Kiba anaenda kuzimika kama mshumaa katikati ya pepo kali

Kiba yupo safi kabisa haumizi mtu, ila mashabiki ndio wanajiumiza kwa kutaka kiba awe kama Diamond kitu ambacho ni IMPOSIBLE ni sawa na kupaka rangi ya gold jiwe na kutaka liwe GOLD OG

K 4 REAL baba lao bongo
 
Kiba ni sawa na mtu aliyelala fofofo, kaja kamuamshwa na yey anaforce kuamka wakat bado ana mang'amung'amu ya usingizi. Mi namshauri aendelee tu kulala usingiz utakapoisha ataamka mwenyew!
 
Kinachompoteza huyu jamaa ni kutaka kushindana na mtu nilishamuonya kitambo afanye mziki yeye kama yeye na aangalie tu namna ya kutoka sio unajifanya na wewe daimond afu unashot nyimbo mbili sauz ndio unapotea kabisa kwenye game ila hakutaka kunisikiliza.

K 4 REAL kidume chao
 
Kiba ni sawa na mtu aliyelala fofofo, kaja kamuamshwa na yey anaforce kuamka wakat bado ana mang'amung'amu ya usingizi. Mi namshauri aendelee tu kulala usingiz utakapoisha ataamka mwenyew!

Nitumie namba yako nikugiftishe mkuu, umemaliza
 
Kiba ni sawa na mtu aliyelala fofofo, kaja kamuamshwa na yey anaforce kuamka wakat bado ana mang'amung'amu ya usingizi. Mi namshauri aendelee tu kulala usingiz utakapoisha ataamka mwenyew!

dogo umetumwa au umejituma?
 
Kinachompoteza huyu jamaa ni kutaka kushindana na mtu nilishamuonya kitambo afanye mziki yeye kama yeye na aangalie tu namna ya kutoka sio unajifanya na wewe daimond afu unashot nyimbo mbili sauz ndio unapotea kabisa kwenye game ila hakutaka kunisikiliza.

Shida inaanza pale mtu anapojifanananisha na mwengiene kiuwezo.
 
Back
Top Bottom