Kiba anaenda kuzimika kama mshumaa katikati ya pepo kali

Kiba anaenda kuzimika kama mshumaa katikati ya pepo kali

Achana na too much hate, mtu wenu alijilazimisha kunya kwa tembo kilichotokea sasa hahahaha ndio tuna discuss hapa amekuwa kama mkate uliolowekwa kwenye chai...

Mtazamo mgando,
Angekua ameiga kunya kwa tembo,
Asingepata support kubwa namna hii,
Hahahahaha

#Too Much Hate It Means Love#
 
Sawa mkongwe" nakumbuka kuna kipindi uliniambia una masters ila c kwa thread zile unazoanzishaga 😭😭😎😎"
😂😂😂😂😂thread za bwana K kabla ujafungua tu kile kichwa cha habari unakuwa ushajua mwandishi wake
 
Back
Top Bottom