Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
- Thread starter
- #61
Kulipa kodi ni wajibu wake!Diamond Ni mzalendo Si analipa kodi
Kila mtanzania analipa kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulipa kodi ni wajibu wake!Diamond Ni mzalendo Si analipa kodi
Nakubaliana na wewe ila usijilazimishe (hiyo hali ya kujitoa itoke moyoni ndo maana nikasema isipotoka moyoni utakuwa mnafiki)Uzalendo sio chuki wala unafiki!
Maana ya uzalendo ni ile tu kujitoa kwa maslahi ya taifa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]waambieni TOT waimbe!
Wanaimba za misibawaambieni TOT waimbe!
Hahahahahaa au sio mkuu unenifurahishawaambieni TOT waimbe!