kwahiyo mkuu una amini mungu anaweza kupambana na wezi?Sifa ya mtu aliyekosa tumaini au kukataa tamaa ni kumkufuru Mungu, tuendelee kumwomba Mungu apambane na huu wizi wa binadamu na mtandao wake ambao naamini unaanzia juu kabisa kwa wazee wa mitano tena au wapambe wao
Ndio, fanya utafiti wa wezi maarufu miaka 30 iliyopita, angalia hatma zaokwahiyo mkuu una amini mungu anaweza kupambana na wezi?
Aliyeelewa hapo pekundu anisaidie kufafanuaWatu hao wanaodaiwa kutekeleza tukio hilo saa 12 asubuhi pia wanadaiwa kuondoka na mtoto mchanga mwenye umri wa miezi saba, ambaye ni wazazi wa mtoto huyo.
Uhalifu wa risasi ulishaanza kipindi cha JK ila Magu alikuja kuukomesha baada ya kuwambia askari nyang'anyeni bunduki kwa majambazi.Dar bado uhalifu wa risasi tu tuwe km kwa mandela
Aliyeelewa hapo pekundu anisaidie kufafanua
Mpaka wakasimulia tukio utajuaa wana hali ganiWanandoa waliotumbukuzwa kwenye chemba za choo wamekufa au wako hai?
Kukata tamaa kivip ? Na kwenye nini na kwanini unalazimisha kila mtu aamini uwepo wa Mungu na unataka akishaamini, aamini Mungu yupi kati ya hawa zaidi ya 1000 wanaoaminiwa na jamii tofauti humu duniani?Sifa ya mtu aliyekosa tumaini au kukataa tamaa ni kumkufuru Mungu, tuendelee kumwomba Mungu apambane na huu wizi wa binadamu na mtandao wake ambao naamini unaanzia juu kabisa kwa wazee wa mitano tena au wapambe wao
Washikwe na kutumbukizwa makaburin ili liwe somo. Nashukuru mheshimiwa rais kwa hili.Wizi mwingine sasa ni kama wametumwa na waganga wa kienyeji! Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi kama si uchawi wote huo.
===================
Watu ambao hawajafahamika wamevamia nyumbani kwa mkazi wa Kibaha kwa Mfipa Mkoa wa Pwani, Melkisedeck Sostenes na kupora gari, pesa na vitu mbalimbali kisha kuwatumbukiza wanandoa kwenye chemba za vyoo.
Watu hao wanaodaiwa kutekeleza tukio hilo saa 12 asubuhi pia wanadaiwa kuondoka na mtoto mchanga mwenye umri wa miezi saba, ambaye ni wazazi wa mtoto huyo.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Alhamisi Januari 16, 2025 Sostenes amesema kuwa watu hao walifika nyumbani kwake jana saa 12 asubuhi na walimvizia alipokuwa akitoka ndani kwenda kulisha kuku bandani.
View attachment 3203929
kwahiyo mkuu una amini mungu anaweza kupambana na wezi?
Binadamu ndiyo atapambana na wezi mkuu na siyo Mungu.Ndio, fanya utafiti wa wezi maarufu miaka 30 iliyopita, angalia hatma zao
Labda walitishiwa kuuwawa na hao wahalifuMpaka wakasimulia tukio utajuaa wana hali gani
Ila najiuliza
- Mpaka wakamatwe wote wawili, watumbukizwe shimoni
- Saa 12 asubuhi Kibaha ni kweupe walishindwaje kupiga kelele za kuomba msaada?
Kwani wamemwibia mungu?Washikwe na kutumbukizwa makaburin ili liwe somo. Nashukuru mheshimiwa rais kwa hili.
Inatakiwa hukumu itolewe moto moto lakini miaka 20 inakosa mashikoHio hukumu ni nzuri ikiwa kwa mwenzio sio mwanao wala familia yako
Hakuna hukumu iliwahi kuwa nzuri ikiwa anayehukumiwa ni ndugu au mwanao.Hio hukumu ni nzuri ikiwa kwa mwenzio sio mwanao wala familia yako
Kuna Baadhi ya Matukio binadamu wenzetu wanafanya unashindwa uanzie wapi kuduwaa.
Lakini nawashangaa zaidi wanaosema hukumu ya kifo Ifutwe badala ya kuangalia aina ya matukio ya kuyapa hiyo hukumu.
Ndio maana wakati mwingine Huwa napata kigugumizi sana kuwaonea huruma watu walioko jela licha ya usemi kwamba sio wote walioko jela Wana makosa lakini ni zaidi ya 90% wanakuwa na makosa tena ya Ukatili,hapo kiukweli Huwa inaniwia vigumu kumhurumia mfungwa.
Poleni sana mliofikwa na haya mambo ππ
View: https://www.instagram.com/p/DE5cFHuNq70/?igsh=aWNsNXo1bDB4ZG03
Hukumu ya kifo yafaa iendelee kuwepo.Mi binafsi hukumu ya kunyongwa iendelee
Hio hukumu ni nzuri ikiwa kwa mwenzio sio mwanao wala familia yako
Mafanikio ya na mengi nyuma yake ikiwemo dhuluma...Kuna Baadhi ya Matukio binadamu wenzetu wanafanya unashindwa uanzie wapi kuduwaa.
Lakini nawashangaa zaidi wanaosema hukumu ya kifo Ifutwe badala ya kuangalia aina ya matukio ya kuyapa hiyo hukumu.
Ndio maana wakati mwingine Huwa napata kigugumizi sana kuwaonea huruma watu walioko jela licha ya usemi kwamba sio wote walioko jela Wana makosa lakini ni zaidi ya 90% wanakuwa na makosa tena ya Ukatili,hapo kiukweli Huwa inaniwia vigumu kumhurumia mfungwa.
Poleni sana mliofikwa na haya mambo ππ
View: https://www.instagram.com/p/DE5cFHuNq70/?igsh=aWNsNXo1bDB4ZG03