Kibaki amerudi Ikulu

Kibaki amerudi Ikulu

Quote:-

"Sidhani kama kuna mtanzania anayefurahia kuona mambo yanayotokea Kenya."

Jawabu ni hapana, lakini life has to go on, wa-Tanzania tuliwa-support Biafra, baadaye tukajirudi na kuwa friends na Federal government of Nigeria, ndio maana ya siasa na kuganga yajayo badala ya kulalia yaliyopita, Kibaki, ameshaapishwa kuwa the next president wa Kenya for the next Five years, leo nilikuwa ninaaangalia TVT jinsi viongozi wetu wa upinzani walivyojitokeza kukosoa uchaguzi huo, lakini mwishoni wote wamekubali kuwa baada ya kuapishwa kwa Kibaki, haitakuwa rahisi kubatili matokeo, na wamewaomba wananchi wa Kenya kuweka taifa lao mbele zaidi ya special interest zao, je ina maana hawa nao wanam-support Kibaki? Jawabu ni hapana isipokuwa kama politicians wanaelewa kuwa rais aliyekwisha apishwa labda kuna uwezekano wa 25% kuwa anaweza kubadilishwa,

FMES,

Msimamo wangu juu ya hili ni kwamba lazima Wakenya watumie nguvu kumwondoa Kibaki hata kama kuna watu watakufa. Hii dhana ya kwamba Mluo hawezi kuwa rais ikiachiwa ipite basi mauaji kama tunayoyaona sasa kuna siku tena yatatokea Kenya, hata kama ni miaka 20 ijayo, maana kuna Mluo mwingine atakuja kuchaguliwa kuwa rais na wataiba tena.

Kikubwa kwa Afrika ni kwamba ifike mahali turudishe haki zetu hata kama baadhi ya watu watakufa na hii itakuwa fundisho kwa wale wanaoiba haki za watu. Kama Romania walivyomnyonga rais wao, viongozi wa nchi zingine zote
Eastern Europe wakaona bora kuachia madaraka. Wakenya wakimwondoa Kibaki, viongozi wengi wa Afrika watafikiria mara mbili kabla ya kuamua kuiba kura.

Huwezi kutibu cancer kwa kuondoa makali hapa na pale, inabidi tuumeze mwarobaini mkali kwa ajili ya kuwaondoa hawa mafisadi.

Mimi kwenye hili kweli limeniudhi na japo ni mpenda amani sana lakini
siko tayari kuibiwa haki yangu. Mabara yote yanabadilika, sisi tunaendelea kuwa wajinga, kuwa maskini, shauri ya magenge ya watu wachache sana ambao pamoja na kupewa maslahi makubwa mno, bado wanaona lazima waendelee kuiba.
 
Field Mashall Es,
Nimekusikia mku wangu na nadhani najumuika nawe ktk hili kwani haki haiwezi patikana pale mfumo mzima unapokuwa hauna haki. Na kama Watanzania wenzangu mtakumbuka wakati wengi wenu mkishangilia ushindi wa awali wa Raila nilisema hapa kuwa subirini maajabu ya Firaun kwani kipande cha uchaguzi kilichobakia ni sehemu ambayo itazua Utata - Wakikuyu ni wengi sana ktk majimbo hayo...Panga pangua ushindi wa Raila ulikuwa matatani...

Kwa hiyo tulojifunza sisi kwanza ni kutokuwepo na tabaka za kimakabila, udini na kadhalika ni mwanzo mzuri wa kuiafuta demokrasia ya kweli, hatuwezi kusimama hapa na kutetea yote yaliajiri Kenya ati tuchague upande wakati nikitazama kura za Popular zimepigwa kutokana na kabila la mgombea, na haikutokea hivyo ktk uchaguzi wa wabunge wengine. Tazama tofauti zilizopo kati ya Presidential race scale na ile ya Parlimentary... yaani haiwezi kuingia akilini kabisa. Inaonyesha wazi kabisa kuwa Vyama vya kisiasa Kenya vimekuwa havisimami kwa makabila yao isipokuwa rais (nguvu ya dola) ni kabila la mgombea na hata muungano wao umekuja vunjika kutokana n makabila kwani kila kiongozi aliyepata nafasi ya kuiba alitegemea kuijenga sehemu yake ktk wakati mfupi wa muungano huo ili kujijengea mwavuli wa uchaguzi huu...
Matatizo mengi ya uwajibikaji wa viongozi Kenya umetokana na upendeleo wa kimakabila. kwa hiyo kuingia kwa uchaguzi huu na , na mfumo wake tayari ulikwisha batilisha demokrasia ya kweli na matokeo kama haya yalitegemewa na baadhi wachache ambao waliweza kuliona hili mapema.
Mimi nilipoona tu kuwa kila mgombea kashinda vibaya vibaya ktk sehemu za makabila yake ba viongozi wagombea wote walikuwa wamejitenga kwa makabila yao basi nilijua kuna hali ngumu kwa Raila hata kama wapo Wakikuyu wanaompa support ama kuutazama uchaguzi huo kwa sera na malengo ya chama badala ya MTU na kabila lake kuwa kigezo cha uchaguzi mzima.
Tanzania tunaelekea huko pamoja na kwamba bado mikakati hii ya kampeni haijafikia huko isipokuwa tayari Udini umeisha pewa nafasi kuongelewa kama vile ni jambo zuri na lenye UWAZI hali ktk maongezi yote kila mtu Hu Pick a side badala ya kutazam haki kwanza. Once you pick a side kutokana na imani yako, tayari utakuwa umeisha zua Adui kifikra. Ubaguzi wa kikabila, dini ama rangi ya ngozi siku zote hautazami nje ya rangi zetu wenyewe. Yawezekana wengi ya waliopiga kura Kenya hawana kabisa sababu za kiutendaji kazi zinazompa Raila au Kibaki sifa ya UONGOZI BORA isipokuwa Kabila lake...kama tulivyomchagua JK kwa sura na Ujana wake....
Kwa hiyo, binafsi siwezi simama hapa na kusema Raila ndiye aliyetakiwa kuwa kiongozi kutokana na ushindi alostahili ktk mfumo batili unaotazama kabila la mtu hivyo kutafsirika kama kigezo ama CV ya mgombea halali ktk Popular vote.
Nadhani nao watakuwa wamejifunza zaidi toka ktk mfumo huu wa uchaguzi na sidhani kama ni ujanja ama ustaarabu kwa kiongozi wetu kujiingiza ktk vagi hili tunafahamu kuwa Ukabila ndio umetumika ktk uchaguzi wa Kenya mwaka huu. Nasi tulichojifunza ni kutokomeza kabisa haya magugu ya unazi wa chama ama dini ambayo yameanza kujitokeza ktk siasa, taasisi na mashirika.

