Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan tatizo likowapi, kuna lililoharibika kutokana na tuzo kutajwa auLengo La kutaja Tuzo ni nini? Kwamba watu hawamjui kwa hiyo anawalazimisha wajue kuwa alie shinda tuzo fulani ndio yeye anaye kuja? Hana Band wala Gitaaa hiyo show atapiga kwa CD au? Hamna tarehe wala veneu wanapima Witikio wa Watu au?
Ajiimarishe na kutafuta coverage kwanza lasivyo ataishia kusingizia anarogwa tu, maana bado hana coverage kubwa he is not even the best kwao kwa maana hawez kuandaa show hata ya tsh 30000 akajaza watu.
Angalau, maana kilasiku show za Mombasa watamchoka
Mimi nimeshaweka kumbukumbu sawa nasubiri muda ufike, nitawauliza tu hii tour yao imeishia wapi?Ziko wapi mie nipo huku sijaona bango.
Kiba anacheza na akili za Watu,ziara iliokuwa confirmed ni hiyo ya Afrika kusini,hizo zingine ndio anazicchuuza kama machinga anavyopiga kelele kuuza suruali,ndio maana ameweka contacts ili mtu akitamani awasiliane na hao mameneja.
Tour unatengeneza ukishapata mialiko ambayo ni confirmed na deposit au malipo yote umepata.
Kiba bado sana,na hizo tour atafuta tu,atasingizia kahujumiwa,mara kanyimwa viza tupo hapa
Kwani ndo unajua leo mkuu? kaangalie mtv mama alivovulunda, shida yake anataka afanye yote kwa pamoja tena full time wakati hata pumzi hana, dancing awaachie kina iyoboLeo nilikuwa naangalia marudio ya tunzo za CAF kule nigeria,Diamond na wanamuziki wote walikuwa waki perform live ,kweli Diamond pamoja na mafanikio yake makubwa kimziki live performance bado sana. Nimemwangalia Yemi Alade,Mr flava, Femi kuti na kundi moja la South Africa yaani wako vizuri ile mbaya kwenye ku perform live,yaani instruments zinapigwa live na back vocals wapo na wapiga kazi. Diamond ilikuwa kama show ya kudance.
Najua matani-mind,lakini ushauri wangu kwa Platinum wetu ule mwaliko wa kuperform kwenye award kubwa kama ile si kitu cha mchezo so maandalizi ni muhimu ili siku nyingine ukumbukwe kwenye tukio kubwa zaidi. Diamond alitakiwa kupiga live, let's say nyimbo alizoimba kwa kushirikiana na wanamuziki wengine alitakiwa kuwa amemwandaa mmoja wa wanamuziki wake kucover nafasi hizo kama alivyofanya Yemi Alade kwenye wimbo johnny. Ni ushauri tu.
Nipo kuweka kumbukumbu kiongoz wala tusiulizane mambo ya "Wingereza" kwa kuwa huu sio uzi wa tour za "Wingereza"Mbona Tour ya Chibu ya Wingereza sikuona iliishia wapi ila hii hautauliza hilo swali jiandae kusifia kazi mujarabu toka kwa KING
Pozi aliloweka linaashiria kuwa hana uhakika kama hizo show zitakuwepo au la!![]()
Povu linaruhusiwa kina sheikh kipozeo
Acheni utani buana! Around the world??????The Tour is around the World and he is starting with S/A
Omo mult powerPozi aliloweka linaashiria kuwa hana uhakika kama hizo show zitakuwepo au la!
Hajafikia level hiyo bado lakini mwanzo mzuri.kwan jamaa unamchukulia ki sport sport