Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Diamond atasubiri Sana
Ndo Mlicho kiacha hicho.. Huyo Diamond kwa kijana ambae ameanza mziki 2008 mbona naona anafanya Vizuri zaid ya Ali Kiba.?

Najua mtakimbilia kwnye Sauti ila ukwel ni kwamba huyo Dogo kwa Tuzo tuu Kiba anatakiw aone aibu kidogo
 
Tunasubiri nyingine Leo hko ufaransa yupo categories kma 3 hivi lakini majudge ndio watakao amua ,,,tulizeniii mishono yenu wenzangu na mie wa madale
 
Seriously..? Kiba ana miaka 11 kweny mziki.? [emoji23] [emoji23] cha ajabu amezidiw Tuzo na Mtoto mwenye miaka 7 cjui kwnye mziki.? Takwimu zinasema eti Diamond ana Tuzo zaid ya 187 [emoji124] [emoji124]
 
Seriously..? Kiba ana miaka 11 kweny mziki.? [emoji23] [emoji23] cha ajabu amezidiw Tuzo na Mtoto mwenye miaka 7 cjui kwnye mziki.? Takwimu zinasema eti Diamond ana Tuzo zaid ya 187 [emoji124] [emoji124]
Safariiii ndefu ya kichaaa mwisho hurudi na makopo,,,,age juxt a number
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuzo kubwa nigeria kwa kipi unazijua tuzo kubwa nigeria tuzo ni za kituo cha tv cha soundcity na zimenza kutolewa mwaka huu sasa cjui kuanzia lini zimeanza kuwa kubwa
Hehehee Hizi Tuzo kubwa kwa wana Kiba waache wajipe moyo [emoji23] [emoji23]
 
Hivyo kigezo cha ukubwa WA tuzo ni duration ya tangu zianzishwe????kwani mtvema zilikuwepo bila kuanzishwa????
Tuzo kubwa inategemea na Muda manufaa yake malipo mahudhurio na mauzo Concert tickets.. Sas hizi Tuzo zao ni sawa na kusema EATV awards ni Tuzo kubwa Tz wakat kuna watu wanaitwa KILI
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio kujifariji uko,mnapeana moyo humu wakati hats taarifa za show za king wenu hamzijui,ila za mond mnajua ratiba yake mpaka mwakani!
Jipeni moyo tu humu
 
Safariiii ndefu ya kichaaa mwisho hurudi na makopo,,,,age juxt a number
Then Agree to Disagree that Diamond came to motivate most of Tanzanian Artists.. From payments to Video making, Luckily he is only Tanzanian Does show worldwide and saying Age is just a number in Music industry is like playing a lot of games in EPL & not be able to Conquer even a single trophy till immature guy came & show You how to do it.. Thats confirm that age is just stupidity if u can't do something about it [emoji23] [emoji23] .. He supposed to be a Legend nw & not to be compared wit anyone bt looook at that brother nw [emoji1]
 
Nitakuja kutoa maoni yangu hapa kuhusu hili.. Msinune tu lakini

Cc Nifah, sohwa, Granta, mzaramo
Sasa ni wakati wangu wa kutumia advantage ya kuwa bae kuwafurahisha Team Kiba wenzangu.
Kama mimi ulivyonishika hadi team Madale wanasherehekea nami natumia 'powers' kupeleka sherehe k/koo.

Tuache tusherehekee tuzo yetu pls,hatuhitaji chochote zaidi ya pongezi.
[emoji6] [emoji6] [emoji4] [emoji4] [emoji123]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwahiyo unatumia kura yako ya turufu kunizuia nisitoe maoni au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…