Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Kibajaji amvaa vikali Zitto Kabwe kumsema Magufuli, amuita muoga kwani wakati yupo hakusema?

Ila Lissu hakuacha kumsema Magufuli.

Sasa ukijakumsema wakati kafa ndio tutegemee atajirekebisha huko kaburini au ndio kupunguza hasira tu?

Yani umpoteze been sanane halafu ukifa watoto wake wasiulize Magufuli alimpeleka wapi baba?
 
Hata nawe ungepotezwa tu maana unaropoka hapa ilihali haujapotezwa uko hai na huenda ukawa na roho mbaya hata zaidi ya shetani lakini unajificha tu nyuma ya keyboard [emoji34]

Kuna mtu ana roho mbaya kuliko Magufuli? Ndio maana siku ya kufa kwake tulisherekea Sana.
 
Wewe sio Mungu na hakuna binadamu anayejuwa hukumu ya mwezie.Je? Wewe utakuwa wapi? Baada ya kifo chako yaani unaongea as if utaishi milele

Acha kujifariji, matendo ya mtu yanaongea. Wewe Ni Rais mbaguzi na muuaji na mwizi, utaingia kwa Mungu gani?.
 
Sema Zitto anajaribu kufanya kila analoweza kumu win mama. Katika kufanya hivyo, anajikuta anatukosea Watanzania wengi tulioamini fikra na mafundisho ya JPM. Kwa hivo Zitto na toilet paper ni sawa.

Watanzania wengi gani?. Huyo alipendwa na watanzania wafuata mkumbo wasioweza kuhoji. Kwa Mimi Rais yeyote asiyeheshimu Haki ya kuishi Mimi kwangu Ni hayawani tu na asiyefaa. Kwangu Mimi Mgufuli alikuwa wa hovyo kabisa.
 
Una uhakika Lisu alipigwa risasi kisa Magufuli?Kama ni ndio,mbona alirudi tena kwenye uchaguzi na huyo Magufuli hakumgusa?

Majibu alitoa Nabii Mwingira kabla ya Uchaguzi kanisani kwake. Alisema Lissu sio mtu wa kawaida ana nguvu isiyo ya kawaida. Wewe unadhani kupona kwa Lissu ndio ulikuwa mwisho wa Magufuli. Yani kiroho Lissu alipopona ndio Magufuli Mambo yake yaliishia pale. Ndio maana akatapatapa kuiba kura lakini wapi akafariki. Kupona kwa Lissu kulikuwa Kuna maana kubwa Sana.
 
Unataka kusema ni Lisu tu ndio alikua mkosoaji?

Wapo wengi Sana, Mbowe, Lema alikaa jela miezi sita mpaka mahakama kuu ilipoingilia Kati, been saanane, Membe kafukuzwa uanacham, Nyalandu kafukuzwa uanachama, etc.
 
Miaka yote wewe ulikua ukimponda Magufuli, Ulitaka uhuru gani zaidi ya ule?Lisu sio mtu wa kwanza kupigwa risasi au kufanywa vibaya. Walikuwepo akina Mwangosi,Ulimboka, kibanda, Kubenea, Mwaikusa nk.Haya matukio kwako ni ya kawaida sana kuliko la Lisu?

Acha kutetea ukatili. Yani kwasababu ukatili unafanyika kila siku basi tuuone wa kawaida?. Acha roho ya kiuaji, ya kuona maisha ya wengine hayana dhamani.
 
Kweli Bavicha akili kisoda hahahahhah. Hivi kupambana na Hayati nako ni kugawana majukum?Ni wachawi na washirikina ndio huendelea kupambana na wafu.Wanasema ukifa basi kitabu chako kinafungwa, Kuendelea kupambana na Hayati ni upumbavu KIWANGO cha SGR. Na sio zito tu,hata wewe umejipa kibarua cha kupambana na Hayati, kwamba ya utawala huu we hayakuhusu sana.Kila jambo na wakati wake lkn ndugu zetu mnaopambana na Magufuli hii kanuni hamna hahahahhah. Zito,Wewe na genge la aina hiyo hamuoni ttz lolote utawala huu zaidi ya kupambana na Hayati. Kwamba huku kupambana na Hayati ndio kutafuta kura kwa wananchi na kuikosoa CCM na mwisho 2025 kutawaingiza ikulu?Chama cha SIASA na upinzani wowote dira yao ni kushika Dora, Na utaona shughuli zao nyingi huwa zinahakisi kushika Dora. Sasa wewe ndugu ukikesha kumponda Magufuli ndio mtashika Dora?Tukisema hakuna upinzani zaidi ya genge la wahuni tunakosea?