Kheri ya mwaka mpya ndugu na jamaa wote.. nakutakieni nguvu na uzima ili mwaka huu tupate kujenga zaidi mapinduzi ya kifikra.
 
Ita lolote lakini mimi nalinganisha yaliyotokea zanzibar dhidi ya wapemba mwaka 95 - 2005 na yale yanayotokea leo dhidi ya waluo na kabila zingine huko kenya.
Yaliyotokea mwaka 2000 ni mavuno ambayo Maalm Seif aliyopanda kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka 1995, ambayo yanajulikana wazi kwa wataalamu wa siasa.
 
Field Mashall Es,
Nimekusikia mku wangu na nadhani najumuika nawe ktk hili kwani haki haiwezi patikana pale mfumo mzima unapokuwa hauna haki. Na kama Watanzania wenzangu mtakumbuka wakati wengi wenu mkishangilia ushindi wa awali wa Raila nilisema hapa kuwa subirini maajabu ya Firaun kwani kipande cha uchaguzi kilichobakia ni sehemu ambayo itazua Utata - Wakikuyu ni wengi sana ktk majimbo hayo...Panga pangua ushindi wa Raila ulikuwa matatani...

Kwa hiyo tulojifunza kwanza ni kutokuwepo na tabaka za kimakaila udini na kadhalika ni mwanzo mzuri wa kuiafuta demokrasia ya kweli, hatuwezi kusimamm hapa na kutetea yote yaliajiri Kenya wakati nikitazama kura zimepigwa kutokana na makabila ya watu. Vyma vya kisiasa Kenya vimekuwa vikisimamia makabila yao, hata muungano wao umekuja vunjika kutokana n makabila kwani kila kiongozi aliyepata nafasi ya kuiba alitegemea kuijenga sehemu yake ktk wakati mfupi wa muungano huo ili kujijengea mwavuli wa uchaguzi huu...
Matatizo mengi ya uwajibikaji wa viongozi Kenya umetokana na upendeleo wa kimakabila. kwa hiyo kuingia kwa uchaguzi huu na , na mfumo wake tayari ulikwisha batilisha demokrasia ya kweli na matokeo kama haya yalitegemewa na baadhi wachache ambao waliweza kuliona hili mapema.
Mimi nilipoona tu kuwa kila mgombea kashinda vibaya vibaya ktk sehemu za makabila yake ba viongozi wagombea wote walikuwa wamejitenga kwa makabila yao basi nilijua kuna hali ngumu kwa Raila hata kama wapo Wakikuyu wanaompa support ama kuutazama uchaguzi huo kwa kutazama era na malengo ya chama badala ya MTU na kabila lake kuwa kigezo cha uchaguzi mzima.
Tanzania tunaelekea pamoja na kwamba bado mikakati hii ya kampeni haijafikia huko isipokuwa tayari Udini umeisha pewa nafasi kuongelewa kama vile ni jambo zuri na lenye UWAZI hali ktk maongezi yote kila mtu Hu Pick a side badala ya kutazam haki kwanza. Once you pick a side kutokana na imani yako, tayari utakuwa umeisha zua Adui kifikra. Ubaguzi wa kikabila, dini ama rangi ya ngozi siku zote hautazami nje ya rangi zetu wenyewe. Yawezekana wengi ya waliopiga kura Kenya hawana kabisa sababu za kiutendaji kazi zinazompa Raila au Kibaki sifa ya UONGOZI BORA isipokuwa Kabila lake...kama tulivyomchagua JK kwa sura na Ujana wake....
Kwa hiyo, binafsi siwezi simama hapa na kusema Raila ndiye aliyetakiwa kuwa kiongozi kutokana na ushindi alostahili ktk mfumo batili unaotazama kabila la mtu hivyo kutafsirika kama kigezo ama CV ya mgombea halali ktk Popular vote.
Nadhani nao watakuwa wamejifunza zaidi toka ktk mfumo huu wa uchaguzi na sidhani kama ni ujanja ama ustaarabu kwa kiongozi wetu kujiingiza ktk vagi hili tunafahamu kuwa Ukabila ndio umetumika ktk uchaguzi wa Kenya mwaka huu. Nasi tulichojifunza ni kutokomeza kabisa haya magugu ya unazi wa chama ama dini ambayo yameanza kujitokeza ktk siasa, taasisi na mashirika.

