Zanzibar 2020 Kibandamaiti, Zanzibar: Uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif usipime

Wanamwita mshamba huku nje wakimpigia makofi...
Mwaka huu Ccm mjiandae kung'atuka maana hata like bao la mkono halitakuwepo. Mgombea wenu baada ya kuingia ikulu alijisahau sana hata waliomsaidia aliwageuka
 
VITU VYA MSINGI KWA WAZANZIBARI VINAJUILIKANWA WAZI KABISA

1) Mamlaka kamili ya Zanzbar kujiamulia mambo yake wenyewe BILA kuomba ruhusa kwa kikundi cha sisiem BARA mfn Mikopo, Udhamini nk.

2) Kuachiwa HURU kwa Mashehe, Ambao mpaka leo zaidi ya miaka 6 kesi yao inapigwa dani dani tuu bila haki kutendeka ( kama alivosema NDUGAI kumwambia Mh.Lissu kuwa mgombea wao wa CHATO "ana nyama" basi tunamuambia pia na MASHEHE "wana nyama" na wana Familia pia wawatendee haki, Dhulma haisaidii kitu)

3) Uhuru wa Zanzibar Kutumia rasilimazi zake wenyewe, kama MAFUTA nk

4) Makero ya Muungano ikiwemo kodi ( Hivi sasa Mzanzibari analipia bodi za mapato zote TRA na analipia ZRB ), pia Sulubu anayoipata Kuingiza mzigo/bidhaa BARA utasema nchi zina Uhasama.



Na mambo mengi mengi ambayo kimsingi yanahitaji muda kuyaeleza


Hayo yote mgombea wa Sisiem anayaruka kama hayaoni..

Kwanini tuendelee kuteseka na Alternative way ipo!!?

Nchi zina utajiri mkubwa lakini wananufaika wachache (kwa faida ya nani) !!?


HATUTAKI JANJA JANJA ZA KIKUNDI CHA SISIEMU

MAALIM NDIO KIPENZI NA SULUHISHO LA WAZANZIBARI
 
Mungu mbariki Maalim Seif
Mgombea wa Chadema atafungua lini kampeni?!
 
Asante maalim kwa kushiriki

Watanzania tumeamua visiwani tumchague Hussein

Na Tanzania tunamchagua Rais Magufuli
Duuuu!!! Mbona unahangaika kiasi hiki? Kila thread na kila comment unataka kuijibu wewe huu utumwa ambayo unaufanya kama ungekuwa umejiajiri ungefika mbali kiuchumi lkn Kwa UJINGA wako wa kupewa buku7 unakutoa akili yaani tokea asubuh kazi hii Tu ya kucomment
 
Asante maalim kwa kushiriki

Watanzania tumeamua visiwani tumchague Hussein

Na Tanzania tunamchagua Rais Magufuli

ukitaka uongozi wa kupewa unaweza kukufanya uonekane juha
see the quoted example.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…