Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

Hata kujengelea hilo banda wamepastahi sana, ilipaswa pawe wazi ili mifugo kama kuku na bata iweze kucheza na kunya hapo juu ya kaburi la mwendakuzimu.
 
Kajifunze kwanza kiswahili fasaha ndio uje uchangie hoja hapa!mbafuuuuuuuuuu

KazI iendelee..
Sasa kaenda zake.. minyi mumebaki alosto.. zaidi ya enzi zileeeee..

Hongera kwa kujiita neno hilo mwishoni
 
Hivi wale wanaopiga mbinja kila siku kuwa wanaenzi matendo ya mwenda zake na kuonyesha mapenzi yaliyopitiliza wanaliona hili na kulinyamazia?

Lile banda la bati kwenye kaburi mbona linatia aibu? Yaani halifanyiwi usafi kiasi imekuwa kama zizi la mbuzi?

Yapo mashada ya maua ambayo yaliwekwa siku ya mazishi miezi miwili iliyopita na hivi sasa yamekauka na kuwa uchafu ulio lundikwa kaburini.

Je, hakuna mtu wa kutunza eneo hilo au ni dharau tu?

Wahusika na familia wajitafakari hata kama walikuw hawampendi.

Wamelijengea na banda la mabati ili asije akatoka

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hivi wale wanaopiga mbinja kila siku kuwa wanaenzi matendo ya mwenda zake na kuonyesha mapenzi yaliyopitiliza wanaliona hili na kulinyamazia?

Lile banda la bati kwenye kaburi mbona linatia aibu? Yaani halifanyiwi usafi kiasi imekuwa kama zizi la mbuzi?

Yapo mashada ya maua ambayo yaliwekwa siku ya mazishi miezi miwili iliyopita na hivi sasa yamekauka na kuwa uchafu ulio lundikwa kaburini.

Je, hakuna mtu wa kutunza eneo hilo au ni dharau tu?

Wahusika na familia wajitafakari hata kama walikuw hawampendi.

Masharti ya mganga pengine....Nimejaribu kuwaza tu kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utulivu ulioje katika hilo kaburi.!

Aura ya hilo kaburi ni 'amani' 'amani' 'amani' sijui kwanini nimehisi hivyo japo ni kwenye picha.!?

Imepandwa_ngoja tusubiri mavuno yake

Ngoja bado kidogo tu na kila kitu kitakuwa mwemwere
 
Kaburi linaakisi maana halisi ya Serikali ya wanyonge
Acheni kulalamika kila kitu kwa matendo yake hata haya mabati wamempendelea sana
 
Back
Top Bottom