Nakubaliana na wewe katika yote uliyosema ila nakukumbusha kuwa Raila amepata kura 1.3 million toka kwa kabila ya wakalenjin ambao hawana uhusiano wowote na wajaluo na ni kabila ya Moi.

Western media sasa hivi inataka kuonyesha kuwa kinachotokea ni kati ya wakikuyu na wajaluo. Hii si kweli, Raila amepata kura milioni moja tu za wajaluo na zingine zote ni kutoka kwa makabila mengine.

Mimi sina sababu ya kuamua hatima ya kenya ila nimevutiwa sana na nguvu ya ushawishi ya Raila kwa namna alivyoweza kuunganisha makabila makubwa kenya kama kalenjin, waluhya, wajaluo, namengine madogo madogo kuweza kumpigia kura yeye.

Fuatilia uchaguzi wa kenya uone kuwa hili lilikuwa halijawi kutokea kuanzia uchaguzi wa 1992. Anachofanya Kibaki na wahuni wenzake sasa hivi ni kutaka kuvunja hii movement ili kenya irudi kule kule ilikokuwa kwa kila mtu kuendeleza ukabila wake.

Raila anaweza asiwe Rais, lakini mimi nampongeza na kumuunga mkono kwa namna alivyounganisha makabila mengi sana ya kenya for the first time in history.
 
FMES,

Msimamo wangu juu ya hili ni kwamba lazima Wakenya watumie nguvu kumwondoa Kibaki hata kama kuna watu watakufa. Hii dhana ya kwamba Mluo hawezi kuwa rais ikiachiwa ipite basi mauaji kama tunayoyaona sasa kuna siku tena yatatokea Kenya, hata kama ni miaka 20 ijayo, maana kuna Mluo mwingine atakuja kuchaguliwa kuwa rais na wataiba tena.

Kikubwa kwa Afrika ni kwamba ifike mahali turudishe haki zetu hata kama baadhi ya watu watakufa na hii itakuwa fundisho kwa wale wanaoiba haki za watu. Kama Romania walivyomnyonga rais wao, viongozi wa nchi zingine zote
Eastern Europe wakaona bora kuachia madaraka. Wakenya wakimwondoa Kibaki, viongozi wengi wa Afrika watafikiria mara mbili kabla ya kuamua kuiba kura.

Huwezi kutibu cancer kwa kuondoa makali hapa na pale, inabidi tuumeze mwarobaini mkali kwa ajili ya kuwaondoa hawa mafisadi.

Mimi kwenye hili kweli limeniudhi na japo ni mpenda amani sana lakini
siko tayari kuibiwa haki yangu. Mabara yote yanabadilika, sisi tunaendelea kuwa wajinga, kuwa maskini, shauri ya magenge ya watu wachache sana ambao pamoja na kupewa maslahi makubwa mno, bado wanaona lazima waendelee kuiba.

Inaumiza sana Mtanzania ila huu ndio ukweli.

Muulize kichuguu atashuhudia hili kuwa hata lugha katika jamvi la wakenya la mashada imebadilika sana baada ya kinachoendelea.

Siku za mwanzo wakikuyu walikuwa wanatoa maneno ya kejeli sana dhidi ya wenzao hata kufikia hatua ya kuban members ambao sio wakikuyu. Wakenya wote wameamka na sasa hivi wale walikuwa wanatoa kejeli wameanza kuomba Kibaki aondoke.

Soma gazeti la Nation na angalia TV ya KTN ambayo ilikuwa imeanza kumwaga propaganda dhidi ya Raila uone kuwa hata editoria imebadilika na jamaa wamegundua kuwa ubinafsi wa Kibaki unatumbukiza taifa lao katika historia.

Kama wakenya wangenyamaza tu na kusema kuwa mbona nyerere alimtembelea Mobutu basi leo kibaki angekuwa nairobi anapanga namna ya kuiba uchaguzi wa 2012 ili wakikuyu waendelee kutawala milele.
 
Mwafrika,
Kwanza tukikubaliana kuwa wagombea urais walikuwa ktk makabila itarahisisha kuelewa kwetu swala hili... na wagombea wenyewe ni Watatu muhimu zaidi. Tazama scale ya uchaguzi utaona kuwa Nyanza na Rift valley wamemchagua zaidi Raila kwa sababu ndiko Wajaluo na allies wake walikojijenga zaidi. na pengine mwenzangu umetazama ramani kutoa hitimisho kuwa ni walajuo 1 millioni tu waliompigia kura Raila hali hukutazama population ya wajaluo Kenya ama kutazama nje ya mipaka ya kanda ya Nyanza.. Wajaluo wamesambaa kila sehemu siku hizi kisha pia hukutazama allies wa Mjaluo ni nani..wajaluo wamejaa Mombasa huwezi amini.
Kibaki kisha kipaka kwa kabila la Moi ni adui yao mkubwa kwa hiyo the next option ni mpinzani wake ambaye ataweza kushinda.
Ni vigumu sana kwa Mnyamwezi kumpa kura Mchagga ikiwa kuna mgombea msukuma ktk mfumo wa Ukabia (mahala ambapo kuna Ukabila) na vile vile Mpare kumpa Msukuma ikiwa kuna Mchagga. Yaani ni muhimu sana tuelewe jinsi hizi fikra za ubaguzi zinavyo operate kwanza kwani kama kuna udini basi mimi Muislaam nitamchagua muislaam ama dhehebu jingine lakini sio Mkristu na mkristu vile vile atafikiria ki vyake.
Binafsi siwezi kumpongeza Raila kwa hilo ikiwa uchaguzi wote wa rais umetembea kufuata kabila la mgombea sawa sawa na ikiwa tanzania kesho tuanze Udini kisha mtu mmoja aweze kuyaunganisha madhehebu fulani nyuma yake against dini fulani kama mbinu ya kutafuta ushindi....
Kifupi Mwafrika mimi nipo against the all system ya Kenya ktk Popular vote ya kumchagua rais, hii ndio mbegu waliyopandikiza kujenga ADUI na matokeo yote haya yametokana na mfumo huo kiasi kwamba sisi pia tumevutwa na matokeo zaidi ya kuutazama mfumo mzima wa Kenya ktk uchaguzi wa rais.
 
