Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Ungeandika tu kwa Kiswahili kuliko kuharibu lugha ya watu usiyo na uwezo nayo.

Inaonekana una tatizo kubwa kwenye lugha hii. Matumizi ya do, does na did kwenye uwingi na umoja yanafundishwa shule ya msingi. Ina maana hata elimu ya msingi hukuhitimu?
Hii lugha ilipanda mwewe wala sio mtumbwi wala ngalawa kila mtu awe anajua. Mwambie aende shule tena
 
Huwezijua mkuu labda wanamuenzi sababu alikuwa mbana matumizi hivyo wanaona kumjengea kibanda cha gharama kubwa itakuwa kwenda kinyume naye!
 
Ungeandika tu kwa Kiswahili kuliko kuharibu lugha ya watu usiyo na uwezo nayo.

Inaonekana una tatizo kubwa kwenye lugha hii. Matumizi ya do, does na did kwenye uwingi na umoja yanafundishwa shule ya msingi. Ina maana hata elimu ya msingi hukuhitimu?
At least you've shown your inferiority.
 
Lengo la comment yako ni kutuonesha kwamba mwendazake kajengewa kibanda cha kisasa kutoka kile cha awali cha mabati,but all in all mwendazake kaenda zake hana jipya tena hapa chini ya jua Apumzike kuzimu

we mwenyewe unamuunga sku sio nyingi
 
Back
Top Bottom