Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Haki ni asili ya Samia,ile ilikuwa kesi ya mchongo ya sukuma gang usijifanye huelewi.
Nimekuuliza alipoulizwa huyo Samia kuhusu kesi ya Mbowe alijibu nini?

Mtu mwenye asili ya haki hasubiri mashinikizo ili ndio atende haki, angetenda haki kama alivyowatoa wale wazanzibari wenzie bila kushinikizwa.
 

Kasoro kwenye utawala wa Samia ziweke ww, yeye kaamua kuweka za Magufuli, ni jambo ka kugawana majukumu tu.
 
Ametumia fasihi hapa kumfikishia mtu mmoja ujumbe
 
Zitto kabwe kakosea sana hajatumia lugha ya kistaarabu kumkosoa marehemu magufuli aombe radhi ,akumbuke jinsi alivyolia bungeni kipindi mama yake alivyosemwa akiwa kashafariki
Kibajaji nae ilibidi Alie Basi nyongeza msisitizo
 
Zitto ni msanii tu yule dogo.....anacheza na wabongo wasiojitambua akili.
 
Kuna mtu alishawahi kusema bungeni, "Watu kama Zito wanapaswa kuwawa na bunge likapiga makofi meza kushangilia"...

Kuna wakati ujinga tunaulea wenyewe na kuushangilia ila mambo yakigeuka tunaona tunaonewa...
 
"Kibajaji" aka Living stone lusinde hilo jambo alipaswa kulizungumzia kwenye vikao vyao vya chama na sio bungeni labda kama bunge nalo ni kikao cha chama...
 
tusipende sana kulea ujinga hata kama unatufavor maana matokeo yake huwa ni mabaya sana..

Watanzania tuna tabia sana ya kufurahia ujinga wakati ambapo unatufavor na kujiona tuna akili sana na wengine ni wajinga sana...

Tuwe tunapima sana mambo na tuache roho za kishabiki bali tujikite kwenye facts..
 
Watanzania huwa tunasahau haraka sana, au kwa sababu ya upofu unaosababishwa na mapenzi yaliyopitiliza bila kuangalia facts?...

Kuna ujinga mwingi sana ulifanyika mahala fulani na watu tukawa tunashangilia na kupiga makofi sana kwa sababu ule ujinga ulikuwa ukitufavor....leo mambo yamegeuka tunalialia...
 
Nimekuuliza alipoulizwa huyo Samia kuhusu kesi ya Mbowe alijibu nini?

Mtu mwenye asili ya haki hasubiri mashinikizo ili ndio atende haki, angetenda haki kama alivyowatoa wale wazanzibari wenzie bila kushinikizwa.
Siasa mbaya sana yaani zinawatoa akili watu kabisa. Wamesahau interview ya kwanza na BBC Samia alisema na kutoa msimamo wake kwamba Mbowe mashitaka anayotuhumiwa ni ya kweli pamoja na kutolea dalili na kuonesha yuko upande gani wkt kesi iko mahakamani na walianzisha thread pamoja na comments za dhihaka kwa Rais Samia nyimbo ya 'anaupiga mwingi 'ukafa rasmi baada ya hapo leo anakuja upya na kusifu eti Samia mtu wa haki..
 
Unaweza lieleza jukwaa moja ya wakosoaji wake ambaye aliokotwa baharini?
 
Lissu alimsema Magufuli akiwa hai akaishia kupigwa risasi, mbona hakujitokeza kukemea Lisu kushambuliwa kwa kumkosoa Magufuli akiwa hai? Kama hutaki kukosolewa ukiwa madarakani tena ukiwa hai, jiandae kupokea ukweli nje ya madaraka au ukiwa kuzimu.
Una uhakika Lisu alipigwa risasi kisa Magufuli?Kama ni ndio,mbona alirudi tena kwenye uchaguzi na huyo Magufuli hakumgusa?
 
Magufuli anasemwa vibaya kwa kuwa alizuia watu kumsema vibaya, Kikwete mbona watu hawamsemi vibaya, Mkapa, Mwinyi na nyerere wao hawakuzuia watu kama alivyozuia Magufuli zile hasira za kuwazuia ndizo zinaonekana sasa hivi.
Unataka kusema enzi za Magufuli watu walikua hawamseni vibaya?Au kumsema vibaya kuna tafsiri nyingine?
 
JPM alikuwa rais mkatili sana, unachopanda ndio unavuna. Ila Zitto hakuwa sahihi sana, watanzania tulishajua. Hakuna haja ya kusema
 
Afadhali ya zito Kibajaji anaogopa mpaka marehemu. Nani mwoga zaidi kati ya anayeongopa aliye hai na anayeogopa marehemu
Kuelewa ni kazi sana
Hajasema anamuogopa kasema anamuheshimu marehemu kwa mujibu wa mafundisho ya dini.
Hamsemi Maalim sio kwamba anamuogopa
Hamsemi mama yake Zitto anamuogopa
Acheni huu upumbavu na kujifanya mnasahau.. Zitto huyuhuyu alitoa machozi wakati chadema wanamsema mama yake na akasema jamani mama yangu kafariki naomba mwacheni apumzike.. Huku anafuta machozi
Wakati huo alikuwa amejitapa kwa kusema CHACHA WANGWE died but I WONT... Akimaanisha Wange aliuawa yeye hawatomuweza ndipo yakazuka maneno kwamba mama yake alikuwaga mchawi sana
Sisi tuna fahamu jinsi yule mama alivokuwa kigagula je tuanze kutaja anaotuhumiwa kuwaloga na kuwaweka misukule? Nao akawaombe radhi nani? Zito ataenda kumuombea radhi mama yake?
Mtu akifa kitabu chake kinafungwa anasubiri hesabu kwa Muumba wake.
Tuache marehemu wapumzike jamani..
 
Sio kila mtu ni jasiri kama Lisu, hawa wengine walingoja atoke madarakani wateme nyongo. Kwa bahati mbaya kafia madarakani. Hivyo kwakuwa hakuwa mstaarabu acha ukweli wake apewe akiww huko huko motoni.
Miaka yote wewe ulikua ukimponda Magufuli, Ulitaka uhuru gani zaidi ya ule?Lisu sio mtu wa kwanza kupigwa risasi au kufanywa vibaya. Walikuwepo akina Mwangosi,Ulimboka, kibanda, Kubenea, Mwaikusa nk.Haya matukio kwako ni ya kawaida sana kuliko la Lisu?
 
Magufuli alikuwa na falsafa?
Ya utekaji, ubambikaji kesi, ukwapuaji, roho mbaya,ukabila, ubaguzi, call that falsafa?
And you subscribe to that?
Aliyemweka Mbowe ndani mwaka jana sio mbambikiaji kesi?Anayejaza waislam huko serikalini now sio mbaguzi?Aliyemtoa Ndugai bungeni kisa kampinga sio roho mbaya?Au we matendo mabaya unayatafsiri vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…