Mkandara,
Hayo yote unayosema ni kweli. Lakini kuna fact moja ambayo imenifanya kumpendelea Raila zaidi. Ameweza kujenga coalition nzuri tu ya makabila mbalimbali, ukitizama maeneo aliyopata kura. Hata Wakalenjin ambao Moi alidhani amewashikilia walimpa Raila kura zao kwa wingi, hence watoto wote wa Moi kukataliwa huko makwao. Ukambani,Uhluyani, kote Raila alipata majority votes. Kumbuka kuwa zilikuwa ni juhudi za Raila katika uchaguzi wa 2002 zilizomwezesha Kibaki kushinda, na kama Yuda akawasaliti wenzake katika Narc, kwa kuwa kiziwi katika suala la katiba na kukiuka makubaliano yake na Raila ya kuunda cheo cha waziri mkuu. Ukienda uswahilini Mombasa ndio kabisaa, Kibaki hakuambulia kitu. Lakini tulijua kuwa "system" isingekubali mapinduzi haya, kwa sababu kwa kweli ushindi wa Raila Kenya ni mapinduzi halisi. Hata kuna rafiki yangu mmoja kanielieza kuwa mwanzoni mwa December alizungumza na afisa mmoja wa ngazi ya juu katika Intelligence ya Kenya akisema kuwa hawatakubali Raila ashinde, na in fact tayari wanao mpango wa kum-assassinate. Figure that!
 
Katika uchaguzi huu Kibaki ameiba kura ili kubaki/kubaka ikulu.

Setup ya ukabila hii ni blah...blah-mazungumzo baada ya habari.

Natumaini wakenya watasimama kidete kudai haki yao iliyoporwa.
 
Mwafrika,
Kwanza tukikubaliana kuwa wagombea urais walikuwa ktk makabila itarahisisha kuelewa kwetu swala hili... na wagombea wenyewe ni Watatu muhimu zaidi.

Mkandara katika hili tunakubaliana, kuna makabila kenya na hivyo basi yeyote ambaye angechaguliwa angekuwa anawakilisha kabila fulani.

Tazama scale ya uchaguzi utaona kuwa Nyanza na Rift valley wamemchagua zaidi Raila kwa sababu ndiko Wajaluo na allies wake walikojijenga zaidi. na pengine mwenzangu umetazama ramani kutoa hitimisho kuwa ni walajuo 1 millioni tu waliompigia kura Raila hali hukutazama population ya wajaluo Kenya ama kutazama nje ya mipaka ya kanda ya Nyanza.. Wajaluo wamesambaa kila sehemu siku hizi kisha pia hukutazama allies wa Mjaluo ni nani..wajaluo wamejaa Mombasa huwezi amini.

katika hili nitahitaji Kenyan-Tanzanian aje kuthibitisha hili ingawa nina uhakika na hili kutokana na kuishi kenya kwa muda wa kutosha kwa shughuli zangu. Wakenya kwa asilimia kubwa wanaishi katika mikoa yao. Kabila ambalo linaonekana kuenea katika mikoa mingine zaidi ni wakikuyu maana wao ni wengi na central province ni ndogo.

kwa taarifa yako, kuna wakikuyu wengi tu Eldoret, Nakuru, Naivasha, Kericho, Nairobi nk ambako kwa asili ni miji ya wakalenjin na wamasai(nairobi).

Kalenjin hawajawi kuwa allies wa wajaluo kwa miaka mingi sana maana hata moi na genge lake amekuwa anatukana wajaluo kuwa hawajatahiri. Raila tu ndio alifanikiwa kuunganisha wakalenjin na wakamuasi moi ili kupingana na umafia wa wakikuyu wachache.

Kibaki kisha kipaka kwa kabila la Moi ni adui yao mkubwa kwa hiyo the next option ni mpinzani wake ambaye ataweza kushinda. Ni vigumu sana kwa Mnyamwezi kumpa kura Mchagga ikiwa kuna mgombea msukuma ktk mfumo wa Ukabia (mahala ambapo kuna Ukabila) na vile vile Mpare kumpa Msukuma ikiwa kuna Mchagga. Yaani ni muhimu sana tuelewe jinsi hizi fikra za ubaguzi zinavyo operate kwanza kwani kama kuna udini basi mimi Muislaam nitamchagua muislaam ama dhehebu jingine lakini sio Mkristu na mkristu vile vile atafikiria ki vyake.

