Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,883
- 948
Mzee ES,
Nimemtaja Mh. Zitto kwa sababu alikuwa mjumbe wa tume ya shirikisho na alikuwa mstari wa mbele kutetea hili shirikisho akidai ni kwa manufaa ya taifa. Sijui kama aliangalia suala la ukabila na Geo-politics katika Kenya na impact yake kwa Tanzania .
Matatizo ya Kenya ni makubwa sana na situation is not getting better ...Sasa Zitto alipokuwa akiutetea hili shirikisho ninapata shida kuelewa ni nini haswa kilichokuwa kikimpush , jee ni interest za taifa au ni interest zake binafsi...
Mkuu tumechoka tusiwaseme tuu wakina JK ambao wako mbali , tuanze na wajumbe humu humu ndani kumbuka our motto tunamkoma nyani giladi.