Kweli Bavicha akili kisoda hahahahhah. Hivi kupambana na Hayati nako ni kugawana majukum?Ni wachawi na washirikina ndio huendelea kupambana na wafu.Wanasema ukifa basi kitabu chako kinafungwa, Kuendelea kupambana na Hayati ni upumbavu KIWANGO cha SGR. Na sio zito tu,hata wewe umejipa kibarua cha kupambana na Hayati, kwamba ya utawala huu we hayakuhusu sana.Kila jambo na wakati wake lkn ndugu zetu mnaopambana na Magufuli hii kanuni hamna hahahahhah. Zito,Wewe na genge la aina hiyo hamuoni ttz lolote utawala huu zaidi ya kupambana na Hayati. Kwamba huku kupambana na Hayati ndio kutafuta kura kwa wananchi na kuikosoa CCM na mwisho 2025 kutawaingiza ikulu?Chama cha SIASA na upinzani wowote dira yao ni kushika Dora, Na utaona shughuli zao nyingi huwa zinahakisi kushika Dora. Sasa wewe ndugu ukikesha kumponda Magufuli ndio mtashika Dora?Tukisema hakuna upinzani zaidi ya genge la wahuni tunakosea?