Ni kweli kuwa kabila ya moi (kalenjin) na wakikuyu wamekuwa na kutoaminiana kwa muda mrefu. Lakini kumbuka kuwa Kenyatta alimpa Moi nchi kwa masharti ya kuacha dominance ya kikuyu iendelee na Moi alifanya hivyo. Alichofanya moi 2002 ni kurudisha chama cha KANU kwa wakikuyu kwa mategemeo kuwa mtoto wa kenyatta akishinda atawalinda wakalenji, uchaguzi ulivyoonekana kuwa mgumu alifanya makubaliano na Kibaki kuwa jeshi litaheshimu urais wake ila pia Kibaki amlinde Moi na familia yake. Kumbuka kuwa kalenjin wana influence jeshini na kuna kiwanda cha kutengeneza silaha eldoret ambako ni makao makuu ya kalenjins.

Binafsi siwezi kumpongeza Raila kwa hilo ikiwa uchaguzi wote wa rais umetembea kufuata kabila la mgombea sawa sawa na ikiwa tanzania kesho tuanze Udini kisha mtu mmoja aweze kuyaunganisha madhehebu fulani nyuma yake against dini fulani kama mbinu ya kutafuta ushindi....

Haya ni maoni yako na mimi siwezi kukulazimisha kumpongeza Raila maana wewe una uhuru wa kuamua utakacho. Nimekukumbusha kuwa data zote zinaonyesha kuwa kura ya wajaluo kwa Raila ni kama million moja na ushehe na zingine zote ni kutoka kwa makabila makubwa mawili kalenjin na luhya, na mengine madogo zaidi ya 40

Kifupi Mwafrika mimi nipo against the all system ya Kenya ktk Popular vote ya kumchagua rais, hii ndio mbegu waliyopandikiza kujenga ADUI na matokeo yote haya yametokana na mfumo huo kiasi kwamba sisi pia tumevutwa na matokeo zaidi ya kuutazama mfumo mzima wa Kenya ktk uchaguzi wa rais.

Kwa hapa nakubaliana nawe na najifunza mengi katika insight yako hapa na mapendekezo ya nini kifanyike in the future.
 
Jasusi,
Duh, mkuu sikujua kama watoto wa Moi pia waligombea Urais huko makwao na kukataliwa.

Lakini nachoshindwa kuelewa ni pale sote tunapokubaliana na matokeo ya Wabunge ambao Kibaki na serikali yake wangeweza kabisa kuiba lakini tumeshuhudia vinginevyo na kitu kinachonishinda kuelewa ni vipi mtu apoteze viti vyote lakini hadi dakika ya mwisho awe ameshindwa kwa kura zisizofika hata 1.millioni..Nilitegemea watu wangesema Kibaki anaiba kura toka mwanzo, lakini baada ya kufahamu Popular vote inakwenda vipi niliacha swala la rais wazi na nje kiasi kwamba nilifikiria maajabu ya Firaun kutokea.

Yaani ukitazama ile Parliamentary vote inaonyesha wazi jinsi chama cha Raila kilivyoweza kujipanga vizuri ktk kutafuta wabunge wake kwanza kabla ya nafasi ya Rais, unless kuwepo na utata fulani lakini tunapokubali kuwa Kibaki aliweza kufukuzana na Raila toka mwanzo hapo ni swala jingine kabisa... yaani halilingani na uchaguzi wa wabunge kutokana na taratibu tofauti.
na ndio maana nakuombeni mlitazame hili la Popular vote peke yake kwani kama Parliamentary vote ndiyo ingekuwa kigezo cha kumchagua rais wangeepuka Ukabila na maswala mengine yote yaliyoajiri.

haafu ndugu yangu sisi waafrika tunatwaliwa tu, kweli wewe unafikiri kuwa kile cheo cha waziri mkuu kingeweza kuleta mabadiliko kwa Wakenya ama ilikuwa kwa maslahi ya Raila mwenyewe.
Na utakubaliana na mimi kuwa hata kama raila akija chukua Urais hawezi kukubali kuwepo na cheo cha waziri mkuu kwa masharti aliyoyataka yeye akiwa chini ya Kibaki kumfanya rais kuwa kama celemonial title.
Pamoja na yoye haya sijasema kuwa Kibaki hakuiba kura hata kidogo kaiba na namshutumu kwa hilo isipokuwa mbegu ya yote haya imetokana na system nzima ya upigaji kura za Popular vote ambako ndiko kuna tobo zinazotokana na Ukabila...
Sasa kama tutawatazama Raila na Kibaki tuuu bila kukubali kuwa Kenya kuna Ukabila na uchaguzi huu umetumia sana kigezo cha Ukabila nashindwa kuelewa hapo.
Tazama pia Kibaki kura nyingi kazipata nje ya kabila lake lakini hawezi kuepuka ukweli kuwa makabila hayo hayapendi kuongozwa na Mjaluo...na upande wa Raila wamesema huu ndio mwisho wa Mkikuyu kututawala baada ya kushindwa kumtumia vizuri Moi ambaye alikuwa kibaraka wa Wakikuyu badala hata ya kuwatajirisha kabila lake kwa mtazamo wao. Ukabila una many faces ndio somo langu.
 
