daah wamemuandama hao!!!!!!
Inabidi kiba abadilike maana anaumiza sana washabiki wake
k 4 life mazeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah wamemuandama hao!!!!!!
Inabidi kiba abadilike maana anaumiza sana washabiki wake
So sad..
Hana cha kubadilisha labda akajaribu soka
Opinion, simchukii diamond ila ni mshabiki wa mziki wa Kiba.
Kiba yupo safi kabisa haumizi mtu, ila mashabiki ndio wanajiumiza kwa kutaka kiba awe kama Diamond kitu ambacho ni IMPOSIBLE ni sawa na kupaka rangi ya gold jiwe na kutaka liwe GOLD OG
Na bado ataomba poo mwenyewe.
Kinachompoteza huyu jamaa ni kutaka kushindana na mtu nilishamuonya kitambo afanye mziki yeye kama yeye na aangalie tu namna ya kutoka sio unajifanya na wewe daimond afu unashot nyimbo mbili sauz ndio unapotea kabisa kwenye game ila hakutaka kunisikiliza.
Bora stars, kuishabikia man u
Hakuna asiejua wew ni shabik wa chelsea! Naona leo hii mmejitokeza kutoka mafichoni!
Kiba ni sawa na mtu aliyelala fofofo, kaja kamuamshwa na yey anaforce kuamka wakat bado ana mang'amung'amu ya usingizi. Mi namshauri aendelee tu kulala usingiz utakapoisha ataamka mwenyew!
Ha haa haaaa...
Nipo leicester city.
Hivi video ya nagharamia vp?