Kibaki amerudi Ikulu

Kibaki amerudi Ikulu

Mzee ES,

Nimemtaja Mh. Zitto kwa sababu alikuwa mjumbe wa tume ya shirikisho na alikuwa mstari wa mbele kutetea hili shirikisho akidai ni kwa manufaa ya taifa. Sijui kama aliangalia suala la ukabila na Geo-politics katika Kenya na impact yake kwa Tanzania .
Matatizo ya Kenya ni makubwa sana na situation is not getting better ...Sasa Zitto alipokuwa akiutetea hili shirikisho ninapata shida kuelewa ni nini haswa kilichokuwa kikimpush , jee ni interest za taifa au ni interest zake binafsi...
Mkuu tumechoka tusiwaseme tuu wakina JK ambao wako mbali , tuanze na wajumbe humu humu ndani kumbuka our motto tunamkoma nyani giladi.
 
Hii tume iliundwa na zitto au kikwete? zitto ana mamlaka gani kisiasa ya kuunda shirikisho la afrika mashariki wakati chama chake kina wabunge wachache ambao mafisadi wa ccm wanaweza kuwatoa bungeni muda wowote?

Mawazo binafsi ya zitto inaonekana hayana nguvu kisheria kwani zitto alitaka tume huru ya madini na mafisadi wakakataa na wakamtoa bungeni wewe unaongelea maslahi binafsi ya zitto kwenye EAC. Hili swali aulizwe KIkwete na serikali ambao waliunda kamati ya kutaka kujiunga na EAC waseme kuwa wana maslahi gani binafsi hapa?
 
Sasa tunahitaji analysis of why ODM did not 'win'. My quick reaction, pamoja na claims of Kibaki rigging: One of key strategy miscaculation by ODM is Kalonzo factor- they would have convinced him to support Raila- as Kalonzo got 800,000 votes- which would have boosted Raila votes!
ODM took Kalonzo lightly and concentrated on Kibaki!

Kalonzo wa part of ODM political Mathematics, hakuna Mkamba ambaye anamchukia Kibaki ambaye angakubali kumpigia kura Odinga, kwa wa kamba ni heri Mkikuyu ambaye ndio yuko closer kwao kuliko mluo. Kwa hiyo Kalonzo factor ilisaidia sana kupunguza kura za Kibaki and that is why Raila won. They took him lightly because he did not have massive tribal support like Mwai has!
 
Mwafrika natambua tume iliundwa na JK kukusanya maoni ya wananchi lakini Zitto alikuwa advocate mkubwa wa hii jumuia na alitumia muda kuwashawishi watanzania waikubali hii jumuia . Mimi tatizo langu liko hapo tuu jee ni kitu kilimsukuma kuwashawishi watanzania umuhimu wa hii jumuia ?
 
I was always overly cautious about EAC. This settles it, kwanza kabisa hatutaki kitu chochote bila referendum na hata ikibidi nirudi Bongo kwa wiki moja kuja kupiga kura ya kukataa EAC nitarudi.

Wafaransa na Waholanzi wamewatoa nishai viongozi wao kuhusu ratifications za EU constituition changes ambazo hazikuwa nzuri kwao in 2005, watanzania mbona tunawaachia viongozi watuingize kwenye "muungano" mwingine with stealth? Tulikuwa tunaongea moja ya matatizo ya muungano na Zanzibar ni kwa sababu watu walikuwa hawajatoa a direct mandate, sasa naona tunarudia makosa yale yale ya muungano na Zanzibar katika EAC.
 
Hivi sio Odinga huyu aliyewakanusha upinzani bongo
pale maelezo kuwa yeye na chama chake wana mahusioan na CCM, maana wao sasa ni watwala sio wapinzani? Siku Kenya akigombea a new candidate nitaelewa lakini hawa kina Odinga, kibaki, Saitoti na the rest, hata siku moja hakuna lolote jipya!

Hakuna haja ya ushahidi, waliyasema. Waliwatoa nje wenzao! FMES ana point. Ingawa Odinga amedhulumiwa, ni wale wale.
 
KANU in disguise siyo?

Si kama Mwai Kibaki aka Moi Kabaki aka Mwai Kibaka.

The guy used to be Moi's VP, and then you seriously think anything will change by replacing Moi with Kibaki?

The thought was Raila is from a different generation, but at 62 he is tiring too.
 
Politics za dunia ya tatu hazina formula. Mwai won, there is no way around to overturn the results. Na hasa baada ya US kumtambua then it is over.
 
Ishu Hapa Sio Kuapishwa Saa Ngapi... Ishu Ni 'kutawala Kwa Mchezo Mchafu' Katika Chaguzi Za Afrika. Kwani Hata Angeapishwa Saa Nane Mchana Kusingekuwa Na Tofauti Yoyote....
 
Politics za dunia ya tatu hazina formula. Mwai won, there is no way around to overturn the results. Na hasa baada ya US kumtambua then it is over.

Mwizi anamtambua mwizi! Kipi kigeni?

Another nail on the African psyche.
 