Mkandara,
Ni kweli ukabila ni tatizo kubwa nchini Kenya. Moi aliutumilia sana ili kubaki mamlakani. Lakini ninachosema ni kwamba juhudi za ODM zilikuwa kama a breath of fresh air katika hili tatizo. Wakati Moi alihimiza watu wa makabila yasiyomuunga mkono wachomewe nyumba na kukatwa mapanga katika uchaguzi wa 1992, ODM wamejaribu kuunda a sustainable alliance ambayo kama wangefanikiwa/watafanikiwa ingesaidia sana kupunguza hisia za kikabila na ukabila. Njia bado ni ndefu lakini kwa uchaguzi wa mwaka huu Kenya ilikuwa imeanza kupiga hatua nzuri mbele. BTW watoto wa Moi waligombea ubunge katika maeneo mbalimbali Ukalenjini na wote watatu wakaangushwa na ODM.
 
Jasusi,
Bila shaka mkuu wangu ODM wamefanya kazi ya kiuhakika, na vyama vyetu vya Upinzani nadhani wanaweza kuona umuhimu wa kuunganisha watu wa mikoani na kupata viti vingi vya Bunge lakini hapo hapo kuona athari zinazoweza kutokea pindi Ukabila ama udini unapoingia hasa ktk kiti cha Rais. Ni muhimu sana nasi tuepuke hili swala la Popular vote kumchagua rais kwani JK anaweza kabisa kupoteza viti vyote lakini akabaki kuwa rais na kutumia nguvu ya dola kwa maslahi yake ama wale atakao taka kuwalinda. Kama rais kaweza kusema tumwache Mkapa apumzike na sheria imeshindwa kumfikisha mahakamani kwa hiyo Kibaki pia inawezekana kwa kutumia Popular vote vigogo wote waliokwisha iba mali ya Taifa wametumia nafasi hiyo kuhakikisha raila hakamati Urais...SYSTEM nzima ya kumchagua rais ni mbovu...huwezi ongoza nchi ya kiafrika na bunge lenye asilimia 80 wapinzani....
 
Jasusi,
Duh, mkuu sikujua kama watoto wa Moi pia waligombea Urais huko makwao na kukataliwa.

Lakini nachoshindwa kuelewa ni pale sote tunapokubaliana na matokeo ya Wabunge ambao Kibaki na serikali yake wangeweza kabisa kuiba lakini tumeshuhudia vinginevyo na kitu kinachonishinda kuelewa ni vipi mtu apoteze viti vyote lakini hadi dakika ya mwisho awe ameshindwa kwa kura zisizofika hata 1.millioni..Nilitegemea watu wangesema Kibaki anaiba kura toka mwanzo, lakini baada ya kufahamu Popular vote inakwenda vipi niliacha swala la rais wazi na nje kiasi kwamba nilifikiria maajabu ya Firaun kutokea.

Mkandara,

watoto wa moi na baba yao sasa hivi hawajulikani walipo baada ya kupigwa chini mbaya sana na kalenjin (kuna taarifa kuwa moi sassa hivi yuko german).

Kilichofanya Kibaki ashindwe kuiba kura ya ubunge ni kwa vile kura zinatangazwa huko jimboni na watu wanajua kabla hazijatumwa nairobi kwa hiyo ikawa vigumu kubadilishia matokeo nairobi.

Kura za urais zilikuwa zinatangazwa namba tofauti jimboni na watu wote wanatia sahihi lakini ikifika nairobi ECK wanasema number nyingine na hiki ndicho EU wamekilalamikia sana.

Yaani ukitazama ile Parliamentary vote inaonyesha wazi jinsi chama cha Raila kilivyoweza kujipanga vizuri ktk kutafuta wabunge wake kwanza kabla ya nafasi ya Rais, unless kuwepo na utata fulani lakini tunapokubali kuwa Kibaki aliweza kufukuzana na raila hapo ni swala jingine kabisa.
na ndio maana nakuombeni mlitazame hili la Popular vote peke yake kwani kama Parliamentary vote ndiyo ingekuwa kigezo cha kumchagua rais wangeepuka Ukabila na maswala mengine yote yaliyoajiri.

Hii popular vote sio tatizo kama election itakuwa fair. Hata kama utakuwa na electoral college au system tofauti bado mwizi akitaka kuiba ataiba tu.

Kilichofanyika kenya ni wizi wa kura mbele ya kila mtu na Raila ameonyesha wakenya kuwa wanaweza kuchagua kiongozi ambaye sio wa kabila lao.

haafu ndugu yangu sisi waafrika tunatwaliwa tu, kweli wewe unafikiri kuwa kile cheo cha waziri mkuu kingeweza kuleta mabadiliko kwa Wakenya ama ilikuwa kwa maslahi ya Raila mwenyewe.
Na utakubaliana na mimi kuwa hata kama raila akija chukua Urais hawezi kukubali kuwepo na cheo cha waziri mkuu kwa masharti aliyoyataka yeye akiwa chini ya Kibaki kumfanya rais kuwa kama celemonial title.

Ukifuatilia mapendekezo ya BOMA kwa ajili ya constitution change utaona kuwa Raila anakubaliana kabisa na powerful PM. Usimpake vibaya this guy. Raila anachotaka ni kupunguza nguvu ya influence ya wakikuyu ili wakenya waamue mambo yao - no wonder pia anasapoti majimbo ili kupunguza nguvu ya wakikuyu


Pamoja na yoye haya sijasema kuwa Kibaki hakuiba kura hata kidogo kaiba na namshutumu kwa hilo isipokuwa mbegu ya yote haya imetokana na system nzima ya upigaji kura za Popular vote ambako ndiko kuna tobo zinazotokana na Ukabila...
Sasa kama tutawatazama Raila na Kibaki tuuu bila kukubali kuwa Kenya kuna Ukabila na uchaguzi huu umetumia sana kigezo cha Ukabila nashindwa kuelewa hapo.

