Wanaccm wamemsusa amebaki na mapolisi na wananchi hawamuelewi elewi amefikaje kugombea uraisi Zanzibar.Hana uzoefu na mazingira ya Zanzibar,akili yake yote iko Mkurangahakuna namna yoyote ya Hussein Mwinyi kushinda , Hakuna!
Kwa tume hii. Atashinda na kufuta matokeo au kutangaza vinginevyo.Ni hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo , ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna yoyote ya Hussein Mwinyi kushinda , Hakuna!
Labda kama atatumia njia alizotumia baba yake ambaye ni Rais mstaafu , ikumbukwe kwamba Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya kuteuliwa tu kwenye vikao vilivyofanyika Dodoma , hakuwahi kupigiwa kura na Wazanzibar.
Lissu bado yupo kanisani?Ni hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo , ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna yoyote ya Hussein Mwinyi kushinda , Hakuna!
Labda kama atatumia njia alizotumia baba yake ambaye ni Rais mstaafu , ikumbukwe kwamba Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya kuteuliwa tu kwenye vikao vilivyofanyika Dodoma , hakuwahi kupigiwa kura na Wazanzibar.
Yuko Isman Lukuvi kakimbiaLissu bado yupo kanisani?
Zanzibar tumekataa kuongozwa na familia, Maalim Sharif Hamadi ndie Kiongozi wa Taifa la zanzibar.Asante maalim kwa kushiriki
Watanzania tumeamua visiwani tumchague Hussein
Na Tanzania tunamchagua Rais Magufuli
Tunaomba picha.Yuko Isman Lukuvi kakimbia
Mmemtoa Sultan Mwarabu mmerudisha sultan wa KisaraweAsante maalim kwa kushiriki
Watanzania tumeamua visiwani tumchague Hussein
Na Tanzania tunamchagua Rais Magufuli
CCM Zanzibar huwa wanajiandaa kupora tu, siyo kushiriki uchaguziNi hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo , ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna yoyote ya Hussein Mwinyi kushinda , Hakuna!
Labda kama atatumia njia alizotumia baba yake ambaye ni Rais mstaafu , ikumbukwe kwamba Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya kuteuliwa tu kwenye vikao vilivyofanyika Dodoma , hakuwahi kupigiwa kura na Wazanzibar.
CCM Zanzibar huwa wanajiandaa kupora tu, siyo kushiriki uchaguziNi hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo , ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna yoyote ya Hussein Mwinyi kushinda , Hakuna!
Labda kama atatumia njia alizotumia baba yake ambaye ni Rais mstaafu , ikumbukwe kwamba Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya kuteuliwa tu kwenye vikao vilivyofanyika Dodoma , hakuwahi kupigiwa kura na Wazanzibar.
Kuna wengi tuliomchagua 2015 hatutampa 2020,Hakuna aliyemsaidia Rais Magufuli kushinda
Alishinda kwa kura nyingi za Watanzania
Na October atashinda kwa 97%
Cc Magonjwa Mtambuka, njoo uone mafuriko ya Act huku, acha kubwabwaja kama kuku aliekatwa shingoNi hivi , kama kuna Mwanaccm yeyote anayetegemea Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya sanduku la kura basi ni vema akaendelea na shughuli zingine , kwa hali ilivyo Zanzibar tangu asubuhi ya leo , ambayo ndio siku ya uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif wa ACT WAZALENDO hakuna namna yoyote ya Hussein Mwinyi kushinda , Hakuna!
Labda kama atatumia njia alizotumia baba yake ambaye ni Rais mstaafu , ikumbukwe kwamba Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Zanzibar kwa njia ya kuteuliwa tu kwenye vikao vilivyofanyika Dodoma , hakuwahi kupigiwa kura na Wazanzibar.
Kama vile makonda alivo fisadi mtoto, wauza madawa akina gsm mnawakumbatia na mafisadi akina subash na rostam wanaofadhili kampeni za ccmWanaompinga Rais Magufuli ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti
Pole najua unaangukia humo
Subiri utafunwe na funza.Cc Magonjwa Mtambuka, njoo uone mafuriko ya Act huku, acha kubwabwaja kama kuku aliekatwa shingo
Naona ndio sera yako mpya, pole sana, hayo ndio mafuriko na ccm inahara maana haina chake zanzibarSubiri utafunwe na funza.
Huwa yanatolea ccm yanahamia chadema then yanarudi ccmMafisadi yapo Chadema