BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,348
Haswaaaa..!!!Asante kwa tafsiri mkuu.Kwahiyo tukisema wanawake ni wabnafsi basi wanakua wabnafsi kweli.Na tukisema wanawake sio wabinafsi wanakua sio wabnafsi kweli???
Haswaaaa..!!!Asante kwa tafsiri mkuu.Kwahiyo tukisema wanawake ni wabnafsi basi wanakua wabnafsi kweli.Na tukisema wanawake sio wabinafsi wanakua sio wabnafsi kweli???
Ila hawa wanawake wa kiafrika wabinafsi tu.🤣🤣Haswaaaa..!!!
Ni @ To yeye huyo,tumpe kongole zake.
Ila hawa wanawake wa kiafrika wabinafsi tu.
🤣🤣🤣🤣Pella inamaanisha cheupe.Na cheupe kiasili waga wabnafsi.😂🤣🤣🤣Am jokin
Mwanamke sio giver ni taker. Mpe sperm atakurudishia watoto, mpe ghetto anakurudishia nyumba, mpe pesa atakurudishia heshima n.k n.kMdau mbona haya maneno mapya.Ebu tupe elimu kidogo kuhusu hili
Mkuu kama nakuelewa vileMwanamke sio giver ni taker. Mpe sperm atakurudishia watoto, mpe ghetto anakurudishia nyumba, mpe pesa atakurudishia heshima n.k n.k
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanawake njaa kali
ndio maana hata kuoa lazima mwanaume atoe kitu kwao namke kisha amtafutie pa kuishi chakula mavazi matibabu hapo anae toa ni mwanaume tu wala uwezi sikia mwanaume akilalama kwa sababu ni asili yake kutoa mwanamke akitoa tu analalamika sababu sio asili yake kutoaKwahiyo kutoa sio asili yao???
Hapo nimekuelewa mkuundio maana hata kuoa lazima mwanaume atoe kitu kwao namke kisha amtafutie pa kuishi chakula mavazi matibabu hapo anae toa ni mwanaume tu wala uwezi sikia mwanaume akilalama kwa sababu ni asili yake kutoa mwanamke akitoa tu analalamika sababu sio asili yake kutoa