We fala kwel ata uelewi naongea nn umesoma comment yang vzur? asa kiba kukimbia tuzo kunausianajeKila kitu cha kiba mnabeza... Ishara za kuishiwa hoja na uwoga msanii gani mkubwa bongo hii hakuwahi kuchukua KTMA ?..afu usintoe nje ya mada nijibu kiba wakati zile tuzo zinatolewa alikuwa wapi?
Umeshobokea dundo bwege wee kuna nyau mwenzako aliandika ushuz kwamba kiba hagong show mbele ndo nikamuuliza wakat Wa KTMA kiba tuzo zote alipokelewa je anajua kiba alikuwa wapi???...ulipotokea sijui wapi ndugu yangu hujui lolote unaropoka ropoka tu nyauWe fala kwel ata uelewi naongea nn umesoma comment yang vzur? asa kiba kukimbia tuzo kunausianaje
Kwanza ni ww mwenyewe ndo uloandika hayo mavi ***** afu unakunyakunya hapa kalio ww jibu swali kiba alikuwa wap had akashindwa kuhudhuria zile tuzo?We fala kwel ata uelewi naongea nn umesoma comment yang vzur? asa kiba kukimbia tuzo kunausianaje
Na hapo umebeza eti tuzo za empowerment mbna jamaa yenu alichukua saba wakat yupo na Wema hamsemi?...acha hizo kiaz kitamu ww unaliwa hata bila kupikwa..We fala kwel ata uelewi naongea nn umesoma comment yang vzur? asa kiba kukimbia tuzo kunausianaje
Umekurupuka bro wanaume wakiwa wanaongea unatulia kidogo sawa bi mzuri?Jaribu kuwa unaelewa kwanza ndo una reply yaani ulivojibu na yy alivyoandika ni vitu viwili tofaut.....nahisi ulikimbiaga shule ww kaka maana duuh niishie apo...!!
If am not mistaken Ben Paul said he is overrated not he is exaggerating. Just saying.......Ndio maana Ben Poul alimwambia ana over exaggerate
Mgongwe eeh??...trace hadi belle anapigwa so?...Shida Ni kwamba unaongea kishabiki, Na abadani hutopata njia ya kumsaidia huyo Jamaa mpaka utoe huo ushabiki! Ktk post yangu nimesema Kabisa Kiba kwa Hadhi aliyonayo yeye sio wa kushindina Na Mondi, Kiba Ni mgongwe, Ni sawa Na Kikumbi Mwanza Mpango Maestro King Kingkii aanze kushindana Na Kalala junior, it's unfair!! Ni Kweli Kiba kimziki Ni Mkubwa kuliko Jamaa! Ila Jamaa katumia fursa vizuri Na Anajua kuishi Na watu! Sasa wewe endelea kubisha hivyo hivyo me naendelea kumuangalia Diamond Trace urban saivi.
Post imekaa kinazi afu unajikosha we kiazi kweli..Tatizo la Huyu ndugu yenu anashindana Na mtu ambaye hashindani naye! Wakati yeye anawaza nitoe nyimbo halafu niongee Na mashabiki wangu ili nimpite jamaa, mwenzake anawaza wiki hii inabidi nirecord wimbo halafu next week niende Hapo jo'berg nifanye kichupa, nikitoka hapo nitaenda Florida Nina show Kama 3 sijui itakuaje! Nikimaliza show nitarudi dar kumsaidia Hamornize!
Kiba! Badilika bro! Yaani kihalali haikufaa wewe kushindana Na Mondi! Kila nikikumbuka Enzi Za Cinderella, Njiwa, Nakshnakshi, shababi Naona Kabisa jinsi unavyopotea! U have to act as a gentleman!
Fanya Mziki wako wewe Kama wewe! Stick with your plans, acha kushindana Mkuu! Pia punguza kiburi Na kujisikia, mambo hayo waachie Waramba lips kina Blue!
Umemuona AY? Kumbuka yeye Ndio alifungulia Diamond milango ya Nje! Ila Leo Jamaa wala Hana kinyongo nae! Mpaka wametengeneza Zigo remix ona ilivyomrudisha hewani!
Mziki sio vita! Mziki Ni burudani Na kazi! Usitake nikuimbie Mackmuga bhana!
NB; Mimi sina team, wewe Na mwenzio nyie wote Ni wangu!
MsaniiKiba ndio nani wakuu
Tatizo unafikiri kila mtu Ni mtoto mwenzio! Sasa unazi uko wapi hapo?Post imekaa kinazi afu unajikosha we kiazi kweli..
