Zanzibar 2020 Kibandamaiti, Zanzibar: Uzinduzi wa kampeni za Maalim Seif usipime

Wazanzinar mwaka huu walinde ushindi wao sasa. Huku bara tumeshawarahisishia kazi.
 
Chadema ni genge la wahalifu na biashara haramu
Refer kazi ya Lema kabla hajawa Mbunge, na kazi ya Mbowe nyuma ya pazia
Umesahau kuhusu kazi ya gwajima ya kutapeli watu kwa kufufua wafu
 
Bora anayehubiri anajenga jamii bora vipi yule anashiriki mapenzi ya jinsia moja
Anajenga jamii kwa kufufua misukule? Huyo unaesema anashiriki mapenzi ya jinsia moja umeshashiriki nae mara ngapi mkuu, weka picha tuone ulivyokua unaenjoy

Vipi huyo anaehubiri unasemaje kuhusu ile video yake ya ngono nayo inajenga jamii
 
Asante maalim kwa kushiriki

Watanzania tumeamua visiwani tumchague Hussein

Na Tanzania tunamchagua Rais Magufuli
Bodi ya utalii wa siasa inakutafuta uweze kupata takrima yako kwa kumtangaza mtalii huru
 
Habari ndio hiyo
 
Sio mchezo, Mungu awasimamie wakapate haki yao
 
Mwaka huu Maalim asirudi nyuma na kauli yake wala asikubali kuwekwa mezani venginevyo mara watu wanamgeukia yeye! Watu wamechoka kutawaliwa na maiti!
 
Maalim siku zote huwa anashinda chaguz zote, tatizo huwa ni tume ya uchaguzi na mwaka huu atashinda kura za wananchi ila tume itamtangaza Hussein
 
Bado kidogo angefikia Nyomi la Hussein Mwinyi la jana.
 
Ila mnajua huyo Maalim Seifu aliyoenda Ikulu waliongea nini na jiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…