kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Hivi video ya nagharamia vp?
Imetoka ni mbayaaaaa utotamamani kuigalia tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi video ya nagharamia vp?
Achana na too much hate, mtu wenu alijilazimisha kunya kwa tembo kilichotokea sasa hahahaha ndio tuna discuss hapa amekuwa kama mkate uliolowekwa kwenye chai...
😂😂😂😂😂thread za bwana K kabla ujafungua tu kile kichwa cha habari unakuwa ushajua mwandishi wakeSawa mkongwe" nakumbuka kuna kipindi uliniambia una masters ila c kwa thread zile unazoanzishaga 😭😭😎😎"
Kiba katufuta machozi, nagharamia on point.