Hii inaweza kuwa kweli ila Raila amethibitisha kuwa makabila 41 na zaidi yanaweza kuungana na kupigia mtu mmoja. Hiki ndicho Kibaki na wenzake hawataki kuona kikitokea na wanataka kila kabila iendelee kupigia kabila yake maana kwa vile wakikuyu as kabila ni wengi basi watakuwa wanashinda (divide and Rule)

Tazama pia Kibaki kura nyingi kazipata nje ya kabila lake lakini hawezi kuepuka ukweli kuwa makabila hayo hayapendi kuongozwa na Mjaluo...na upande wa Raila wamesema huu ndio mwisho wa Mkikuyu kututawala baada ya kushindwa kumtumia vizuri Moi ambaye alikuwa kibaraka wa Wakikuyu badala hata ya kuwatajirisha kabila lake kwa mtazamo wao.

Ukabila umeanzwa kumalizwa taratibu na Raila kwa kuunganisha haya makabila ya Kenya. Ni jukumu la Kibaki sasa kuleta maamuzi ya wakenya yawe ndio sauti ya siku.

Ninakubaliana nawe kuwa bila kuachana na ukabila kenya itazidi kuwa na matatizo. Unachohitaji kitaanza tu kwa kibaki kuacha uchu wake wa kikabila na kuwaachia wakenya wa makabila yote kwa pamoja waamue hatima ya nchi yao.

The same thing iwe kwa wale wa unguuja ambao wameapa kuwa kamwe hawataweza kutawaliwa na wapemba.
 
Jasusi,
Bila shaka mkuu wangu ODM wamefanya kazi ya kiuhakika, na vyama vyetu vya Upinzani nadhani wanaweza kuona umuhimu wa kuunganisha watu wa mikoani na kupata viti vingi vya Bunge lakini hapo hapo kuona athari zinazoweza kutokea pindi Ukabila ama udini unapoingia hasa ktk kiti cha Rais. Ni muhimu sana nasi tuepuke hili swala la Popular vote kumchagua rais kwani JK anaweza kabisa kupoteza viti vyote lakini akabaki kuwa rais na kutumia nguvu ya dola kwa maslahi yake ama wale atakao taka kuwalinda. Kama rais kaweza kusema tumwache Mkapa apumzike na sheria imeshindwa kumfikisha mahakamani kwa hiyo Kibaki pia inawezekana kwa kutumia Popular vote vigogo wote waliokwisha iba mali ya Taifa wametumia nafasi hiyo kuhakikisha raila hakamati Urais...

Amina kwa hili.

very strong analysis.

Thanks!
 
unaona sasa wameanza kutumia "ethnic cleansing" na "genocide" na wanaanza kuhusisha hayo na Raila na Ruto badala ya kuangalia vitendo vyao wao wenyewe. NI rahisi kumlaumu mwingine kuliko kujichunguza wewe mwenyewe.
 
Mwafrika,
Hii popular vote sio tatizo kama election itakuwa fair. Hata kama utakuwa na electoral college au system tofauti bado mwizi akitaka kuiba ataiba tu.
hapana mkuu tazama hapo juu wewe mwenyewe umetuonyesha sababu ambazo zimemfanya Kibaki ashindwe kuiba vote za Parliamentary.. Kwa hiyo njia zipo na hiyo ya kutoa majibu toka huko mikoani ni mojawapo, pili rais atokane na ushindi wa wawakilishi wa vyama ktk majimbo yao. Ukimchagua mbunge moja kwa moja kura inakwenda kwa rais.
Kisha nakataa kuwa ni raila aliyeunganisha makabila ila ni ODM, tusifanye siasa za Bongo kuwa ndio siasa za Kenya wao kama chama wako mbali sana hali sisi tunaitazama Chadema ama CUF kwa rangi za viongozi wake.
 
Mwafrika,

hapana mkuu tazama hapo juu wewe mwenyewe umetuonyesha sababu ambazo zimemfanya Kibaki ashindwe kuiba vote za Parliamentary.. Kwa hiyo njia zipo na hiyo ya kutoa majibu toka huko mikoani ni mojawapo, pili rais atokane na ushindi wa wawakilishi wa vyama ktk majimbo yao. Ukimchagua mbunge moja kwa moja kura inakwenda kwa rais.

Katika hili tunakubaliana nawe na hata ukisikiliza na kusoma media ya Kenya karibu kila mtu anasema hili.

Unajua sheria ya kenya ya election imebadilika sana kuanzia mwaka 1992. Mwaka 1992, uchaguzi ukifanyika, kura zote zinasafirishwa magari hadi nairobi au somewhere ili kuhesabiwa.

Huko njiani kura za moi zinaweka na zikifika nairobi moi ndio ameshinda. 1997, wakaanza kutumia ndege lakini baada ya kufanya some concension kwenye kuhesabu vituoni kabla ya kupelekwa kwenye kituo kikubwa cha kila mkoa na bado mchezo ukawa ule ule.

Mwaka 2002, hii sheria ya kusafirisha maboksi ikapigwa marufuku na upinzani wakashinda sana. Mwaka huu bado hakuna kusafirisha mabox ila matokeo ya kura yanasomwa rasmi nairobi na hii imethibitisha kuwa bado kuna wizi.

