Kibaha: Waiba gari, kichanga na kuwatumbukiza wazazi kwenye shimo la choo

Kibaha: Waiba gari, kichanga na kuwatumbukiza wazazi kwenye shimo la choo

Kukata tamaa kivip ? Na kwenye nini na kwanini unalazimisha kila mtu aamini uwepo wa Mungu na unataka akishaamini, aamini Mungu yupi kati ya hawa zaidi ya 1000 wanaoaminiwa na jamii tofauti humu duniani?
Silazimishi, Ila kila mtu anajua kwamba kuna Mungu, Bwana wa dunia yote, Ila anaamua kutokumwamini, kimpinga au kuamini miungu (mashetani, mazimwi, majini n.k) kwa sababu anahisi yanatoa majibu ya haraka m.f kumrushia jini mbaya wako, kumdhuru mwizi, Kinga za biashara n.k

Lakini wote hao wanajua kuwa kuna universal God
 
Thibitisha uwepo wake
 
Sasa Mungu analeta shari, analeta vita, halafu tunaambiwa ni Mungu mwenye upendo.
yeye mwenyewe anapata hasira, anapata huzuni, sasa huyu Mungu uwezo wake uko wapi?
Hakunanga cha mungu wala miungu.ni ujinga ujinga tu.hata dunia sio flat wa yai ni kuzidiwa ujanja tu na hawa mazayuni ya kizungu kiufupi dunia ni shapeless.
 
Back
Top Bottom