 niliyo tuma kwa ajili ya Bus inakua 140000+na yakurudi 140000+ posho ya kujikim huko mbele ya safari, 200000. Siwezi kuandika kila kitu, hapa na ame kaa hapa wiki moja tuka anza kula viwaja mbali mbali mara Serengeti mbugani tukaja Mwanza mjini , kifupi ni zaidi ya mahari.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Afanaaaleki!
Naishia hapahapa kusoma hii thread...
Japo mi ni bingwa wa kutokuwa na wivu lakini ni mnyonge wa kudedi na presha.
Kwa hili acha nimwachie ibilisi aamue la kufanya...
Nyambaf zake mia nane na malabuku robo tatu sheitwain huyu aliyepakua asali ya ODM kwa gharama za mchuchu wa ODM...
Kojoleo lake na libadilike jinsia kisha lihamie kisogoni liwe chakula cha nzi
Nimemaliza kwa hasira kudadadadeki
Vinywaji + hotel ilitumika TZS 250,000/= kwa mara ya kwanza tena tukiwa wawili tu baadae roho iliniuma sana.
Ila sasa hivi nikitoka na familia weekend huwa tunatumia mara mbili au mara tatu ya hiyo ni kitu cha kawaida.
Iko siku nakwambia. Iko siku utajua wivu sio dawa.Aaaahahahahahahahhahahahahaa babuuuuuuu
Do you know that I love you so much....
Do you know that I miss you so much.....
To the way that I feel like I have FLU kumbe sina ni homa ya Mahaba ya Babu ODM....
Babu njoo basi uniteke, nasikia baridii, halafu leo nimesahau kuchukua sweta langu....
Mahabuba wangu wa pekee, ni wewe joto la mwilini mwangu....
Unipaye tabasamu, la kukoleza huba moyonii
Tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia
Tulia wangu ODM tulia, tulia nami nipate tulia.
Malabuku zetu nusu na robo ndani ya mzani wa Mahaba aahahahahahaaa
Mmmmuuuahhhh!!!
Hongera sana naona hali yako alikukubali sana
Bado mpo nae Au mmeachana
Mganga ulitapeliwa[emoji23][emoji23][emoji23]Si afadhali pesa mimi huyo demu babaake alitumwa na mganga yai la kenge na mafuta ya simba... Sio utani ni kweli kanisa.. Nilivipata kwa gharama kubwa sana halafu kumbe feki