Kwanza wewe nikikutikisa Hivi Hakuna unachojua kwenye Mziki. Usikute Ni mtoto wa Juzi Juzi tu! Kwanza sijui kwanini nimekujibu.! Nyinyi watoto mliozaliwa kipindi hiki cha Jakaya mnamatatizo sana!Post imekaa kinazi afu unajikosha we kiazi kweli..
Hebu kacheze Na wenzio huko bana! Wewe Belle unajua kwenye media?Mgongwe eeh??...trace hadi belle anapigwa so?...
Chizi ww una uhakika dimond hashindani na kiba ?..acha unyau paka jike ww siku île istagram anasema "sijui nininini mwisho anamaliza wakipost tembo sisi tunapost show"..alikuwa anamwambia mamako mdogo aw?..kiba mnasema hamuwez diamond sasa si mumlinganishe diamond wenu na jux bas mbna kila siku mpo hapohapo.. Diamond aliwah kupost juu ya kiba kukopa pesa kwa ajili ya kumalizia nyumba yake... Anashindana hadi nje ya muziki sijui hujui unakuja unajambajamba hapa we puru kweli mshkaj wng.Tatizo unafikiri kila mtu Ni mtoto mwenzio! Sasa unazi uko wapi hapo?
Ni uongo Kiba hakuanza kufahamika Ktk medani ya Mziki Kabla ya Diamond?
Ni Uongo Diamond anafanya vizuri kwa Sasa kuliko Alikiba?
Ni uongo Mziki unamlipa Diamond vizuri zaidi kuliko Alikiba?
Ni uongo Alikiba Anashindana Na Diamond Wakati Diamond anashindana Na mafanikio Yake?
Ni uongo AY alimtoa Diamond sehemu flan Na kumpeleka sehemu flani?
Ni uongo Alikiba Hana kiburi Na kujisikia?
Wewe endelea Na u playboy wako hivyo hivyo! Utamaliza mabucha yote nyama Ndio ile ile.
Poa bas trace zinapigwa za diamond tu haya tumalizie hapo umeshindaHebu kacheze Na wenzio huko bana! Wewe Belle unajua kwenye media?
Uliza unachojua kuhusu muziki malaka ww me siyo mwenzio pumbavKwanza wewe nikikutikisa Hivi Hakuna unachojua kwenye Mziki. Usikute Ni mtoto wa Juzi Juzi tu! Kwanza sijui kwanini nimekujibu.! Nyinyi watoto mliozaliwa kipindi hiki cha Jakaya mnamatatizo sana!
Malaka Ndio Nini.. Hebu niambie unaelewa Nini kuhusu Full/semi tone.Uliza unachojua kuhusu muziki malaka ww me siyo mwenzio pumbav
Punguza Munkali, Huku Ni home of Great Thinkers, ma'GT hawabishani kwa hoja Zenye matusi,Chizi ww una uhakika dimond hashindani na kiba ?..acha unyau paka jike ww siku île istagram anasema "sijui nininini mwisho anamaliza wakipost tembo sisi tunapost show"..alikuwa anamwambia mamako mdogo aw?..kiba mnasema hamuwez diamond sasa si mumlinganishe diamond wenu na jux bas mbna kila siku mpo hapohapo.. Diamond aliwah kupost juu ya kiba kukopa pesa kwa ajili ya kumalizia nyumba yake... Anashindana hadi nje ya muziki sijui hujui unakuja unajambajamba hapa we puru kweli mshkaj wng.
Nyoko kweli swali gan unauliza... Unaniuliza kupanda na kushuka kwa sauti unaniuliza habari za nusu toni ?...hebu niambie kiwango cha mwisho kabisa cha kupanda kwa sauti ni ngapi?Malaka Ndio Nini.. Hebu niambie unaelewa Nini kuhusu Full/semi tone.
Angalia hiyo punga wwHebu kacheze Na wenzio huko bana! Wewe Belle unajua kwenye media?
We ndo great thinker ??...ambaye unasema belle hawamjui kwenye media ?..na huamini kama nyimbo yake imepigwa trace ??...duuuuh hahahahaaaa great thinker hufany utafit kabla ya kuandika hahahahaaa haya GREAT THINKEEER unafikiri kwa kutumia makalioPunguza Munkali, Huku Ni home of Great Thinkers, ma'GT hawabishani kwa hoja Zenye matusi,
Pia jifunze kutofautisha JF Na group Lako la shule.
By the way tufanye Hivi; Alikiba yuko juu kuliko Diamond.- satisfied?