pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Sawa ngosha umesikika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hela za kaburi zimeisha liwa na wajsnja! Naona ameisha kuwa “zilipendwa”. Tuna akili Kama ya kuku. Akiwa mzima ilikuwa oyeeeeeee Magufuli, no more.Kwa uelewa wangu wa ujenzi ni kama kuna ujenzi unaendelea kwa nje na hizo bati zimejengewa ili ujenzi usiharibu wala kuchafua kaburi
Zilipendwa. Ona maiti yake ilipelekwa kila mahali kutuonyesha kuwa kweli amekufa. Lini maiti ikachezewa hivyo! RIP JPM. They killed him. Mara muhimbili, Mara kwa mzena. Tuliambiwa ni mzima kumbe amekufa, Kwa kuwa tuna akili za kuku basi yote hayo tumeisha sahau. Kuku oueeeeeeHivi kuna ulazima gani kujengea bati?au bado wanagopa mabeberu wanaweza kuja iba lile fuvu la kichwa
Ndio tofauti ya Hayati na MarehemuZilipendwa. Ona maiti yake ilipelekwa kila mahali kutuonyesha kuwa kweli amekufa. Lini maiti ikachezewa hivyo! RIP JPM. They killed him. Mara muhimbili, Mara kwa mzena. Tuliambiwa ni mzima kumbe amekufa, Kwa kuwa tuna akili za kuku basi yote hayo tumeisha sahau. Kuku oueeeeee
Huenda Polepole amechukua building material zoteWamelijengea na banda la mabati ili asije akatoka
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
MkuuUmekasirika?
Huoni kuwa ni fedheha kwenu nyie mnaomuenzi kuwa kahifadhiwa pachafu?
Ndio kajengewa vizuri tu, tatizo la kule ni kwamba yeye mwenyewe alikuwa hapendi kwenda kupumzika na kubadilishana mawazo na nduguze tofauti na JKN, EMS, SAAK, & JPMKwani Mkapa amejengewaje kule Lupaso
Atakuwa ngwajima anaendelea kuomba ili afufuke.
Watanzania mjifunze kuachilia mambo! Sasa kaburi nalo la kuliheshimu? Liwe na banda lisiwe na banda si issue. Kaburi litabaki kuwa kaburi na huyu mtu alishaenda zake tuliobaki tusiendelee kumtukuza!!! Anayestahili kutukuzwa ni Mungu tu siyo kaburi!!!! Mwacheni mwenda zake aliyeenda zake!!!!Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754
Hivi mkapa walimjengea?Labda kuna ujenzi unaendelea kwa nje, mpiga picha alitakiwa kupiga picha kwa nje pia
Duh ... mkuu mbona una mawazo ya Gamboshi!Wewe ulidhani unaendelea ndani ya kaburi?!!
Ila unaonekana mtamu, japojuwa mkorofiIkoje kama haipo kwako unayefahamu na kuishi hivyo?
matusi hayo!! Umeona hawana akili au. Hater kijijini kwao atoke wapi.Wangeacha wazi kuna haters wanaweza ingia humo wakakojolea kaburi.
😀😀😀😀Wangeacha wazi kuna haters wanaweza ingia humo wakakojolea kaburi.
Well said, umesema ukweli kabisa. Bongo wengi tuna akili ya vifaranga vya bata. Alikata rushwa na ndiyo maana wamemuua. I still believe there are some people with blood in their hands. Why lie to us that he was ok when he was dead. Wana kula nchi sasa tumerudi enzi za kikwete, kusafiri hovyo hovyo kabisa.RIP JPM.Haya kuna wasemao ujenzi unaendelea, I hope so. Ila ninachokiona ni kuwa mazingira ya 'akili ndogo' yameanza. Wajua, hata kama tutatofautiana juu ya uongozi wa Magufuli, ila kuna mambo ameyaweka vizuri wakati wake. Watanzania kwa hulka, tangu Nyerere, huwa hawapendi vitu vizuri, wala hawavijui. Wamekuwa wakojivunia umaskini na uhali duni wa kila kitu. Kila kitu ovyo ovyo: stadium hazina hata majani (watu waona sawa tu) Ikulu chafu chafu (waona sawa tu) . Hadi leo Dar jioni ni giza tu (watu waona sawa), sehemu za kutembelea zimebomoka na hatarishi (sawa tu)! Lakini tangu aje Magufuli amegeuza kabisa mtazamo wa 'akili ndogo' akawa ana 'dare' kufanya makubwa. Hata gwaride la askari tukaanza kuona wamevaa nguo maridadi, wana vyombi vipya vya muziki na kwa ujumla kuna nidhamu. Na ni hivyo hivyo amegeuza hali katika Hospitali, maofisi, Airport.... hadi shughuli ya kuapisha maofisa wa serikali imekuwa jambo la kupendeza kutazama......! MUngu amrehemu....kwa kweli amewafungua macho Watanzania wengi. Fast Forward.....sasa turudie ukoko wetu!
Asante sana Mkuu ila hawa siwajuiEMS, SAAK
Watasaga meno kwa mtu aliye kuzimu? Au atarudi hilo jengo likimalizika?Mjengo unaloendelea nyuma ya hilo bati ukiisha mtasaga meno.ni swala la muda tu. Tumeweka kwa wajili ya waombolezaji wanaokuja kila siku, huku ujenzi ukiendelea.
Mtulie sindano itawaangia vizuri njengo ukiisha
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli?
Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia.
Wahusika mjitathmini.
View attachment 1784695
View attachment 1784754