Kiba & Mondi wapo pamoja studio

[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante

Kuna mambo mengi ya msingi zaidi ya haya mateam uchwara!!

Wote watanzania hao!!!

Yaani, kwanza ni utoto.

Pili, ni upu.mbavu wa daraja la kwanza.

Na tatu, ni ujuha wa mwisho kabisa [ kama naweza kuwaweka majuha katika orodha ya nani ju.ha kuliko mwenzake].

Safi sana Geni....umeonyesha ukomavu wa kifikra. Unanidai chupa ya Rozay.
 
Yaani, kwanza ni utoto.

Pili, ni upu.mbavu wa daraja la kwanza.

Na tatu, ujuha wa mwisho kabisa [ kama naweza kuwaweka majuha katika orodha ya nani **** kuliko mwenzake].

Safi sana Geni....umeonyesha ukomavu wa kifikra. Unanidai chupa ya Rozay.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...!!

ni ujinga na upumbavu kwa sababu sijaona cha maana kwenye timu zaidi ya chuki zisizo na msingi!

Mnajikuta mnagombana kwa watu ambao hawana athari yoyote kwangu iwe hasi au chanya...!!

Kuna muda unafika unapaswa kuishi kulingana na hali halisi!

Aly Nampenda sana tu...Ila hii hainifanyi nimchukie diamond!

Kukosana kisa hao wasanii wawili hapana kwa sasa!!
 
Muulize vizuri panadol....!Niko vizuri!!

Neema za Mungu sijanyimwa!

Acha ikuume tu!ushachelewa...!!

Acha wakubwa wafaidi!

Daaah!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Leo umenilima hadharani [emoji87]

Mchana kweupeeee [emoji1]

Na mi ntakuwa mkubwa tuu sku moja!
 
Hahaaha alafu atakaokua nao steg moja ni akina yemi alade ...kuna mtu akaropoka eti wasanii wadogo...yemi alade msanii mdogo?? Embu wa google yemi alade net worth ...
Mkuu mfano juzi kwenye fiesta man fongo alikuwa jukwaa moja na wiz kid, hivi ata jiita yko sawa na wiz kweli!!?
Au Ryvanny alikuwa jukwa moja na wiz kid, unakumbuka AY asha wahi kuwa jukwaa moja na Akon!!?
Ali ata panda kwa hilo nampongeza ila halija muweka sawa na mwenzie ambaye hadi tuzo asha chukua

Hayo mambo yapo watu kibao washafanya, msi ya overhype
 
I dont have doubt with diamond' reputation and his success in music industry at all ila tu kauli yako uirekebishe tu kua kolabo ya ali na naseeb ni kolabo as wale ni wasanii wakubwa n kila mtu ana respect yake kitaifa na kimataifa so wameamua kuunganisha talent zao ziwe kitu kimoja lakin kolabo sio kwamba "eti " naseeb anamsaidia ali kutoka.
Tusitoe maoni kishabiki zaidi ila nadhani tuwe tunatoa maoni kwa facts
 
Hahaaha alafu atakaokua nao steg moja ni akina yemi alade ...kuna mtu akaropoka eti wasanii wadogo...yemi alade msanii mdogo?? Embu wa google yemi alade net worth ...
Ndo apooo
 
Kauli yangu inasimama, sina doubt na mafanikio ya Kiba hata kidogo

Lakini sina shaka kuwa Kiba akifanya kolabo na Mondi yeye ndio ata gain jina kimataifa mondi hana la kugain kwa kuwa tayari jina analo(alisha tolewa na kina davido na AKA). Sasa mondi ata gain akifanya kolabo na ferench montana kwa kuwa he z well known na ata mu introduce kwa new audience (na yeye atakuwa katolewa zaidi)

Fact zangu hizo.
 
Alikiba lazm udhaifu wake uonekane... na kama alikuwa amezoe kubustiwa na bifu sasa mambo kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…