Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwa hadhi yake wasingeshindwa kujenga kwa nguzo na kuezekwa kwa vigae .lakini hili si kama jiko la kijijini?Wangeacha wazi kuna haters wanaweza ingia humo wakakojolea kaburi.
Ni bora wasingeweka hayo mabati.Hata hicho mbona wamemsaidia
Labda kuna ujenzi unaendelea kwa nje, mpiga picha alitakiwa kupiga picha kwa nje piaNi bora wasingeweka hayo mabati.
Ujenzi unaendeleaje nje ya kibanda?Ujenzi unaendelea bwashee!
Hapa ni kama unabahatisha tuu. Tuombe iwe kweliKwa uelewa wangu wa ujenzi ni kama kuna ujenzi unaendelea kwa nje na hizo bati zimejengewa ili ujenzi usiharibu wala kuchafua kaburi
Kwani si alikuwa wa wanyonge?Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali .Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli.?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
Kaburi la familia ya watu inatuhusu nini sisi? Hebu tuwekee makaburi ya ndugu zako kama angalau hata yana fensi ya mabati,?! Achana na mambo yasiyokuhusu.Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali .Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli.?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
Wewe ulidhani unaendelea ndani ya kaburi?!!Ujenzi unaendeleaje nje ya kibanda?
Hivi kuna ulazima gani kujengea bati?au bado wanagopa mabeberu wanaweza kuja iba lile fuvu la kichwaHii ni aibu kubwa sana kwa serikali .Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli.?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata hicho mbona wamemsaidia
[emoji1787][emoji1787] mmemtelekeza mzee. Bora mngeacha aiseeKaburi la familia ya watu inatuhusu nini sisi? Hebu tuwekee makaburi ya ndugu zako kama angalau hata yana fensi ya mabati,?! Achana na mambo yasiyokuhusu.