Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
Wanawake kiasili chao ni chao na chako ni chao.
Je, huu ni uchoyo,ubinafsi au ndivyo walivyoumbwa?
Je, huu ni uchoyo,ubinafsi au ndivyo walivyoumbwa?
Defensive mechanism
Wanawake kiasili chao ni chao na chako ni chao.Je huu ni uchoyo,ubinafsi au ndivyo walivyoumbwa.
Mdau ugumu wa maisha unaweza kufanya watu kua wabinafsi? Especially wanawake.Huku Tanzania Maisha ni Magumu Sana so ubinafsi na njaa vinasababishwa na Maisha Magumu .
Wanawake ukiona wanajiuza Kuanzia elf 2 unabidi kupima jinsi uchumi ulivyo mgumu
HapaDefensive mechanism
Hujaeleweka mkuu
Utakuwa ulioa chuma uleteWanawake kiasili chao ni chao na chako ni chao.Je huu ni uchoyo,ubinafsi au ndivyo walivyoumbwa.
Mdau hata hawa girlfriend,s nao ni hivyo hivyo.Mfano mkiwa chuo mnasoma""Boom"" ya serikali mnapata sawa wote,ila chake ni chake na chako ni chako mpaka mnamaliza chuo.Utakuwa ulioa chuma ulete
USSR
Ndio Mkuu njaa inauaMdau ugumu wa maisha unaweza kufanya watu kua wabinafsi?????Especially wanawake.
Unahonga mkopo?tena wa serikaliMdau hata hawa girlfriend,s nao ni hivyo hivyo.Mfano mkiwa chuo mnasoma""Boom"" ya serikali mnapata sawa wote,ila chake ni chake na chako ni chako mpaka mnamaliza chuo.
Sijakuelewa mkuu ebu fafanua kidogoTunawaonea bure. Siku hizi wanafanya majukumu ambayo sio yao.
Mwanamke hakujishughulisha kutafuta wala hakumiliki mali zama zile. Majukumu yao makubwa yalikuwa ni kuzaa na kulea watoto.
Anachotakiwa kumiliki mwanamke ni mwanaume na watoto full stop.
Mdau hata hawa girlfriend,s nao ni hivyo hivyo.Mfano mkiwa chuo mnasoma""Boom"" ya serikali mnapata sawa wote,ila chake ni chake na chako ni chako mpaka mnamaliza chuo.
🤣🤣🤣😂😂 Unanitisha mkuu.Usije kua HR.........!!! uniongezee makato🤣🤣🤣😂😂.Unahonga mkopo?tena wa serikali
Nashangaa Mkuu na Mimi hata mashahara ni hatari kuongaUnahonga mkopo?tena wa serikali