Kiba kuja na tour ya dunia nzima

hana issue huyu kiba,anabebwa sana,mbona hata tarehe za hio tour hajaweka?aseme siku flan nitakua ukumbi flna n.k,sio kuweka general timetable mana hata hajui ni lini ataperforme,poor kiba
 
Anabebwaje sasa mbona hujaeleweka
 
Lengo La kutaja Tuzo ni nini? Kwamba watu hawamjui kwa hiyo anawalazimisha wajue kuwa alie shinda tuzo fulani ndio yeye anaye kuja? Hana Band wala Gitaaa hiyo show atapiga kwa CD au? Hamna tarehe wala veneu wanapima Witikio wa Watu au?
 
kwan tatizo likowapi, kuna lililoharibika kutokana na tuzo kutajwa au
 
Ajiimarishe na kutafuta coverage kwanza lasivyo ataishia kusingizia anarogwa tu, maana bado hana coverage kubwa he is not even the best kwao kwa maana hawez kuandaa show hata ya tsh 30000 akajaza watu.
 
Mimi nimeshaweka kumbukumbu sawa nasubiri muda ufike, nitawauliza tu hii tour yao imeishia wapi?
 
Kwani ndo unajua leo mkuu? kaangalie mtv mama alivovulunda, shida yake anataka afanye yote kwa pamoja tena full time wakati hata pumzi hana, dancing awaachie kina iyobo
 
Mimi nimeshaweka kumbukumbu sawa nasubiri muda ufike, nitawauliza tu hii tour yao imeishia wapi?
Mbona Tour ya Chibu ya Wingereza sikuona iliishia wapi ila hii hautauliza hilo swali jiandae kusifia kazi mujarabu toka kwa KING
 
Nipo kuweka kumbukumbu kiongoz wala tusiulizane mambo ya "Wingereza" kwa kuwa huu sio uzi wa tour za "Wingereza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…