Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Nadhani unaweza kuwa my very perfect combo....Mimi ni yule niliyoletwa na upepo wa kisulisuli kwa ajili yakoπŸ˜πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹


Aahahahahaaa inabidi ukae foleni aiseeh

Maana hapa wako 3 kwa pamoja na wanabishana nani awe wa kwanza, mie nimekaa nawaangalia wanavyobishana. Watapokubaliana nani aanze foleni otaanza rasmi na taratibu utafika wakati wako, kuwa mvumilivu mvumishwa na kisulisuli...
 
Umenichekesha sana asubuhi yote hii. We kiboko mgegedo mpaka unaukatia visa?!!
Itabidi na Mimi tupange yetu sasa. Haina visa wala ticket ya ndege wala meli. Uber tu inatosha.


Aahahahahhahaaa furahi baba ni wikiendi hii. Mie mgegedo kwangu ndo kitu nambari moja kwenye listi yangu ya mahitaji na niko tayari kuugharamia tuu nishibe na si nilambishwe lambishwe au kupakwa shombo akuuu nataka msosi heavyy nilee hadi nikifuu aahahahhahahaa

Nnavopenda maadvencha sasa tupange tuu sidhani kama itakuwa na madhara, niambie siku tarehe mwezi mwaka na wakati eehehehehheee

Asisome tuu mkadama hapa maana ataenda kunisemea nyumbani kuwa nasafiri bila visa wala ticket eehehehehheee

Kasinde.
 
Aahahahahaaa inabidi ukae foleni aiseeh

Maana hapa wako 3 kwa pamoja na wanabishana nani awe wa kwanza, mie nimekaa nawaangalia wanavyobishana. Watapokubaliana nani aanze foleni otaanza rasmi na taratibu utafika wakati wako, kuwa mvumilivu mvumishwa na kisulisuli...
Kwahiyo Mimi ndiyo wa mwisho kwenye foleni? Naomba tufanye kama jeshini, sema nyuma geuka ili Mimi ndiyo niwe wa kwanza kutoka wa mwishoπŸ˜….....kwa heshima ya upepo kisulisuli ulionileta
 
Nimewahi kutumia laki 3,

Nakumbuka siku hyo tulipanga na demu tukale bata,ila akachagua sehemu tutakayo enda,akanambia atatangulia ili nimkute huko,Mimi nikaandaa laki coz nilijua tutakuwa wawili,Eee bwanaee ile nafika tu nikakuta yuko na best zake wanne,nilitamani kukimbia sema ndo hivo walikuwa washaniona,Ikabidi niende hvo hvo ila kiunyonge,

Nilivo fika kwenye meza nikahisi kichwa kupata moto,savanna ziko sita pale mezani,Ikabidi me niagize nyama tu,sasa kadri time ilivyo kuwa inaenda wakawa wana agiza vinywaji mpaka ambavyo sijawahi ona,cha ajabu mademu wako normal ile mbaya,nililetewa bill mida ya saa6 ikawa inasoma 340000,Ikabidi nikadroo tu ila hamu na yule demu ilikuwa ishapotea cz sikufikiria atakuwa wa aina ile.

Sikuwa na hamu tena ya kuchukua room ilibidi twende parking tu nikawapakiza kwenye gari mana cku hiyo ilibidi niazime na ndinga ili kujimwambafai,ile nimewafikisha hom wakat narud hom nikawa nawaza hela yangu tu,yan nilipatwa na hasira mpaka nikawa Nahisi roho yangu inakata mana katika life Langu sikuwahi kupoteza Hata 50k kwa manzi,

Wahenga bwana hawakukosea kusema jasho la mtu halipotei bure,kesho yake wale mademu wakaanza shobo za text kila muda,nikasema hawa wote lazima walipe jasho Langu,Hao mademu nimewachapa ndani ya mwaka mzima huku hawajuani,Wame kuja kujuana ndo nakaribia kwenda chuo kuendeleza maujuzi,walitukana mpaka basi nikawa siwajibu tena,ila saivi kuna wawili tena kati yao naona wanarudisha shobo tena.
Nikweli inaiumiza alafu itokee mama yako anakuomba hela alafu unamwambia sina hela mama.
 
Kwahiyo Mimi ndiyo wa mwisho kwenye foleni? Naomba tufanye kama jeshini, sema nyuma geuka ili Mimi ndiyo niwe wa kwanza kutoka wa mwishoπŸ˜….....kwa heshima ya upepo kisulisuli ulionileta

Aahahahaa hizo ni mbinu zenu sasa mpangane nyie mlioletwa na kisulisuli. Mie nasubiria mniambie huyu ndo anaaza.
Na hata sijajua kama wewe ndo wa mwisho au kuna mwingine nyuma yenu, kwani upepo umeisha?
 
