Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

Ni wa Kiafrika ndo wabinafsi. Mwanamke wa Kiafrika ndo ameharalisha kwamba akitoka out na mwanaume lazima mwanaume alipie gharama zote. Ukimuweka ndani anataka yeye ndo ahifadhi hati za mali zenu, yeye ndo apewe zawadi za birthday kila mwaka n.k. kuwaendekeza wanawake wa Kiafrika ni kutafuta kifo cha mapema.
hatao wazungu wanataka zawadi kutoka kwa wapindwa wao hiyo ndio asili ya mwanamke ni mtu wakupewa tu
 
Hakikisha hautoi pesa kwa Mwanamke tofauti na Mama yako Mzazi hata Kama mke wako mpe pesa za matumizi tu la sivyo utabaki kulaumu watu
 
Hasa katika mambo yapi unakua mbinafsi??????Tujuze kidogo???
Mfano nilinunua uwanja nikamshirikisha mwenzangu tujenge....inaonesha hakupendezwa nami kununua uwanja Kwa pesa yangu au coz mi ni mwanamke...nilivyoona miaka inaenda hata hashughuliki nikauza bila kumwambia pesa nikalipa madeni yangu yanayonihusu😏
 
Tunawaonea bure. Siku hizi wanafanya majukumu ambayo sio yao.

Mwanamke hakujishughulisha kutafuta wala hakumiliki mali zama zile. Majukumu yao makubwa yalikuwa ni kuzaa na kulea watoto.

Anachotakiwa kumiliki mwanamke ni mwanaume na watoto full stop.
Unaishi ki-analogy huku wenzio wapo ki-digital.
 
Ni kweli wanamke wengi hata ukiachana nae ukamuachia mali zote we ukaenda kutafuta zingine bado hatakuacha salama ataendelea kukufatilia hadi ahakikishe umekosa amani hatotaka kuona una furaha tena
 
Mfano nilinunua uwanja nikamshirikisha mwenzangu tujenge....inaonesha hakupendezwa nami kununua uwanja Kwa pesa yangu au coz mi ni mwanamke...nilivyoona miaka inaenda hata hashughuliki nikauza bila kumwambia pesa nikalipa madeni yangu yanayonihusu😏
Unajua kwanini aliogopa kujenga kwenye kiwanja chako????Wanaume waga hatujengi kwenye viwanja vilivyonunuliwa na wanawake,ni mwiko.Usimlaumu
 
Ni kweli wanamke wengi hata ukiachana nae ukamuachia mali zote we ukaenda kutafuta zingine bado hatakuacha salama ataendelea kukufatilia hadi ahakikishe umekosa amani hatotaka kuona una furaha tena
Ebu angalia issue ya urithi wa mzee machache,jinsi dada cheupe anavyong'ang'ania mali
 
Back
Top Bottom