Nimewahi kutumia laki 3,
Nakumbuka siku hyo tulipanga na demu tukale bata,ila akachagua sehemu tutakayo enda,akanambia atatangulia ili nimkute huko,Mimi nikaandaa laki coz nilijua tutakuwa wawili,Eee bwanaee ile nafika tu nikakuta yuko na best zake wanne,nilitamani kukimbia sema ndo hivo walikuwa washaniona,Ikabidi niende hvo hvo ila kiunyonge,
Nilivo fika kwenye meza nikahisi kichwa kupata moto,savanna ziko sita pale mezani,Ikabidi me niagize nyama tu,sasa kadri time ilivyo kuwa inaenda wakawa wana agiza vinywaji mpaka ambavyo sijawahi ona,cha ajabu mademu wako normal ile mbaya,nililetewa bill mida ya saa6 ikawa inasoma 340000,Ikabidi nikadroo tu ila hamu na yule demu ilikuwa ishapotea cz sikufikiria atakuwa wa aina ile.
Sikuwa na hamu tena ya kuchukua room ilibidi twende parking tu nikawapakiza kwenye gari mana cku hiyo ilibidi niazime na ndinga ili kujimwambafai,ile nimewafikisha hom wakat narud hom nikawa nawaza hela yangu tu,yan nilipatwa na hasira mpaka nikawa Nahisi roho yangu inakata mana katika life Langu sikuwahi kupoteza Hata 50k kwa manzi,
Wahenga bwana hawakukosea kusema jasho la mtu halipotei bure,kesho yake wale mademu wakaanza shobo za text kila muda,nikasema hawa wote lazima walipe jasho Langu,Hao mademu nimewachapa ndani ya mwaka mzima huku hawajuani,Wame kuja kujuana ndo nakaribia kwenda chuo kuendeleza maujuzi,walitukana mpaka basi nikawa siwajibu tena,ila saivi kuna wawili tena kati yao naona wanarudisha shobo tena.