Hela kubwa niliyotumia ilikua elfu 60. Gest 20, chakula + vinywaji 20 na yeye nikampa 20. Hapo ilikua before cjapanga gheto, saiv nina gheto gharama zimepungua sanaaaa coz napika mwenyewe au akija manzi anapika. Labda ya kumpa yeye atakapotaka kuondoka, maana cjisikii poa baada ya sex, manzi atoke kavu bila hata ya kwenda kununulia soda na mshikaki.

Nb. Some time inatokea sina kitu ila huduma napewa, ingawa mara nyingi siombi ile kitu kama mfukoni sina kitu kabisa
umemzoea vibaya mwanamke wako itafikia kipindi ataona ni haki yake ukimaliza kumtomba umlipe
 
Mimi mwanaume akinipa pesa baada ya kupigwa ukuni sipogo comfortable kabisa.

Naona kama ananilipa malipo ya service, yaani maana yake nilikua najiuza kwake.

Sipokeagi. Bora unipe another day nikiwa fresh minded.
wewe jamaa unajiona mwanamke kabisa wakati ni dume na pumbu 2
 
Ungekamata housekeeping
Mtoto wa kiume gharamika weee

Chukua room 5 star hotel

Unatulia ndani unakula AC machakula mazaga zaga yoteee

unamuuliza "umefika wapi beib"

akanijibu "sorrie beib nimepata dharura huwezi amini mume wangu tufanye siku ingne,soriie hun"

Aseeee nilishikwa na ganzi ikawa ndio mara yangu ya kwanza kujilaza 5star hotel peke yangu

Hadi leo sitosahau lile tukio gumu na la kuumiza.
 
sijawahi kwenda guest wala hotelini kugonga demu , geto lipo la bro ndo lakufanyia mauajia au home kabisa kama hukuna watu mida ya mchana hiyo....
Actually demu wangu huwa nampoza kwa 20k kwa ajili ya usafiri na kaz nzur anayonipa maana anajua mambo mpaka sio poa yaani na mambo mengine ya kwake binafsi. Na ukiona demu haridhiki na kiwango unachompa Jua kabisa kuna sehemu anapewa zaidi ya hapo so vijana muwe makini... uzur demu wangu huwa muelewea pesa kwake anaona kawaida cha msingi tu huwa ananisihi nimkune vizuri nisimuache juu juu!!
unakaa home?
 
Aahahahaa hizo ni mbinu zenu sasa mpangane nyie mlioletwa na kisulisuli. Mie nasubiria mniambie huyu ndo anaaza.
Na hata sijajua kama wewe ndo wa mwisho au kuna mwingine nyuma yenu, kwani upepo umeisha?
Kwa mujibu wa watabiri wa upepo wa kisulisuli, wanasema Mimi ndiyo mjumbe wa mwisho kukufikia, hivyo naomba ufungue moyo, mikono na miguu niingie.....hao wanaogombana hapo nje tuwafungie na mlango kabisa. Na nje tuandike kibao....NAFASI ZIMEJAAπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mimi nimewahi kulipa loji 80,000 niko na manzi, ananiona nikilipa, tumefika mlango wa chumbani dem kagoma kuingia ndani, mbele ya wahudumu!

Ilikua hivi.. huyu dem nilimuomba namba akanipa tukaanza kuchati kwingi mpaka night kali. Basi stori zikawa zinahama kuelekea upande wa mahaba, tukaanza kuitana baby baby mara gudnite gudmorning nyingi baby umeshindaje n.k. Mzee baba mi nikajua mtoto ameshasomeka kilichofuata nikamuomba siku moja tuwe pamoja mtoto akakubali kiroho safi kabisa. Nikaona hakuna haja ya kupoteza hii nafasi, so nilivyomchukua tu nikanyoosha mpaka kwenye hoteli moja kali na kulipia chumba na kuagiza vinywaji. Sasa room ziko juu ghorofani so tunapanda ngazi tumeshikana mikono stori za hapa na pale na vicheko vingi mimi hapo tayari nashangilia ushindi. Ghafla ile tumefika mlangoni ndio nafungua tuingie ndani na mhudumu yuko nyuma yetu na vinywaji na kuna wahudumu wengine kama wawili wanaendelea na shughuli, mara demu kafunga breki kali na kumaka huku amekunja sura "Unanipeleka wapi huku..?!!!" Aisee ilikua mshike mshike dem kagoma kabisa ikabidi nimshike mikono nianze kumvutia ndani kwa nguvu, huku wahudumu wameacha shughuli zao wanatushangaa. Baadae aliingia kishingo upande ila akaanza kunilaum saana na kunihubiria akisema hakutegemea kabisa kama niko vile. Akasema yeye alidhani mle ndani kuna restaurant ndio maana akaingia.. na mambo mengi. Siku ile niliambulia patupu japo baadae nilikuja kumtafuna saana yule binti akawa kama mke wangu kwa muda.
Kwaiyo ukuchezea ata Nido?
 