Wahuni Ni nyie mnao toza tozo na kushindwa kudhibiti mfumuko wa Bei.
 
Magufuli apondwe kichwa mpaka mwili wake ufukuliwe uchimwe Moto.
Wangapi walimkosoa hawakushughulikiwa na mpaka leo wapo wanakosoa. Hivi huon aibu kusemea uongo maiti isiyoweza kujibu
Hwa
 
Kwahiyo wewe ukiona mtu katekwa basi ni Magufuli? Basi michezo ipo toka kwa Kikwete hivyo hakuna jipya.

Ndugu, narudia. Usihalalishe ubaya kiss umefanywa Mara nyingi. Magufuli alimpoteza Been saanane na Azory mpaka leo. Huoni dosari kubwa.
 
Ukitaka kujua kwamba mnamchukia na si kwamba mnamkosoa hebu muone Zitto(aliyefukuzwa chadema kwa usaliti) sasa hivi hakosoi utawala uliyopo ila yeye kamshikilia maiti tu hadi anasema wanaompenda wakazikwe nae ila yeye marehemu mama yake watu walivyokuwa wanaeleza ubaya wake wa uchawi wake yeye Zitto alimwaga chozi anasikia uchungu mama yake kuambiwa ukweli kwamba alikuwa anaroga watu.
Zito alifukuzwa kwa kuwa ni idealistic mzuri sana!! huyo ni kawaida kwa sisi watu wenye akili mingi, hata ukiwa na akili saana drsn wanafunzi wajinga wana kuchukia hiyo ni kawaida....ni suala la muhusika kujisifu tu!! na kujiona

si unaona Nyerere kambona alimchukia tu bila sababu!....Mama yake km alikuwa mchawi basi alikuwa mchawi mzuri wenye manufaa!! tena unapaswa umuige kwa sababu mtoto wake anaishi kwa mafanikio chanya!

km kuna mtu alimsema vibaya Mama wa hivi ni kwa ajili ya wivu wa maendeleo ya watoto wake ....kwani mara ngapi walisema kifimbo cha nyerere ni uchawi?? kwa kuwa walimjaribu waka shindwa! alitawala mpaka akachoka ni kawaida ya maskini kuropoka hovyo!
 
Wewe ndio unaeumia kwa kukumbuka nakuumizwa na maovu yake kwa chuki na upumbavu wako...

Acha kufananisha waasisi na huyo taahira.

Magufuli alikuwa Rais katili kuliko wote. Watu wanapata tetemeko hawapi msaada, eti sio yeye alileta tetemeko. Pesa akzipiga zote kwenye begi.
 
Majibu alitoa Nabii Mwingira kabla ya Uchaguzi kanisani kwake. Alisema Lissu sio mtu wa kawaida ana nguvu isiyo ya kawaida. Wewe unadhani kupona kwa Lissu ndio ulikuwa mwisho wa Magufuli. Yani kiroho Lissu alipopona ndio Magufuli Mambo yake yaliishia pale. Ndio maana akatapatapa kuiba kura lakini wapi akafariki. Kupona kwa Lissu kulikuwa Kuna maana kubwa Sana.
Kwa hiyo samia anaongoza nchi kupitia kura alizoiba Magufuli?
 
Acha ujinga, maovu ya marehemu lazima yasemwe ili walio hai wajifunze na kujiepusha kufanya maovu yale. Magufuli alikuwa shetani lazima asemwe akiwa marehemu kwa sababu alitumia nguvu za dola kunyamazisha watu wasimame akiwa hai
Zitto mbona alikuwa anamwita mshamba, mbona hakumgusa?acheni siasa za kitapeli azitawafikisha popote
 
Back
Top Bottom