Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
- Thread starter
- #81
No mimi mwanaume kwa jinsi unavyojibu nikajua wewe KE????Samahani kama nimekosea mdauShosti? Are you woman?
No mimi mwanaume kwa jinsi unavyojibu nikajua wewe KE????Samahani kama nimekosea mdauShosti? Are you woman?
Tatizo lenu mnapenda sana euphemismsMzabzab🤣🤣🤣🤣 Una maneno makali mpaka basi
Euphemism,s???Tatizo lenu mnapenda sana euphemisms
Ila uliwapata wa kutosha na umejifunza vingi kuhusu hao viumbe....Ushamba tu na ujinga wa kutafuta sifa mbele ya jamii ya wanawake.
AsanteKaribu 🤣🤣🤣
Mdau kwa wanawake wa dar na arusha ukiwa unahonga wala hawana tatizo,sijui mikoa mingine.Tatizo kuhonga ni kama kucheza kamari unakua addicted na hiyo life styleIla uliwapata wa kutosha na umejifunza vingi kuhusu hao viumbe....
Umeeleweka mkuuWrite your reply... Don't work on assumptions, sio wanawake wote Ni wabinafsi
Mkuu unaongea kiustadi sana,hii ni home work ngoja niifanyie kazi kwa mikono miwili.Mwanamke akikuzalia ,akulelee watoto ,bro usidai chochote mbele ya hapo Ila usinitwike mizigo ya kwake isiyokuhusu mno ,... Jenga ,pesa za matumizi toa ,wape comfort kadri uwezavyo ,Ila issue ya dadangu amefukuzwa ada sijui dadake mamangu amegonjeka hayo toa ukitaka ,ukiwa umebanwa isikupe shida ,macho mbele ,gear moto maisha yasonge
Wewe sio mbinafsi.Chako chako na changu chako???Asante
Ebu fafanua mkuuTatizo lenu mnapenda sana euphemisms
Issue sio kuwapata.Issue nilifirisika mkuu😂🤣🤣🤣Ila uliwapata wa kutosha na umejifunza vingi kuhusu hao viumbe....
Chako changu.Wewe sio mbinafsi.Chako chako na changu chako???
Anha,nimeshangaa mwanaume kumwita mwanamke shosti.....tunaitana wenyeweNo mimi mwanaume kwa jinsi unavyojibu nikajua wewe KE????Samahani kama nimekosea mdau
🤣🤣🤣🤣🤣😎😎😎😎Nilijua tu jina lako lenyewe Pellaiah.Unajua linamaanisha nini kwa lugha ya kibangubangu???🤣🤣🤣Chako changu.
Mwanaume naweza kukuita hivyo katika hali ya utani wa kukuchokoza,kutegemeana na ninachokuuliza.Hasa kwa nia ya kunyambua nilichokua nakuuliza.Kua na amaniAnha,nimeshangaa mwanaume kumwita mwanamke shosti.....tunaitana wenyewe
mwanamke kaumbwa hili apewe pia awe chini ya uangalizi wa mwanaume vinginvio ukimuachia huru jiandae kulea mimba ambayo si yakoWanawake kiasili chao ni chao na chako ni chao.Je huu ni uchoyo,ubinafsi au ndivyo walivyoumbwa.
AminaMwanaume naweza kukuita hivyo katika hali ya utani wa kukuchokoza,kutegemeana na ninachokuuliza.Hasa kwa nia ya kunyambua nilichokua nakuuliza.Kua na amani
mwanamke yeye ni mbinafs hasa kwa upande wa mumewe ila kwandugu zake hana shidaMdau ugumu wa maisha unaweza kufanya watu kua wabinafsi?????Especially wanawake.