Kwa mujibu wa watabiri wa upepo wa kisulisuli, wanasema Mimi ndiyo mjumbe wa mwisho kukufikia, hivyo naomba ufungue moyo, mikono na miguu niingie.....hao wanaogombana hapo nje tuwafungie na mlango kabisa. Na nje tuandike kibao....NAFASI ZIMEJAAπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Nyie panganenii, fanyianeni faulooo atayeingia mjue wengine huko nje wawe wapolee sitaki kelele za kugongewa gongewa wakati napika matobolwa. Hivyo muambiane kabisaa noo ukorofi na ugomvi ahahahhahaahahhaa

Na aliyeajiriwa PCCB au ana biashara ya mkaa ajiondoe tuu kwenye foleni. Mandondo matamu aiseeh
 
Hapa town haijawahi kushuka 150K nikizama lodge/hotel, ya juu kabisa nakumbuka ni 550k gharama ya usiku mmoja nilipata toto moja kaliii akataka tukajifiche ledger
 
Tukio kama hili lilishanitokea 2011 kuna demu Fulani nilimtokea tukapanga tuonane dah sitasahau nimejikoki mfukoni Nina 25000 demu kaja na rafiki zake wawili aseee walipiga kitmoto na vinywaji bili ilisoma 58000 kilichoniokoa ni sehemu wananijua niwawaidi wanipe siku3 ntaleta ilopelea kibaya zaidi ata demu mwenyew sikuwahi baatika kumgonga
Tatizo letu vijana tunapenda kujimwambafai ,ukimwambia demu tukutane inatakiwa unamleta gheto unamwambie shuka kituo flani unaenda kumpokea unakujanae gheto, sasa nyinyi mnataka kujiona mambo super mnakutana lodge sijui samaki samaki lazma akupige na uwezekano wakumla ni 60%
 
Na aliyeajiriwa PCCB au ana biashara ya mkaa ajiondoe tuu kwenye foleni. Mandondo matamu aiseeh
Kumbe Kuna Selection criteria?πŸ˜…πŸ˜…...Mbona Mama mchungaji wakati anaamuru upepo wa kisulisuli hakusema hili......by the way nimebaki mwenyewe kwenye foleni... please open the door πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Katika harakati za ujana chuoni, kuna manzi nilikuwa namkubali balaa, nilikuwa najua ndio ntamuoa kabisa baada ya kutendwa na wa kwanza
Basi nilimuhudumia sana yule Demu kwa dhati kabisa.
Basi siku zote alikuwa anakuja Ghetto maeneo ya Sinza.
Sasa kuna siku niliwaza nimpe the best moment ya mgegedo.
Nikafanya Research ya best Hotel pale sinza nikaona pale Grand Villa enzi hizo inatamba balaa bado mpya mpya 2010+
Room tuu ilikuwa 80/90,000/= nikajilipua
Nkampeleka hapo Mtoto show yenyewe sikufurahia sana wala nini, maana Bikra ilikuwa haijatoka Vizuri.
Total costs ya room na vinywaji/Chakula usafiri ilikuwa kama 150,000/= TZS
Nilijishangaa sana wai nimechoma Hela nyingi hivo.
Ila ishapita na tushaachana kila Mtu na mishe zake sasa

Je mdau mwenzangu wewe ni kiasi gani kikubwa kabisa ulitumia kwa mgegedo mmoja?

CC: rikiboy Samboko 13 mega pixel Mshana Jr Kasie @prondo GuDume Mrs Bishanga miss chaga Atoto Mzigua90 Khantwe
Kwa sababu sikutagiwa ngoja nijisomee mwenyewe story yangu.
 
Kumbe Kuna Selection criteria?πŸ˜…πŸ˜…...Mbona Mama mchungaji wakati anaamuru upepo wa kisulisuli hakusema hili......by the way nimebaki mwenyewe kwenye foleni... please open the door πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹


Ahahhahahaaaa na yeye upepo wa kisulisuli ulimchukua na kumsahaulisha kutoa vigezo na masharti.

Geti liko wazi wee sukuma tuu kisha uliegeshe na komeo kwa ndani. Utanikuta ukumbini najifumua nywele, karibuu.
 
Geti liko wazi wee sukuma tuu kisha uliegeshe na komeo kwa ndani. Utanikuta ukumbini najifumua nywele, karibuu.
Nimekaribia princess.....kwa kuanza nitakufumua Mimi mwenyewe hizo nywele, nataka nikuonyeshe mahaba yote ili asiwepo mbadala wangu miaka 100πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Nimekaribia princess.....kwa kuanza nitakufumua Mimi mwenyewe hizo nywele, nataka nikuonyeshe mahaba yote ili asiwepo mbadala wangu miaka 100πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜πŸ˜πŸ˜

Na wanakusomaa eeheheheee utaona baada ya muda watakuja hapa aahahahhaaa

Jiandae kwa upinzani uliotukuka. Ukimaliza kunifumua nywele utanimasaji na kunitekenyatekenya kichwani hadi nisinzie... Aahahahahhaa nnavopenda raha mie....
 
Back
Top Bottom