Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

Ni wa Kiafrika ndo wabinafsi. Mwanamke wa Kiafrika ndo ameharalisha kwamba akitoka out na mwanaume lazima mwanaume alipie gharama zote. Ukimuweka ndani anataka yeye ndo ahifadhi hati za mali zenu, yeye ndo apewe zawadi za birthday kila mwaka n.k. kuwaendekeza wanawake wa Kiafrika ni kutafuta kifo cha mapema.
Ni kuwagegeda tuu na kutupa kule hamna namna
 
Mdau hata hawa girlfriend,s nao ni hivyo hivyo.Mfano mkiwa chuo mnasoma""Boom"" ya serikali mnapata sawa wote,ila chake ni chake na chako ni chako mpaka mnamaliza chuo.
Hapo mwenye kosa ni mwanamke au ni wewe ndio huna akili? Sasa mtu mnapata bum sawa unatumiaje hela yako kwake? Yeye hela yake anafanyia nini?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kweli aisee wanawake ni wabinafsi sana kudeki zao ata Mimi nimechunguzaga Hilo nimegundua ukisema ni njaa au umaskini Kwani wanaume wote hawana hivyo lakini wanaume walio wengi kidogo walichojaliwa lazima watawagawia ila wao Chao ni chao
 
Wanaume tuna moyo wa kusaidia kuliko wanawake mkuu.Upo sahii
 
Back
Top Bottom