Kwa taharifa nilizosikia ni kwamba Raila amekamatwa tangia jana hajulikani haliko.

Mwenye taharifa kamili au ambaye yuko nairobi tunaomba taharifa tafadhali.

Hizi ni kwa njia ya simu.
 
ECK inaonekana wazi ilikuwa under the influence of PNU - Kibaki!
Na km mliangalia alivyoapishwa kwa kweli u'd have realised how corrupt these peopple were!!!
I cant imagine kibaki saying "The results show how Kenya have advanced in Democracy"!!! - Kibaki is a hypocrite!!
ODM had won the election, mi bado nampa sapoti Raila and his Team for the achievement so far!!!!!!!
MUNGU IBARIKI AFRIKA!
 
Kibaki aanza udictetor sasa maana anaibia mtu kula halafu anamuweka ndani.

Mimi nilifikiri hii ni dunia iliyobadika lakini naona hakuna mabadiliko kwa hawa wazee wa zamani
 
Mna hakika gani kama Kalonzo kapata hizo? hizo ndio rigging zenyewe? alichohitajia Raila kura ziwesabiwe UPYA ..mbona wamekataa? CCM walifanya hili Znz na Bara ktk uchaguzi wa DSM...
Wanachofanya hapo ni simple maths..kukupunguzia na kumwogezea mpinzani dhaifu...
We dont have to time ya Ku-analyze ikiwa Uchaguzi hakuwa Fair...

Sintashangaa kumuona mnafiki Kalonzo akiwa Vice president au kurejeshewa ule Uwaziri wake wa Foreign.

Naikumbuka kauli ya mzee Makweta siku moja akiwa bungeni "What a shame way of Dying" Kama kuna mtu alimsikia siku ile alipoitamka kauli hiyo uataona uzito wa aibu aliyotupa huyu mzee Kibaki
 
Kibaki aanza udictetor sasa maana anaibia mtu kula halafu anamuweka ndani.

Mimi nilifikiri hii ni dunia iliyobadika lakini naona hakuna mabadiliko kwa hawa wazee wa zamani

Matatizo mengi tuliyo nayo yamesababishwa na hawa viongozi wa rika ya Kibaki,napata shida sana kuona kuwa wale waliokuwa fronline ktk harakati za uhuru ndio wamekuwa chanzo cha matatizo yetu,sasa nakubaliana na wale walionza kugombana mara baada ya uhuru wa nchi zao maana ndio pekee ambazo sasa Afrika zinafanya vizuri sana kwani wao waliweza kuonyeshana njia mapema mwanzoni mwa uhuru.

Ni heri ya zama hizi za akina JK kwani hawa wamezaliwa na kukuwa ktk siasa ambazo kidogo dunia ilianza kuchangamana.

Sasa naanza kuona kuwa wale wazee walioanza kutofautiana na Nyerer hapa kwetu mapema 60 ndio wajenzi halisi wa Demokrasia na Alhaj Mwinyi alifanana nao sana.

Kuiba umeiba sasa inakuwaje tena unamtia kifungoni Raila,Kibaki this is more than unfair kwa wanadamu.
 
Nimemtaja Mh. Zitto kwa sababu alikuwa mjumbe wa tume ya shirikisho na alikuwa mstari wa mbele kutetea hili shirikisho akidai ni kwa manufaa ya taifa. Sijui kama aliangalia suala la ukabila na Geo-politics katika Kenya na impact yake kwa Tanzania .
Matatizo ya Kenya ni makubwa sana na situation is not getting better ...Sasa Zitto alipokuwa akiutetea hili shirikisho ninapata shida kuelewa ni nini haswa kilichokuwa kikimpush , jee ni interest za taifa au ni interest zake binafsi...
Mkuu tumechoka tusiwaseme tuu wakina JK ambao wako mbali , tuanze na wajumbe humu humu ndani kumbuka our motto tunamkoma nyani giladi.

Mkuu Rufiji,

Heshima mbele kwa ufafanuzi wako, ila shirikisho na hawa watu sina uhakika kama ni worthy?
 
Hizi habari kuwa Kibaki keshamsweka Raila ndani ni za kweli?
 
Western media hawawezi kupiga kelele kwa sababu interest zao zinakuwa protected na huyu mwizi aliyejiapisha wakati hawajui Raila ataleta nini? Vile vile wanafahamu Raila akishinda tu Afrika yote itabadilika ndiyo unafiki wa BBC, CNN, SKY News na mashirika yote ya mgharibi.

Kwa idadi ya waliokufa huyu mwizi asikubaliwe kuongoza Kenya. Hadi sasa ni serikali ipi iliyoitambua hii serikali bandia?

Ngoja Wakenya waanze kuua wazungu ndio utaona nini maana ya top story kwa wazungu.
 
Where are the African presidents? AU hili sio swala la Kenya peke yake hivi sasa. Mbona wako kimya badala ya kutoa hukumu yao hivi sasa wakati raia wasio na hatia wanateketea.

JK, M7, Mbeki etc. Where are you? Stand up to be counted.
 
Back
Top Bottom