Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
- Thread starter
- #121
Mliachana baada ya kukaa pamoja mda gani???Na katika mda huo nani,alikua mbinafsi kuliko mwenzake???Sawa hata ivo tuliachana....
Mliachana baada ya kukaa pamoja mda gani???Na katika mda huo nani,alikua mbinafsi kuliko mwenzake???Sawa hata ivo tuliachana....
Nahisi Mimi mkuuMliachana baada ya kukaa pamoja mda gani???Na katika mda huo nani,alikua mbinafsi kuliko mwenzake???
Sasa si mshakua mwili mmoja kwanini chake kiwe chakeMe mwanamke wa chake ni chake, changu ni cha wote sinaga time nae, na akishaniletea hizo ajue ameshanikosa kitambo tu.
Kwahiyo nipo sahii kusema kwenye mahusiano mwanamke ni mbinafsi kuliko mwanamumeNahisi Mimi mkuu
Ni sawa tu upo sahihi nyinyi ni watakatifu mnoKwahiyo nipo sahii kusema kwenye mahusiano mwanamke ni mbinafsi kuliko mwanamume
Something is definitely not right with you. Kila siku unakuja na topics tafauti kuhusu wanawake.Wanawake kiasili chao ni chao na chako ni chao.Je huu ni uchoyo,ubinafsi au ndivyo walivyoumbwa.
Asante kwa tafsiri mkuu.Kwahiyo tukisema wanawake ni wabnafsi basi wanakua wabnafsi kweli.Na tukisema wanawake sio wabinafsi wanakua sio wabnafsi kweli???Mkuu kamaanisha "Mitazamo yetu kwa wengine huamua mitazamo yao kwetu".
Mkuu leo ndio naweka topic ya kuhusu mahusiano.Siku zote naweka mada za siasa nadhani utakua umenifananisha mkuu.Afu kuwajadili watu wa jinsia nyingine sio msongo wa mawazo bali ni uwanda mpana wa kufikiri kama binadamu mwenye akili timamu.Kwani maendeleo kwako mkuu ni kutowajadili wanawake???Something is definitely not right with you. Kila siku unakuja na topics tafauti kuhusu wanawake.
Punguza msongo wa mawazo tafuta maendeleo.
Hapana sisi sio watakatifu,ila nyinyi kwa ubnafsi mmezidi.Dont take it personal🤣🤣🤣🤣Ni uzi tu tunapeana mawazo tofauti tofauti.Ni sawa tu upo sahihi nyinyi ni watakatifu mno
Viumbe hai wote hata miti,ndege, wanyama na wadudu. Accept nature utaishi Raha mustarehe. Why don't you complain when tree grows better Ina arable or in fertilized land than unfertile land or on desert but you complain for a woman to seek good land to prosper. We don't complain for our cattles run to good and long glass but we complain when women run toward rich men. That's nature and you can't change it.
😔Hapana sisi sio watakatifu,ila nyinyi kwa ubnafsi mmezidi.Dont take it personal🤣🤣🤣🤣Ni uzi tu tunapeana mawazo tofauti tofauti.
Mkuu inabidi utoe kitabu tupate elimuViumbe hai wote hata miti,ndege, wanyama na wadudu. Accept nature utaishi Raha mustarehe. Why don't you complain when tree grows better Ina arable or in fertilized land than unfertile land or on desert but you complain for a woman to seek good land to prosper. We don't complain for our cattles run to good and long glass but we complain when women run toward rich men. That's nature and you can't change it.
We don't complain when water runs downhill slope or when electric current run through less resistance appliances preference to high resistance appliances.
Let us accept nature altogether we'll be living a happy life since we gonna something as it's without our personal ego to will it happen according to our wishes.
Unapoweka mti ukatizama chini utapinda na kuota kuelekea juu or against with gravity but not with gravity.
Ukiweka mti ndani ya boksa gizani halafu ukatoboa upande wa ubavuni ama dirishani mwako ule mti utakua kufuata ule mwanga. Yaani utalala Kama Saba fulani utafuata mwanga baada ya hapo utakuwa kwenda juu kupingana na gravity. Naomba tusibadili uhalisia ama ukweli.
Ujue dini imekuja kuhubiri ama kumwambia binadamu aenende kinyume na uumbaji na Aliyetuumba hajakosea kabisa sie kuwa wabinafsi Mana is for survival basis otherwise you perish unapata chakula hauli unampatia mwenzako kisa upendo. Kama Kuna upendo cheki watawa wa rc wao wanatembelea magari huku Kuna waumini wao hawana uhakika wa kula leo. Kama umeshawahi ishi nao jamaa wanakula menu ya Serena ama malaika resort hotel.
Politicians wanatumia kigezo Cha upendo Ila anahonga nyumba ama hotel ghorofa pale mwenge huku hakuna ambulance ama vifaa vizuri vya hospital fulani so mama mjamzito anaweza akafariki na mtt kisa tu huduma muhimu hazipo,shuleni Hakuna kitabu Ila jamaa akaficha bilioni kadhaa China ama kanada,ama mwingine akawapa gesi wachina kisa kuokoa mpwa wake asinyongwe Mana amebaka mtt wa Taifa Hilo. Yaani mtu anauza raslimali za Taifa yaani za watanzania wote kisa Cha utashi wake yeye mwenyewe. Haya subiria huo upendo sijui lini utaninyesha.
Dini imekuja kumwambia binadamu aache Silika yake ambayo Ni ngumu Ni sawa na kumwambia mtu kuw asilie akipata maumivu yaani Ni ngumu Ni sawa kuiambia sumaku isivute chuma iwe inavuta hata mbao. Subirieni upendo wakati hata nyakati ngumu mama yako mzazi anaweza akakukana.
Si ndio tunarudi kwenye mada kuwa inaweza kuwa "UBINAFSI" tu.Sasa si mshakua mwili mmoja kwanini chake kiwe chake
Hapo sawa mkuu umesomekaSi ndio tunarudi kwenye mada kuwa inaweza kuwa "UBINAFSI" tu.
😎😎😎😎😎
Hii comment naomba ipigwe lamination aisee.Ni sawa tu upo sahihi nyinyi ni watakatifu mno
Unacheeeka sababu unaujua ukweli eeeh.😎😎😎😎😎
Tunakosea hatukatai ila na nyinyi hampendi kuambiwa ukweli🤣🤣🤣Mmezidi kujifanya hamkosei