King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kelele zako zenye nia njema zimesikika. Wameshamjengea nyuma, tena nzuri tu.
Mama anasoma mitandao na huenda ni member humu.
Chattle wanatuzengua na FUTUHI yao,Ndiyooo ni FUTUHIIII.......Jengo hilo waliotuonyesha ni nyumba ya zamani tu sema wameamua kupiga rangi na kuweka mabango ya JPM tuone ndio kburi limejengwa,ni amini bado mabati yapo baada ya kelele nadhani ndio wataanza kufanya maandalizi ya kulijengea!! Hilo Jumba waliotuonyesha sio KABURI. .. Hiyo ni nyumba ilikuwepo tu zamani.