Naungana na ushauri wa mwanakijiji na kichuguu kuwa matokeo yatangazwe vituoni kwa television ili kila mtu aone kabla ya kutumwa nairobi kutangazwa rasmi na tume.
 
kenya media imefungwa sasa hivi na wamefunga hadi jamvi maarufu kwa wakenya la mashada.

kuna mpango wa kufuta thread zote na kuanza kila kitu upya na kusajili upya members.

Talk about another North Korea emerging in Afrika.

Shame on you Kibaki, Michuki, Karua, Mutua and the gangS

Shame Shame Shame for puting another bad story about africa on the western media
 
I acted under a pressure, says Kivuitu

Published on January 2, 2008, 12:00 am


By Isaac Ongiri

On Tuesday night, Mr Samuel Kivuitu made a damning admission that he announced results of the fiercely contested presidential election under pressure.

The announcement plunged the country into a post-election violence of a scale never witnessed before.

The magnitude of the Electoral Commission chairman’s admission and the further dent on the credibility of the election was captured in his answer when asked if indeed President Kibaki won the elections: "I do not know whether Kibaki won the election".

Kivuitu continued with his stunning revelations when he said he took the presidential election winner’s certificate to State House, Nairobi, after "some people threatened to collect it while I’m the one mandated by law to do so".

"I arrived at State House to take the certificate and I found the Chief Justice there, ready to swear-in Kibaki," Kivuitu said.

On claims that he was under undue pressure to declare results, Kivuitu said: "Some PNU (Party of National Unity) and ODM-Kenya leaders put me under pressure by calling me frequently, asking me to announce the results immediately".

President Kibaki ran for re-election on a Party of National Unity ticket, while Mr Kalonzo Musyoka, made his bid on an ODM-Kenya ticket. Mr Raila Odinga, who has said he was robbed of victory, ran on an Orange Democratic Movement (ODM) ticket.

On Tuesday, Kivuitu said the alleged pressure to declare results came in the wake of parallel pressure from a number of ambassadors from the European Union countries and Mr Maina Kiai of the Kenya National Commission on Human Rights not to announce the results until complaints, which arose, were addressed.

"I had thought of resigning, but thought against it because I don’t want people to say I’m a coward," he said. The embattled ECK chairman made the revelations shortly after meeting with 22 ECK commissioners.

On Tuesday, Kivuitu conceded that matters that arose from the poll results were so urgent that they should be taken to court, and the ruling done with minimum delay to ease national tension.

Court settlement

"If this matter is finally taken to court, the ruling should be made urgently so that if it were decided that Raila is the President, so be it. If it is Kibaki, so be it," he added.

Kivuitu said he made the decision, whose far-reaching implications are now being felt across the country. He said he announced the results because the commission had no legal mandate to investigate complaints raised by the opposition immediately.

Kivuitu fell short of naming the individuals from the two parties — PNU and ODM-Kenya — who coerced him to announce the disputed poll outcome, but went on to announce that the commission was consulting eminent lawyers over the next course of action "so that its actions remain within the law".

The EU observer team has discredited the poll results and urged for an independent audit.

On his part, Kivuitu said he backed independent investigation into what may have happened, but added that this would be only if the law would provide for it.

"We are culprits as a commission. We have to leave it to an independent group to investigate what actually went wrong," the chairman said, stunning local and international journalists, who had gathered at his Nairobi residence.

It has also emerged that some countries concerned with the poll outcome, like South Africa, had sent in their electoral officials to the country.

Kivuitu said the officials would be arriving on Wednesday "to look into the matter".

On Tuesday, Kivuitu was in a meeting with his 22 commissioners, which his deputy, Mr Kihara Muttu, described as "a house-keeping meeting".

In a signed statement, the 22 commissioners condemned the violence, which up to last night had claimed the lives of about 300 people.
 
Akihutubia baada ya kuapishwa, "Rais" Mwai Kibaki alishukuru wananchi wa Kenya kwa kumpatia nafasi ya pili kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Pia alitangaza siku ya leo kuwa ya mapumziko kutokana na kazi kubwa waliyoifanya.

Aliwataka Wakenya kusahau malumbano ya siasa yaliyowagawa wakati wa kampeni mpaka wakati wa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi na kuungana na kuwa kitu kimoja kwa maslahi ya Taifa lao.

Aliwataka viongozi wa siasa wakiwemo wagombea walioshindwa kuungana na kushughulikia maslahi ya Taifa ikiwemo Katiba mpya ya Kenya.

Alisema uchaguzi huo umeipa Kenya heshima duniani kwa kuipa nafasi ya juu ya kidemokrasia na kuonesha kuwa nchi hiyo imekomaa kisiasa.

Aliwataka Wakenya kuanza kushirikiana na kuweka umoja na undugu mbele kama dada na kaka wa nchi moja na kuwataka kuacha kudharauliana.

Alisema Serikali mpya ya PNU, itashirikiana na vyama vya upinzani na vyama rafiki ili kuendelea na shughuli za maendeleo, haki na kuhudumia Wakenya wote bila upendeleo.

Rais alisema maneno hayo: kukomaa kwa demokrasia na wakikuyu kuacha kuwadharau waluo. Naona kabisa alikuwa ana ile sense of guilt kuwa kutokana na yeye mkikuyu kumdharau Odinga mluo, aliamua kubomoa demokrasia ili aendelee kutawala kwa kipindi kingine bila ridhaa ya wananchi.
 
Back
Top Bottom